Fahamu upande wa pili wa Dangote

Fahamu upande wa pili wa Dangote

Daah,aondoke tu alhaji ? Kwa Tanzania ya 5 na bakora atacharazwa,amechelewa kuja
 
We mleta mada ni pimbi sana kazi kuchunguza Maisha ya wenzio sisi shida yetu cement iwe bei chini! Na hayo makaa ya mawe wasimchagulie pakuyabeba wasilete Kama mambo ya Nyerer ukienda dukani kununua mafuta ya taa ununue na maharage yaliogongwa! Inawezekana mkaa wetu hauhifadhiwi vizuri na mbovu, kama ni mzuri huo mkaa nao si wauuze nje au viongozi wanamaslahi na uo mkaa
 
Mikataba ya Tz haiko wazi ndo tatizo linaanzia hapo
 
Kama unavyomjua sio eeh? wabongo bana, mtu hata kukujua hakujui unajifanya unamfahamu grow up, yeye kama Investor hawezi kuja na kuhonga, yeye lazima apewe ahadi nzuri ili aje kuchoma pesa zake, sasa tatizo aliempa ahadi ni nani ndo wakushtakiwa sio mnalaumu tu upande mmoja
Kanye 2016, acha ujinga.
 
Usije ukawa upo hapo alafu unachuki zako binafsi,kwa nini mpaka ifikie watu wanaanza kuvutana ndio useme hayo yote,ungekuwa umeisaidia nchi kuyaweka haya wazi,siku hizi wakuu Wa mikoa kuwaona sio ngumu,ungemuona mkuu wako Wa mkoa Wa Mtwara alafu ungekaa nae ukamueleza,nadhani ingesaidia zaidi,lkn isije kuwa majungu na chuki.
 
kwanza unajuaje Dangote kakopa hela benki kujenga kiwanda?

second, hata Lukuvi katangaza juzi tena jamani, nashangaa hulijui hili, M-Nigeria au mjuba yeyote wa kuja nchi hii haruhusiwi kumiliki title deed ya ardhi Tanzania!

tuseme mara ngapi jamani?

title deeds za diaspora waliozaliwa hapa na baadae kuomba uraia nje title deeds zao zitapelekwa kwa Rais kufutwa, sembuse m-Nigeria kaja 2014 mwaka jana hapo jamani?

ardhi ya Tanzania ni kwa Watanzania natural born citizens, au kama wewe ni documented alien umeomba kuandikishwa uraia hapa ukapewa, tukishtukia kwamba hujakana wa kwenu huko ulikotoka wa hapa tunakufuta na ardhi tunataifisha.

niliposikia kwamba Dangote ardhi yenyewe kawekwa bure bure si yake ya kununua nikasema Alhamdullilah Allakuli Haal, Hadha Min Fadhil Rabbi, hizi ndio fadhila za Munyanzi Mngu, siku yeyote tukitaka tunamwambia Dangote huna chako hapa, sepa!

Matajiri hukopa wanapowekeza fedha nyingi. It is just good Economics to do so. Ni ili "faida" inayopatikana iwe ni ya kulipia mkopo, na sio pato la kukatwa kodi.

Hata wasemeje, ukweli ni kwamba hakuna mwekezaji atajenga kitu cha mabilioni kwenye ardhi ambayo hana title deed yake. Hiyo siasa ya Lukuvi ni kwa makabwela, sio kwa wawekezaji.

This, I think, is my last attempt at convincing you. Dangote kapewa ardhi, na baada ya kupewa ni ya kampuni yake, na si vinginevyo.
 
Ni rahisi kukwepa kodi na mambo mengine kama umeajiri wageni.

Wazawa wakiona kosa dogo lazima walilete hapa JF halafu magazeti wanalichukuwa.


Mbona serikalini hakuna wahindi lakini dili zinapigwa?
 
Makampuni ya mafuta yanajuta kumfahamu juyu jamaa! Huwa halipi madeni,uliza Orxy,Puma,Ukud nk! Jamaa waliloby TIC wakapewa exemption ya kodi kwy mafuta,walivyoenda TRA wakapigwa chini thanks God akina Bade na genge lake walikua washatumbuliwa.Hao wazee waliotoa ardhi ya waTanganyika kwa misingi ya dini kumbe alihaji mwenyewe ni swa na akina Sultan Mungu awanyooshe kweli kweli
 
Ovyo kabisa wewe. Mbona na Nyerere alikuwa ccm?

Walioingia naye mikataba ni ccm ....

Wanaovunja mkataba ni Ccm.....

Waliompokea ni Ccm......

Wanaotaka aondoke ni Ccm.....

Tafakari chukua hatua.........
 
Tatizo watanzania tumezoea na tunataka mzungu aje mikono mitupu,tumpe ardhi aende bank akope,atunyonye kisha asepe zake ndiyo tutamuita muwekezaji.Kumbuka Dngote ana surplus ya pesa na viwanda nchi mbali mbali afrika hivyo hana hasara kama udhaniavyo.Wewe ndiye utapata hasara Kwa kuuziwa cement sh 15000
Mondoros
Hujui wale wahindi wewe,nenda pale siku ya malipo uone masupplier wanavyonyanyasika ndio utajua wa hindi sio watu wa mchezo mchezo! Dangote hana clear business na his integrity is very questionable especially anavyofanya business etc.Uliza mabank,uliza watu wa mafuta,wafanyakazi ndio utajua. Mtu km huyu nchi haiwezi kufaidika kwa lolote,kodi halipi,ajira hatoi,malighafi anagiza kutoka nje,income yote anapeleka kwao na ulaya bado mnamtetea? Only in Tanzania! Aende akawekeze kenya uone km watamruhusu na haya maujanjajanja yake
 
Walioingia naye mikataba ni ccm ....

Wanaovunja mkataba ni Ccm.....

Waliompokea ni Ccm......

Wanaotaka aondoke ni Ccm.....

Tafakari chukua hatua.........
Jamaa sasa hivi wanadai awamu ya nne haikuwa yao
 
Mimi Huyu Dangote habari zake zimekuwa nyingi sana humu, ila sasa inanibidi mimi mwenyewe nitafute habari zake huko Nigeria ili nijue..

Kwa sababu, tunasikia kuwa kuna Hujuma zilikuwa zinafanywa na washindani wake akina Twiga ili kum-provoke Dangote ili ahamishe kiwanda chake, ila kwa hili, naweza kukubali maana, Ile siku Prof. Muhongo alienda na wazalishaji wa Saruji kule Mgodi wa NGAKA ili kuprove au Dis-prove uwepo wa makaa ya mawe, Ubora na wingi wake, Niliona kupitia Television mwakilishi mmoja wa kiwanda cha saruji akishangilia sana pale ambapo Prof. Muhongo alipotamka kuwa...."Tumejiridhisha kuwa makaa ya mawe yapo nchini na ni ya kutosha na ni bora, sasa sitatoa kibali cha kuagiza makaa ya mawe tena kwa mtu yeyote hata kama ni Dangote" huyo mwakilishi alishangilia sana hadi wenzie wakawa wanamzuia...pale nilipata kitu.

Kwa hiyo ili ku-deal na Dangote ni lazima tuangalie mikataba aliyoingia kwanza na hao Awamu ya Nne, inawezekana inatoa relief kwake.

Kuhusu, hilo la Bei ya bidhaa zake kuwa chini ili kuua viwanda vingine, TUME YA USHINDANI Ipo wapi?


Mkùu:
Hizi ni zama za soko huria, Kinachotakiwa hapa ni Maarifa, Ujuzi, Mbinu vikiongozwa na Sayansi na Teknolojia. Hapa Tume ya Ushindani haina nafasi kamwe.
 
Fanyeni mfanyayo, tatizo ni serikali za ccm!!! Dangote hakuivamia Tanzania...... Alikarubishwa na Serikali ya ccm, wana ccm wa jf wakimwimbia mapambio, wakaingia naye mikataba mafichoni...... wana kijani wakisherekea,......... Sasa Dangote kawa mbaya???.... Hapana! Mbaya ni serikali ya ccm nzembe na isiyo kuwa makini.... Full stop
 
Mbona baresa hamumsemi...
Boti zooote pale feri zinazopiga kazi ni yeye peke yake kajenga mpaka gati yake. Zile boti za kampuni nyingine zipo hoi zimepaki.
inaitwa fierce competition kama mtu huezi unakaa pembeni
 
Isije ikawa wenye waraka huu ni wale wanaojenga kiwanda huko huko Kusini, waleeee... wa hela za Libya...
 
Back
Top Bottom