Fahamu upande wa pili wa Dangote

Mkuu nimekuelewa, sitaki kufuata principle ya natural justice... Rais atume bulldozer kumi pale zikasafishe lile eneo...
 
Kuna kipindi nikasikia dangote amesimamisha uzarishaji kwa muda sababu ya matengenezo

Baadae tena nikasikia anataka gasi bure tena nikasikia ananunua makaa ya mawe toka south Africa wakati sisi hapa tz tunayo.
Sasa hivi tena nasikia porojo nyingine hapa sijui halipi vizuri? Kesho tutasikia aah!! Tuliona anataka kuinunua arsenal ya uingeleza wakati hapa bongo tuna timu kibao kwanini asinunue moja wapo? Hii ndiyo bongo uongo mwiiiiingi ili mladi tu waonekane wakweli
 
Walioingia naye mikataba ni ccm ....

Wanaovunja mkataba ni Ccm.....

Waliompokea ni Ccm......

Wanaotaka aondoke ni Ccm.....

Tafakari chukua hatua.........

Ninahitaji kulaaniwa ili nihiunge mkno CCM, hiki chama ni Janga la kitaifa
 
Mi navyojua hapa shida wala si Dangote kuna wakubwa fulani wa Nyinyiemu hawajapewa mgao wao wamepewa tu kina fulani,full stop!!
 
Dangote ameshaingia mjini na atakuwa na maongezi masaa mawili kisha ataondoka leo leo.
 
Nakubaliana na mwandishi kwa mambo mengi alioandika. Mengi ni ya Jikoni kabisa. Niliwahi shauri serikali ipite kwenye viwanda vyote nchini ili wajionee jinsi watanzania wanyonyanyaswa na wageni wanaojiita wawekezaji. Viwanda vingi wanaongozwa na wahindi, yanayofanyika humo Mungu pekee ndie anajua
 
Hii ni kweli, Dangote huviua Viwanda vya nchi husika kwa kushusha bei kisha upandisha bei.
Halafu tujiulize kama angepewa gas bure au kwa bei ya chini je, Viwanda vingine vingene navyo vingepewa

Hawa wanaosema Dangote anataka apewe gesi bure ni wapotoshaji; yeye anasema kumuuzia gesi bei moja na wengine ambao wako mbali na visima vya gesi sio sawa!! Mbona bei ya petrol na Diesel ni tofauti ya Dar na ya Mwanza kwanini bei ya gesi huko Mtwara iwe sawa na ya Dar?
 
Hivo viwanda vyako vimeshindwa kunawiri kipindi hakuepo ndo vitanawiri akiondoka, Think Big kijana
vimeshanawiri sana mzee, nimeanza kujenga kitambo sana sijawahi kutumia sumenti ya huyo jamaa. na sidhani kama hata akisambaza namna gani kama cement yake itazidi ubora wa NYATI. hiyo nyati balaa, weka mbali na watoto.
 
Yaani ina maana Dangote hana tofauti n.a. CCM kwa maelezo yako mkuu..Ahsante
 
vimeshanawiri sana mzee, nimeanza kujenga kitambo sana sijawahi kutumia sumenti ya huyo jamaa. na sidhani kama hata akisambaza namna gani kama cement yake itazidi ubora wa NYATI. hiyo nyati balaa, weka mbali na watoto.
Siyo SUMENTI ni CEMENT
 
Hii saga ni hatrii. Dangote binafsi ana makashfa mengi kwao. Na amekua akiandamwa na kashfa za mbinu chafu za kibiashara. Biashara zake kuwa chini ya management ya wahindi ni tatizo pia kwa sababu wanafahamika vema hulka zao. Lakini na kwa upande wa nchi yetu tunajua vema udhaifu wa serikali zetu chini ya CCM hasa ktk masuala ya uwekezaji. Hapa kuna tatizo kubwa tu. Maana ni wachafu(DANGOTE Indian Management) vs wachafu(CCM)
 
Back
Top Bottom