Fahamu upande wa pili wa Dangote

Fahamu upande wa pili wa Dangote

Unafananisha Dangote na MBEYA CEMENT ..?
Je unafahamu MBEYA CEMENT kilianzishwa mwaka gani? na unafahamu ardhi ya pale Songwe village ardhi ilipatikana vipi kwa ajili ya kujenga kiwanda kile?

NIPE haya majibu then turudi kwenye mstari.
Ardhi haina tofauti 1947 na 2014 ni Sawa tu Wananchi wamejitolea Bure mpaka Ardhi ya kujenga kituo cha Polisi huko Mtwara. Uongo ndiyo hatuutakj lete Fact ndiyo tuendelee hatutaki mizomoko.
 
Ndio siasa yetu hiyo Mkuu.
...Waliomsema Lowasa ni FISADI number One ni CHADEMA
Waliompa kiti agombee URAIS wetu ni CHADEMA
Waliosema wanaomshabikia FISADI Lowasa wakapimwe akili ni CHADEMA
Leo wanaosema mwenye ushahidi wa UFISADI wa Lowasa aende mahakamani ni CHADEMA
Yaani ni CONFUSION tupu!!!
OF COURSE WALIFANYA HIVYO BAADA YA KUUJUA UKWELI, HATA BIBLIA INATUTAKA TUIJUE KWELI ILI ITUWEKE HURU.
IT IS VERY STRANGE WAKATI CDM WAKISEMA HIVYO MLIWAPINGA SANA. LAKINI LEO NYIE NDIO MNANG'ANG'ANA NI FISADI NI FISADI LAKINI HAMMUKAMATI NA KUMPELEKA KWENYE MAHAKAMA MAALUMU YA MAFISADI. WHAT ARE AFRAID OF? SI MMPELEKE?
 
OF COURSE WALIFANYA HIVYO BAADA YA KUUJUA UKWELI, HATA BIBLIA INATUTAKA TUIJUE KWELI ILI ITUWEKE HURU.
IT IS VERY STRANGE WAKATI CDM WAKISEMA HIVYO MLIWAPINGA SANA. LAKINI LEO NYIE NDIO MNANG'ANG'ANA NI FISADI NI FISADI LAKINI HAMMUKAMATI NA KUMPELEKA KWENYE MAHAKAMA MAALUMU YA MAFISADI. WHAT ARE AFRAID OF? SI MMPELEKE?
Kwa hiyo mwanzoni CHADEMA walikuwa wanaropoka bila kuujua UKWELI? Kwa hiyo inabidi yuwe makini sana na wanachokisema CHADEMA vinginevyo inawezekana wanasema tu bila kuujua ukweli.
 
Very useful info.


na pia habari za kutoa mwanga zaidi zipo kwenye news story za Reuters na Forbes Magazine wiki hii.

Forbes wanasema yule mama ambaye Magufuli alim fire pale NIC ambaye alikuwa hachukui mshahara anakula posho za safari na vya juu vingine, yule mama alipigwa chini kwa sababu alimpa Dangote ma concessions ya tariffs exemption on diesel imports pamoja na tax holidays zingine.

Magufuli alipoingia alikasirika sana kuona yale magawio kwa Dangote. Japo Forbes wanakiri hakutangaza sababu za kum fire yule dada wanasema Magu alikuwa na sababu za kuamini mama yuko compromised (alinunuliwa na wa-Nigeria), ikabidi am fire. Ma tax incentives yakafutwa immediately na ndio hapo Dangote kuanza ku struggle. That's Forbes Magazine's analysis.

Africa's Richest Man Faces Challenges In Tanzania; Shuts Down Cement Plant
 
daah aise wewe mtoa mada unapata dhambi kwa kusema uwongo .. hilo eneo la mzee gani .? wakati eneo alilokuwepo dangote ndio katolewa mtaliano aliyekua anafuga nyoka aitwaje franco .. wew mtoa mada una dhambi kubwa kwa kuwapotosha watu namna hiii .. muongo mkubwa wew .. mie naishi hapa hapa msijute mtwara
 
Ukiona propaganda za "sizitaki mbichi hizi", zimezidi hivi ktk social media ujue hili saga limemwelemea Mjomba Magu na tujue tayari jamaa anajiandaa kung'oa mitambo ya kiwanda chake kukipeleka Kenya!!

Sasa mwoneni naye huyu, jamaa insha ndeefu na kila mstari umebebwa na na maneno..... jamaa ni tapeli .....tapeli.....tapeli, lakini cha ajabu hata hasemi alimtapeli nani, nini na wapi!!

Possibly, ukweli wa haya waweza kuwa ni the opposite.

Kwamba, inawezekana CCM ndiyo walikuwa wanataka kumtapeli jamaa na kwa kuwa kawashtukia na kama ilivyo asili yao kutapeli sasa wanajaribu kuigeuza picha up side down ili tushindwe kuisoma vyema!!
sasa mzee, akipeleka kenya si ndo na viwanda vyetu sisi kama hivyo vya wazo na tanga ambavyo tuna hisa vitanawiri, anafikiri anamkomoa mtu?
 
Kuna ukweli ndani ndani yake maana kwa sasa watu hatari kwa uchumi wa kitanzania ni wahindi na wachina.
Wahindi wapo Tanzania miaka kibao ila wengi wao wanaishi nyumba za serikali tu hawajengi hawa viumbe.
 
sasa mzee, akipeleka kenya si ndo na viwanda vyetu sisi kama hivyo vya wazo na tanga ambavyo tuna hisa vitanawiri, anafikiri anamkomoa mtu?

Ofcoz, vinanawiri na ndiyo shida yao na kwa maana hiyo "Tanzania ya Magufuli ya Viwanda" inapigishwa "mark time" hivyo!!
 
Daah, sasa hv nadhan hta mke akikuzingua inabidi uilaumu serikali ya awamu ya 4. Inasemwa vby na kila mtu aisee...!!

Sifahamu ukweli ni upi katika hili, ila wewe ni MNAFIKI kwa kuendelea kuwepo kwa Dangote wkt unajua sio watu wazuri. Wakati mlipokuwa mnapinga, ungeonesha uzalendo wa hali ya juu kma ungeacha kazi ili usiwe part ya udhalimu huo.

Kama Magufuli asingewakazia Dangote, TUNGEYAJUA YOTE HAYA...??? Au unatueleza ubaya wake huu kwa kuwa tayar uwezekano wa kazi kuwepo ni mdogo?? Mbn yote haya hayakujulikana kabla..??

Ulikuwa unawaeleza serikali. Nani ulimwambia..?? Au ulikuw unadiscuss na mkeo ambaye ni serikali ya nyumban kwako..? Unataka kutuaminisha kwmb serikali ya awamu ya 4 ilikuwa na wajinga wengi kiasi cha kutokukusikiliza hta kma ni kwa maslahi ya taifa..??

Nway, siku zote maskin huwa tunawaona matajiri ni watu wabaya sn. Na ukweli ni kwamba bila kuwa na kaukatili fulani ni ngumu sn kuwa tajiri.
nani ambaye hapendi kibarua chake, endapo angeyasema hayo kipindi hicho security yake ingekuwa nini.
mwache afunguke now
 
Si ajabu ata bwana godi atakuwa kaanza kuwachoka viongozi wa nchi hii.

Mara serikari aitowekeza kwenye viwanda sawa hakuna tatizo, wakija wawekezaji wezi awafanyi sijui a,b,c waondoke.

Vilio vya ajira vikija haya wawekezaji njooni muda sio mrefu watapewa negative connotion or other untrustworst terms. Labda Tanzania imepangiwa kubaki kama ilivyo tu.
 
Hii nchi chini ya kikwete ilikuwa kama ya walevi, hivi kikwete alisoma uchumi gani? na huyo Angelina Kairuki alisoma shule investments gani na katika chuo gani? haiwezekani investors aje apewe shamba bure ,gesi bure na pia awe na tax exemptions kwa materials anayoagiza nje, sasa hapo Tanzania inafaidika na nini?, ombi letu kwa magufuli mtu kama Kairuki ambaye amesababisha hasara kubwa kwa taifa sio tu wa kumfukuza kazi bali alitakiwa afikishwe kwenye vyombo vya sharia kujibu tuhuma hizo, Dk slaa aliwahi sema ukimfukuza mtu ambae ameliingizia taifa hasara kubwa na yeye alifaidika kwa aina moja au nyingine ni sawa na kumwambia aende akapumzike atumbue pesa alizovuna.
 
Foreign owned company ni foreigner? If a foreigner cannot own land in Tanzania, does it follow that a foreign owned company cannot own land?

Do the foreign owned companies that have hotels in Tanzania not have title deeds over the land where their hotels are located?

I must add the following: In Tanzania, all land is owned by the government. Neither Kwame nor Dangote own land. I am only going on about companies and individuals having title deeds. Does Lukuvi say that foreign owned companies cannot have title deeds?
 
Ukweli ni kwamba KILA TAJIRI AFRIKA AIDHA NI BAHILI SANA AU TAPELI.
nipe mfano wa tajiri mmoja aliyenyooka kwenye malipo
Dangote labda abadilike ndio tutaweza kufaidi uwepo wake hapa Tanzania, ila kwa jinsi alivyo na ninavyomfahamu..kwa sasa kuondoka kwake ni nafuu kwa Watanzania na Taifa.

Yule bwana hawezi kufanya biashara bila utapeli hata mfanyakazi wake wa chini kabisa anajua. Jamaa anaingia mahali kwa lugha tamu sana na ahadi kibao, lakini si mtu yule.

Wapo wanaosema kuhusu ajira za watanzania walioko pale, ni hivi wafanyakazi wataalamu walioko pale ni wale waliokuwa kwenye viwanda vingine vya cement vilivyokuwa vinawalipa vizuri ila baada ya kusikia tishio la ujio wa likiwanda kubwa ambalo lingepewa gas, exemption ya kodi n.k likapunguza bei ya cement viwanda hivyo vingekufa kwa kushindwa kujiendesha,

Hatua mojawapo zilizochukuliwa na viwanda bora kama vile Twiga na vingine ni kupunguza wafanyakazi kwa kiasi kikubwa ambao wengi walienda Dangote kulipwa ujira mdogo sana maana yeye Dangote anatumia management ya Wahindi.

Kule Nigeria alianza biashara zake kwa style ya kuwahonga viongozi wakuu na wakampa excemption ya kodi, matumizi ya barabara hovyo na vitu vingine akashusha bei ya Cement, viwanda vingine vikafa akabaki yeye mwenyewe akishikilia kama 90% ya soko la cement na Lafarge kama chini ya 10% vingine vilikufa baada ya kuhakikisha kwamba ameviua akapandisha bei ikarudi kama zamani.

Hivyo ndivyo alitaka kufanya Tanzania, JK alimpa maeneo makubwa sana, mpaka na eneo la kujenga bandari yake binafsi, jambo ambalo kwa maoni yangu naona ilikuwa hatari hata kwa usalama wa nchi.

Eneo lililojengwa kiwanda na mining lilikuwa la vijiji vitano, ni eneo kubwa ambalo lilikuwa mali ya wananchi, Dangote kwa kushirikiana na viongozi wa serikali ya awamu ya nne waliwatapeli wale wazee kwa kuwapa vitu vidogo vidogo na ziara ya kwenda kuhiji kwa wazee wachache pamoja na laki tano tano na ahadi kibao wakabariki kuiacha ile ardhi na wale wazee wakatumika kuwashawishi wengine wakaingia kingi.

Mara kadhaa nilikuwa nikiwaona hawa wazee wanaojiita wenyeviti wa vijiji vile wakiambaa ambaa pale nje ya kiwanda cha Dangote wakitapeli watu kwa ahadi ya kuwaunganishia vibarua kiwandani wakati hata wao hawana ruhusa ya kuingia ndani ya kiwanda, wazee wamepigika wanajuta tu kimoyo moyo.

Niliwahi kujaribu kuongea na mmoja wao ambaye alikuwa mwenyekiti wa wenyeviti wakati huo nikiwa kiongozi wa chama cha wafanyakazi hapo Kiwandani, nilipomuuliza sababu ya wao wazee kugawa ardhi bure kwa Dangote aliniambia kwamba wao waliamini Dangote si mfanyabiashara ni Alhaji kwa hiyo walitoa ardhi kwa Alhaji ili ajenge kiwanda kiwasaidie watu..

Nilishangaa sana, lakini kilichonifurahisha ni kwamba wanajuta maana zaidi ya laki tano na ziara ya Mecca hawajafaidika tena kwa namna walivyotarajia.
Mtindo wa ufanyaji kazi wa Dangote ni wa kitapeli tapeli tu, anatapeliwa kuanzia mfanyakazi wake wa chini mpaka Rais na mawaziri wakiingia kingi wanatapeliwa.

Kule Nigeria, ana kiwanda kikubwa Four kiln lines kwenye state ya Obajana na kingine Ibese, wafanyakazi zaidi ya 60% ni wahindi, wanaishi vizuri kila kitu wanachotumia ni tofauti na weusi, magari, nyumba za kuishi n.k ni tofauti kabisa.

Wahindi wanaletwa wakiwa hawajui kitu kabisa wanafundishwa na weusi (wanigeria) halafu wakishajua wanawasimamia weusi, wanawanyanyasa sana waafrika, pale ndipo nilipojua kwamba Tanzania ni nchi nzuri sana na siku zote nawambia ukitaka kujua uzuri wa nchi yetu Tanzania nenda Nigeria. Hususanu kufanye kazi kwa Dangote.

Wakati Dangote anafungua kiwanda Tanzania, alikuwa anaahidi kuajiri watanzania lakini ukweli ni kwamba alikuwa ameandaa makontena ya wahindi kuja Tanzania kama ilivyo Nigeria, thanks to God Magufuli akaingia Madarakani.

Wale wahindi wachache waliokuwepo walichukia sana wakaanza hata kukuza mambo au kutunga uongo wakiilaumu Serikali ati kwa kuweka vikwazo vingi, wakati mwingine wanamdanganya Dangote kuhusu Serikali yetu na Watanzania ili wao wapate faida. Ninao ushahidi wa mambo baadhi ambayo kwa makusudi kabisa management ya kihindi ilikuwa ikimdanganya Dangote kwa faida yao.

Mojawapo ilikuwa ni ubora wa makaa ya Mawe ya Tanzania, tulikuwa na vijana wetu maabara pale, hata mimi niliposikia kwamba makaa yetu ya mawe yana quality ya chini niliumia sana niliwauliza wahandisi wetu waliokuwa maabara wakasema ni uongo.

Hiyo ilikuwa mbinu ya wahindi kufanya biashara na makampuni ya South Afrika kwa faida yao huku wakichafua bidhaa zetu.

Lingekuwa jambo la ajabu sana kama serikali ingekubali uhuni huo, nawapongeza sana Mawaziri hawa wa awamu ya tano kwa kutumia elimu yao vizuri kuchunguza hilo kwa sababu hata enzi zile tulikuwa tuwaeleza serikali kila tunapopata nafasi lakini enzi ya awamu ya nne ilikuwa enzi ya aina yake. tulionekana wapuuzi au maskini wanoko.

Watanzania tunapopinga au kutetea ni vema tukatafuta ukweli kwanza, Dangote industries ukiisikia kwenye vyombo vya habari utaona ni mkombozi kwa watanzania, lakini kwa namna ilivyo na inavyotaka ifanyiwe ni hatari sana kwa taifa.

Tumshukuru sana Rais na serikali kwa msimamo wake. Dangote hana tofauti na akina Carl peters wa zamani labda abadilike.........

Itaendelea wiki ijayo
 
Dangote si kiwanda pekee na cha kwanza nchini je vingine vinaendeshwaje hadi wao watake upekee na makaa na umeme havitaki
 
sasa mzee, akipeleka kenya si ndo na viwanda vyetu sisi kama hivyo vya wazo na tanga ambavyo tuna hisa vitanawiri, anafikiri anamkomoa mtu?
Hivo viwanda vyako vimeshindwa kunawiri kipindi hakuepo ndo vitanawiri akiondoka, Think Big kijana
 
Back
Top Bottom