Fahamu upande wa pili wa Dangote

Fahamu upande wa pili wa Dangote

Naona mleta mada anashambuliwa kwa madongo ya ukweli na uongo. Huyu jamaa ameandika mengi na anajua mwenye kayatoa wapi. Mwenye ukweli tofautikuhusiana na Dangote, kando ya yaliyomo ndani ya mkataba ambao wengi wetu hatujauona, auseme hapa. Kuna mmoja amesema anafanya kautafiti kuhusu Dangote, which is fairly simple; afanye atuambie. Kwa wenzetu mlioko Dar mnaweza kuanzia Tanzania Investment Center. Mtu fulani anaweza kuja na more objective information kuhusu Dangote maana nahisi kuna kaukweli katka mada ila kaukweli kako kiudaku zaidi.
 
Niliwaambia ni MVUTANO kati ya viongozi waliokuwa katika awamu ya nne na viongozi walioko AWAMU ya TANO!
WALIPOGUTUKIANA!
UTAPELI juu ya UTAPELI.
Ila kwa Magufuli wameinua Kofia hawana NAMNA!
KANDO ya hayo WANIGERIA katika biashara ama uwekezaji wao mara nyingi HAWAKUWAGI WANYOOFU!!
 
Hakuna tajiri aliyefanikiwa akafanya fair kwa watu
 
Hili la kujaribu kuua viwanda vingine naona lina ukweli.
Analalamikia gharama za uendeshaji wakati bei ya cement yake ipo chini sana.
Tafakari hapo
 
Dangote is running 500 trucks kila siku up and down,liters ngapi za diesel anaunguza hapo?
na madereva 500 wako ktk pay rolling yake eeh?
ananatumia 4millions $ kwa diesel tu za ku run factory yake,wafanyakazi almost 10000 wame ajiliwa,you can imagine mshahara kiasi gani kila mwezi wanalipwa,Tazama matairi mangapi hapo ktk hizo truck 500 yanatumika? na yote yamelipiwa ushuru hayo matairi,Tazama oil liters ngapi zinahitajika ktk hizoo trucks eeh? na vyote hivyo vimelipiwa ushuru,hii ni mifano.midogo tuu nimekupa ya kiasi gani jamii ina nufaika nae alafuu wewe unamuita Tapeli Sio???
katafute issues ya kuandika humu ndani,ila sio concerning Dangote,Kwanza humjuw hata kidogo unataka kuupotosha uma wa watanzani tu hapa aaahh
 
  • Thanks
Reactions: AHA
Ukiona propaganda za "sizitaki mbichi hizi", zimezidi hivi ktk social media ujue hili saga limemwelemea Mjomba Magu na tujue tayari jamaa anajiandaa kung'oa mitambo ya kiwanda chake kukipeleka Kenya!!

Sasa mwoneni naye huyu, jamaa insha ndeefu na kila mstari umebebwa na na maneno..... jamaa ni tapeli .....tapeli.....tapeli, lakini cha ajabu hata hasemi alimtapeli nani, nini na wapi!!

Possibly, ukweli wa haya waweza kuwa ni the opposite.

Kwamba, inawezekana CCM ndiyo walikuwa wanataka kumtapeli jamaa na kwa kuwa kawashtukia na kama ilivyo asili yao kutapeli sasa wanajaribu kuigeuza picha up side down ili tushindwe kuisoma vyema!!
Bado siamini kama Dangote anaweza kung'oa mitambo yake pale Mtwara; Mitambo ya kutengeneza cement inafanana sana na mitambo ya migodini, hata kama akitaka kuiondoa still hawezi ngoa kila kitu, Dangote bado anakihitaji sana kiwanda chake ili aendelee kutengeneza pesa au hata kurudisha mtaji wake aliouzika pale. Hata kama sijafika Mtwara but ninakubaliana na mleta uzi kwa 90% cause malalamiko ya hao Wahindi yalianza kipindi kiwanda kinafunguliwa tu na pia tunao uzoefu na Wahindi wakiwa kwenye management ya biashara yoyote. Dangote anacha kupoteza zaidi kuliko sisi though atakua katuchafua huko kwenye nchi za watu cause habari zake hizi tayari lile jarida maarufu duniani limeisha andika kuhusu hili suala.
 
Naona mleta mada anashambuliwa kwa madongo ya ukweli na uongo. Huyu jamaa ameandika mengi na anajua mwenye kayatoa wapi. Mwenye ukweli tofautikuhusiana na Dangote, kando ya yaliyomo ndani ya mkataba ambao wengi wetu hatujauona, auseme hapa. Kuna mmoja amesema anafanya kautafiti kuhusu Dangote, which is fairly simple; afanye atuambie. Kwa wenzetu mlioko Dar mnaweza kuanzia Tanzania Investment Center. Mtu fulani anaweza kuja na more objective information kuhusu Dangote maana nahisi kuna kaukweli katka mada ila kaukweli kako kiudaku zaidi.
Katumwa huyoo
 
Asante sana kwa habari yenye mashiko. Huwa nawashangaa sana wale mabingwa wa kulaumu bila kujua kanuni za uchumi!
Utatoaje incentives zote kwa kiwanda kimoja? Je unataka kuua vingine na hivyo kuua competition?
Hivi kweli kuna watu hawajui umuhimu wa kupromote matumizi ya malighafi zilizopo nchini?
Ilitolewa comparative report ya ubora wa makaa ya mawe ya nchini vs ya South ikionyesha yetu ni bora zaidi lakini wapiga zumari waliifumbia macho na wakaendeleza siasa za kukosoa tu.
Hivi lini mtajielewa kwamba ni watz na inabidi tushikane kama watz?
 
Najiuliza viwanda vingapi vipo chini ya management ya waswahili ambavyo twaweza tumia kama role models kwetu!
 
  • Thanks
Reactions: AHA
Mtoa mada nakuunga mkono. Kama management ipo chini ya wahindi bora waondoke tu hawa watu sio kabisa. Watu wa Arusha nadhani wanajua shida za wahindi pale A TO Z kisongo kuna unyanyasaji wa hali ya juu. Pia taasisi zinazokua chini ya wahindi ni shida hizohizo...hao wahindi walitaka wapewe gesi bure ili wapige cha juu na ndo zao. Kam kuna mtu anapinga viongozi wa serikali katika hili maana yake anaunga mkono mikataba ya kinyonyaji ya madini iendelee kutukamua.....Kaza Magufuli. Sikukuchagua lakini naamini utasimamia nidham na usawa, hakuna upendeleo vigezo na masharti kuzingatiwa kama hataki kununua makaa ya mawe ya bongo basi ayalipie kodi bandarini hayo anayotoa south

wahindi ndo wamejazana bonite kwa sasa ina chechemea , wakotayari kukukamua hadi damu ili waingize faida na wao wapate cha juu
 
sisi tushalipiga teke fuko la Pesa? Tena limedondokea upande wa Kenya,wenzetu wameliokota [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii nchi bana mtu anasema anachojua anashambuliwa yani ni bora utulie na familia yako tu kuliko kujifanya mzalendo kwa hawa watanzania
 
Blah blah blah full propaganda kujitetea... Mara halipi vizuri mara analeta kontena la wahindi anawalipa vizuri.

Porojo mingi Za kuremba remba uongo.
 
Ngoja narudi kuisoma vizuri, sasa hv nakula nyama choma moja matata sana baada ya tizi kali sana.. narudi
 
Back
Top Bottom