Fahamu tafsiri sahihi ya kosa la uhaini na adhabu yake usije ukasema watu wanaonewa

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,227
5,949

Uhaini ni kosa la jinai analofanya mtu dhidi nchi yake na mtu anyefanya kosa hili anajulikana kama msaliti.Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, mtu akifanya yafuatayo huhesabiwa kama amefanya kosa la jinai la uhaini. kifungu 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote akifanya haya atakuwa ametenda kosa la jinai ambalo ni kosa la uhaini:
  1. kujaribu kumuua Rais,
  2. kuanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Muungano,
  3. kusababisha,
  4. kuwezesha,
  5. kuchochea,
  6. kushawishi,
  7. kushauri kuhusu kifo, kumlemaza, kumzuia, kufungwa kwa Rais
  8. kumwondolea Rais heshima na jina la mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu, au kiongozi wa serikali,
  9. kupindua serikiali iliyo madarakani,
  10. kutishia serikali, bunge au mahakama.
Kwa watu wenye akili timamu dr Slaa, Wakili Mwambukusi, na mtukanaji mkuu wa seriakli Mdude Nyangali hawawezi kuwa wamekwepa amri hizi kumi za uhaini
 
Ni vigumu kuprove kuwa walishawishi au walichochea; wao walikuwa wanatoa maoni yao.

Iwapo kila anayeongelea makosa ya serikali atachukuliwa kuwa anachochea au anashwawishi basi maana ya demokrasi inakuwa imekwishai kwa kuondoa kipengele kinachomruhus raia kwenda popote au kusema lolote mradi havunji shreia. Kwa sababu kukosoa serikali itakuwa ni uvunjanji wa sheria.

Ninachomhurumia Dr. Slaa ni kwa vile aliwahi kuwa Padre wa kikatoliki. Kwenye utawala kama huu, yeye ataonekana mgalatia anayeleta vurugu na ni lazima anyamazishwe kwa njia zozote hata ziwe haramu.
N i jambo ambalo limegeuzwa kuwa la kidini kwa vile linahusisha waarabu ambao wana uhusiano wa karibu sana na dini ya kiongozi wa nchi.
 
Uhaini ni kosa la jinai analofanya mtu dhidi nchi yake na mtu anyefanya kosa hili anajulikana kama msaliti.Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, mtu akifanya yafuatayo huhesabiwa kama amefanya kosa la jinai la uhaini. kifungu 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote akifanya haya atakuwa ametenda kosa la jinai ambalo ni kosa la uhaini:
  1. kujaribu kumuua Rais,
  2. kuanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Muungano,
  3. kusababisha,
  4. kuwezesha,
  5. kuchochea,
  6. kushawishi,
  7. kushauri kuhusu kifo, kumlemaza, kumzuia, kufungwa kwa Rais
  8. kumwondolea Rais heshima na jina la mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu, au kiongozi wa serikali,
  9. kupindua serikiali iliyo madarakani,
  10. kutishia serikali, bunge au mahakama.
Kwa watu wenye akili timamu dr Slaa, Wakili Mwambukusi, na mtukanaji mkuu wa seriakli Mdude Nyangali hawawezi kuwa wamekwepa amri hizi kumi za uhaini
Hata wewe pia mhaini......unachochea....
 
Ni vigumu kuprove kuwa walishawishi au walichochea; wao walikuwa wanatoa maoni yao.

Iwapo kila anayeongelea makosa ya serikali atachukuliwa kuwa anachochea au anashwawishi basi maana ya demokrasi inakuwa imekwishaichozea au walishawisha kwa kuondoa kipengele kinachomruhus raia kwenda popote au kusema lolote mradi havunji shreia. Kwa sababu kukosa serikali itakuwa ni uvunjanji wa sheria.

Ninachomhurumia Dr. Slaa ni kwa vile aliwahi kuwa Padre wa kikatoliki. Kwenye utawala kama huu, yeye ataonekana mgalatia anayeleta vurugu na ni lazima anyamazishwe kwa njia zozote hata ziwe haramu.
Mkuu kichuguu unahaki ya kutoa maoni na kila mtu anayo. Mwalimu Nyerere alitoa maoni kuwa haoni na halizishwi na sababu za kuiuza NBC ila hakufikia hatua ya kusema wala kwambia watu waandamane ili kuiondoa serikali. Mwalimu huo uwezo alikuwa nao na watu wangeandamana. Mwisho wa siku leo tuna NBC tena inadhamini ligi ya mpira na tuna NMB iko mpaka kwenu.
Nyinyi leteni siasa hawa watu watafungwa na hamtawaona mitaani kama serikali ikiaamua kuishi kwa kutumia sheria.
 
Ni vigumu kuprove kuwa walishawishi au walichochea; wao walikuwa wanatoa maoni yao.

Iwapo kila anayeongelea makosa ya serikali atachukuliwa kuwa anachochea au anashwawishi basi maana ya demokrasi inakuwa imekwishaichozea au walishawisha kwa kuondoa kipengele kinachomruhus raia kwenda popote au kusema lolote mradi havunji shreia. Kwa sababu kukosa serikali itakuwa ni uvunjanji wa sheria.

Ninachomhurumia Dr. Slaa ni kwa vile aliwahi kuwa Padre wa kikatoliki. Kwenye utawala kama huu, yeye ataonekana mgalatia anayeleta vurugu na ni lazima anyamazishwe kwa njia zozote hata ziwe haramu.
na kwa kuongezea, ili wa prove hiyo kesi maana yake tayari tendo limefanyika na kufanikiwa baada ya huo ushawishi au uchochezi. Lakini kama hakuna mtu yeyote aliye tenda tendo la matokea ya uhaini, ni isidingo tu huko mahakamani..
 
Screenshot_20230816_173725_Adobe Acrobat.jpg
 
Mkuu kichuguu unahaki ya kutoa maoni na kila mtu anayo. Mwalimu Nyerere alitoa maoni kuwa haoni na halizishwi na sababu za kuiuza NBC ila hakufikia hatua ya kusema wala kwambia watu waandamane ili kuiondoa serikali. Mwalimu huo uwezo alikuwa nao na watu wangeandamana. Mwiasho wa siku leo tuna NBC tena inadhamini ligi ya mpira na tuna NMB iko mpaka kwenu.
Nyinyi leteni siasa hawa watu watafungwa na hamtawaona motaanai kama serikali ikiaamua kuishi kwa kutumia sheria.
Hawakusema kuwa watu waiondoe serikali madarakani, kuandamana ni mojawapo ya uhuru wa binadamu na haki ya msingi wa kidemokrasia mradi maandamano hayo yafuate sheria.
 
na kwa kuongezea, ili wa prove hiyo kesi maana yake tayari tendo limefanyika na kufanikiwa baada ya huo ushawishi au uchochezi. Lakini kama hakuna mtu yeyote aliye tenda tendo la matokea ya uhaini, ni isidingo tu huko mahakamani..
Ndio sababu Nyerere aliwachora akina Tamimu akaja kuwanasa kwenye tukio 😂😂😂
 
Hawakusema kuwa watu waiondoe serikali madarakani, kuandamana ni mojawapo ya uhuru wa binadamu na haki ya msingi wa kidemokrasia mradi maandamano hayo yafuate sheria.
 
Uhaini ni kosa la jinai analofanya mtu dhidi nchi yake na mtu anyefanya kosa hili anajulikana kama msaliti.Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, mtu akifanya yafuatayo huhesabiwa kama amefanya kosa la jinai la uhaini. kifungu 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote akifanya haya atakuwa ametenda kosa la jinai ambalo ni kosa la uhaini:
  1. kujaribu kumuua Rais,
  2. kuanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Muungano,
  3. kusababisha,
  4. kuwezesha,
  5. kuchochea,
  6. kushawishi,
  7. kushauri kuhusu kifo, kumlemaza, kumzuia, kufungwa kwa Rais
  8. kumwondolea Rais heshima na jina la mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu, au kiongozi wa serikali,
  9. kupindua serikiali iliyo madarakani,
  10. kutishia serikali, bunge au mahakama.
Kwa watu wenye akili timamu dr Slaa, Wakili Mwambukusi, na mtukanaji mkuu wa seriakli Mdude Nyangali hawawezi kuwa wamekwepa amri hizi kumi za uhaini
Karibu yote hapo Juu yanawahusu wale Jamaa 😁😁
 
na kwa kuongezea, ili wa prove hiyo kesi maana yake tayari tendo limefanyika na kufanikiwa baada ya huo ushawishi au uchochezi. Lakini kama hakuna mtu yeyote aliye tenda tendo la matokea ya uhaini, ni isidingo tu huko mahakamani..
Ndiyo unavyojidanganya, kwenye jinai nia tu inakufunga. Kwenye uhalisia rejea kesi ya akina Kadego wakati wa Nyerere, kwani hata walimgusa, walikamatwa kama kuku wakala mvua za kutosha. kwa kukuongezea kule kanisani watu husali hivi
UNGAMO LA DHAMBI.

Nakuungamia Mungu Mwenyezi; nanyi ndugu zangu, kwani nimekosa mno
  1. kwa mawazo,
  2. kwa maneno,
  3. kwa vitendo, na
  4. kwa kutotimiza wajibu.

Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana. Ndio maana nakuomba Maria mwenye heri, Bikira daima, Malaika na watakatifu wote, nanyi ndugu zangu, niombeeni kwa Bwana Mungu wetu.
Kati ya hayo mambo manne Slaa, Mwambukusi na Mdude wametimiza 1,2, na 4 sijui wanaponea wapi
 
Back
Top Bottom