Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 4,953
- 6,071
Miche ya muda gani? Yaan mpk mavunoMsimu was kupanda Miche bora ya korosho umewadia , mwenye kuhitaji apige 0784474935, utaletewa popote ulipo
Miche ya muda gani? Yaan mpk mavunoMsimu was kupanda Miche bora ya korosho umewadia , mwenye kuhitaji apige 0784474935, utaletewa popote ulipo
Baada ya miaka 3 unaanza kuvuna, inavumilia ukame , wadudu nq magonjwa, kwa ufupi ni polyclonal seeds
Karibu Liwale bado mashamba ni mengi sanaHuu uzi umenipa mwanga, hata mimi nina mpango wa kununua mashamba huko kusini ili nilome zao hili. Hii ni moja ya ndoto zangu
bei ya ekari moja ni sh ngapi? unawezakupata ekari 50?Karibu Liwale bado mashamba ni mengi sana
bei ya ekari moja ni sh ngapi? unawezakupata ekari 50?
Hongera mkuu na mimi ngoja niunge tela.Wakuu Salaams
Napenda kuwashirikisha kwenye fursa hii ya korosho tena, Nilihamasika na kufuatilia kilimo cha korosho katika mikoa ya kanda ya kati, yaani Dodoma na Singida.
Sina data za uhakika lkn kwa taarifa zilizopo ardhi ya Singida na Dodoma zinafaa sana kulima korosho na yield yake ni kubwa kushinda mikoa ya kusini.
Wilayani manyoni zimepandwa korosho nyingi sana karibu hekta 12000 na zinavutia kwa kweli, Kitu kizuri ardhi bado sio ghali huku nami nishaanza kuchukua mamia ya ekari kwa kilimo hiki.
Liwale mashamba bei ganKaribu Liwale bado mashamba ni mengi sana
Ukipata ya serikali ya kijiji ni kuanzia 25000. Ila ukipata kwa wenye maeneo yao bei inapanda.
Heka 100 huko mtu unaweza kupata kwa shilingi ngapi?Wakuu Salaam,
Napenda kuwashirikisha kwenye fursa hii ya korosho tena, Nilihamasika na kufuatilia kilimo cha korosho katika mikoa ya kanda ya kati, yaani Dodoma na Singida.
Sina data za uhakika lkn kwa taarifa zilizopo ardhi ya Singida na Dodoma zinafaa sana kulima korosho na yield yake ni kubwa kushinda mikoa ya kusini.
Wilayani manyoni zimepandwa korosho nyingi sana karibu hekta 12000 na zinavutia kwa kweli, Kitu kizuri ardhi bado sio ghali huku nami nishaanza kuchukua mamia ya ekari kwa kilimo hiki.
naomba connection nijipatie japo ekari 30Poli la kawaida sana View attachment 740749View attachment 740750
Ukipata ya serikali ya kijiji ni kuanzia 25000 . Ila ukipata kwa wenye maeneo yao bei inapanda
Sent using Jamii Forums mobile app