mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,335
Naomba kujuana juu ya kilimo hicho cha korosho
Nipo ikungi singida nataka nipande miche 2000
Ni wapi ntaipata hii miche na kwa gharama gani?
Na wapi ntaweza kuuza korosho?
Nipo ikungi singida nataka nipande miche 2000
Ni wapi ntaipata hii miche na kwa gharama gani?
Na wapi ntaweza kuuza korosho?