MANAKE MKARI
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 281
- 211
Ya kubebesha aua kawaida?Ukiwa tayari njoo tukuuzie miche bora kbsaa tupo morogoro nanenane
Ya kubebesha aua kawaida?Ukiwa tayari njoo tukuuzie miche bora kbsaa tupo morogoro nanenane
Ya kawaida ila miaka 3 unaanza kula matunda.Ya kubebesha aua kawaida?
Ukatili dhidi ya wa nyama. Kigwangalah hatakuachaWashenzi sana Hawa. Inabidi kumtega mmoja halafu unamwamba mtini na kumtundika ili wenzie wamuone
Ukatili dhidi ya wa nyama. Kigwangalah hatakuacha
HABARI,
"fungafunga,
Amen,Usirudi nyuma hata kama ukikutana na shauri nyingine mamuzi yako ni yako ni heri kufeli kwa maamuzi yako kwa kuwa utajifunza ila sio ya mwingine songa mbele. Samahani sikukuuliza shamba lako liko wapi.
LUMUMBA
Hahaaa.....sawa mkuu. Hii serikali haina dogo km mtu kacheka picha ya rais na amekaa mahabusu wiki nzima??!!Bora aje tu tutajuana huko huko
mkorosho huanza kuzaa vizuri kuanzia miaka 2½ hadi mitatu kupata kilo 10 inategemea na aina ya mbegu lakini hizo kilo 10 ni pale unapochanganya kuzaa vizuri yani miaka 3 hadi 4 na kadri umri unavyo ongezeka basi mapato yanaongezeka.Asante kwa andiko zuri. Ila ningetamani kufahamu zaidi.. huo mkorosho uliostawi vizuri wenye kutoa kilo 10 hadi 20 unakuwa na umri wa miaka mingapi?
😂 kama hizi ni kwa ajili ya kizazi kijacho ilimradi watu wasome inatosha kuchangia majaliwa.Mada kama hii hakuna wachangiaji kabisa aise!!!!!
karibu tena.Uzi mzuri sana nitaupitia tena baadae
Kweli kabisa aise😂 kama hizi ni kwa ajili ya kizazi kijacho ilimradi watu wasome inatosha kuchangia majaliwa.
Vipi kuhusu spacing kwa mbegu za kisasa ambazo hutoa miti 100?
Nimekuelewa vizuri. Ila swali linakuja kwamba niweke space ngapi mti na mti ili nipate miti 100 kwa mbegu za kisasa?