Njoo tulime kilimo cha umwagiliaji

mtani21

JF-Expert Member
Jun 30, 2021
855
1,356
Mimi ni mdau wa kilimo. Nina mashamba kadhaa baadhi ya mikoa. Ila natafuta mdau mwenye mzuka wa kilimo tulime, kwa shamba langu liliopo Mkoa wa pwani, Wilaya ya Kisarawe, kijiji cha Kisanga ekari 6. Shamba lina maji ya kutosha.

Kilimo cha umwagiliaji kinalipa. Njoo tulime
 
Kwa nini usilime wewe mwenyewe hadi uhitaji kampani?
 
Mimi ni mdau wa kilimo. Nina mashamba kadhaa baadhi ya mikoa. Ila natafuta mdau mwenye mzuka wa kilimo tulime, kwa shamba langu liliopo Mkoa wa pwani, Wilaya ya Kisarawe, kijiji cha Kisanga ekari 6. Shamba lina maji ya kutosha.

Kilimo cha umwagiliaji kinalipa. Njoo tulime
Nicheki kwenye naomba hii 0762912692.
 
Mimi ni mdau wa kilimo. Nina mashamba kadhaa baadhi ya mikoa. Ila natafuta mdau mwenye mzuka wa kilimo tulime, kwa shamba langu liliopo Mkoa wa pwani, Wilaya ya Kisarawe, kijiji cha Kisanga ekari 6. Shamba lina maji ya kutosha.

Kilimo cha umwagiliaji kinalipa. Njoo tulime
0718316177 nicheki
 
Back
Top Bottom