Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 739
Pumbavu zako unafundisha with
Mi nikila kinyama hakyanani siku ya pili mkija nyumbani hamnikuti kwa sababu nitakuwa nimeanza kula ugari wa bure Segerea kwa sababu nitakuwa nimeshamtanguliza mtu mbele za haki.
wanawake mtatuua!
Pumbavu zako unafundisha with
hata nyie washirikina sana sikuhizi..sema tutauanaaaa
Mokoyo hapana, ama niseme sijui. Nilikuwa namsaidia kirumonjeta kuwaita hao wadada, yeye ndiye wa kwanza kuwataja hapa, mii nikamsaidia kuwaita tu!
Nawe uko kwenye listi.
Nitatundika jina lako juu ya ule muarobaini pale barazani kwako.
Afu uone kimbembe chake.....nakuinamisha kama kondoo.
pale c pana upepo angalau sitazidiwa pia mie naogea mafuta ya nguruwe viuchawi mshenzi havinipati
Hiyo ya kinyama huyo mwanamke atakuwa haoshi hiyo K yake? Maana umesema siku kadhaa anakuwa amekihifadhi hicho kinyama. Ukitaka
mwanaume usipewe limbwata kuwa na wanawake wengi tu nguvu zitagongana na kurepel
Kama akiweza kuweka kipande cha nyama papuchini wiki nzima, kikaoza then akakuwekea kwenye chakula, ni kitu gani kitamzuia kukuwekea sumu siku akiamua?
Bado nafikiria maumbile ya mwanamke na jinsi hicho kipande cha nyama kinavyokaa huko ndani siku zote hizo.