Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Umesahau limbwata la mjusi...mjusi anapikwa rosti halafu unalishwa...!
Kwa maelizo zaidi muone MziziMkavu
Eeeeeeeeeh hadi mjusi tena??
Umesahau limbwata la mjusi...mjusi anapikwa rosti halafu unalishwa...!
Kwa maelizo zaidi muone MziziMkavu
Mmmhhh na hii huwapata wale wasio sali/takasa chakula kabla ya kula...
Looooh
Hivi hizi silaha huweza pia kutumiwa na mwanaume ili kumfuga mwanamke?
Hiyo ya kinyama huyo mwanamke atakuwa haoshi hiyo K yake? Maana umesema siku kadhaa anakuwa amekihifadhi hicho kinyama. Ukitaka mwanaume usipewe limbwata kuwa na wanawake wengi tu nguvu zitagongana na kurepel
na ndo mwisho wa mambo yote
slim5, kweli mnofu uwekwe sehemu hizo kwa siku kadhaaaaaaaaa....... bila kuhatarisha afya ya mbebaji? I have serious doubts na ukweli wa hii OPTION. Thanx for ur efforts
nilimtongoza mnaijeria akaniambia nina boyfriend kwetu,akaonyesha alama mkononi kwamba alichanjwa na mpenzi wake na yeye alimchanja,yaani ukichanjwa unalamba dam kwamba hutasaliti..................mmmh baadaye mbona alijisahau...........halafu nirudishe mle
Yote hayo ya niniii labda kama simpendi mume wangu ndio ntafanya hivyo
Thubutuuuu
zamani alisema havunji maagano,nilikula kisiri,now kasahau analiwa na rafiki yangu mbongo,mmmmh so jamaa atarest?inatisha kwa maelezo yakohuyo alichanjwa kwa ajili ya Yamini....waligusanisha damu.
Yamini hii kuaguliwa kwake:
1....watafutwe wazee walioitengeneza hii yamini, ili uaguliwe kabla mmoja hajafa la sivyo jua kuwa kila mwanaume atakayekuoa lazima afe.
2....endapo utakuja kustuka kuwa wataka kuaguliwa na mmoja ameshakufa,....wazee waliosoma hukukutanisha wewe na marehemu juu ya shuka ambalo mmeshawahi kulitumia kwa kuchanjwa mikono na kuwagusanisha damu.
....maiti ikikubali kutengua yamini....basi damu yake na yenu huwa inapotea juu ya mkono ila isipokubali basi damu ya marehemu huwa juu ya mkono wake.
....kumbuka maiti iliyokaa mochwari haitenguliwi yamini.....itakula kwako.
Epuka kufanya vitu kwa shinikizo.
zamani alisema havunji maagano,nilikula kisiri,now kasahau analiwa na rafiki yangu mbongo,mmmmh so jamaa atarest?inatisha kwa maelezo yako
siyo mimi,nina wasiwasi na ww mkuuNo,yawezekana akawa katenguliwa na wazee.
Ila endapo hajatenguliwa jua akimuoa huyo mwanamke lazima afe labda ajiwahi kwa madawa.
...Ila mbona una wasiwasi au ni wewe mkuu?
siyo mimi,nina wasiwasi na ww mkuu
unasound kigumu ila we mtoto mlaini kama mfupa wa kukuMie tena, mie nakuroga tu....tutajuana mbele ya Mungu siku ikifika.
unasound kigumu ila we mtoto mlaini kama mfupa wa kuku
Mi mbona limbwata langu sijaliona hapo banaaaa
huyo alichanjwa kwa ajili ya Yamini....waligusanisha damu.
Yamini hii kuaguliwa kwake:
1....watafutwe wazee walioitengeneza hii yamini, ili uaguliwe kabla mmoja hajafa la sivyo jua kuwa kila mwanaume atakayekuoa lazima afe.
2....endapo utakuja kustuka kuwa wataka kuaguliwa na mmoja ameshakufa,....wazee waliosoma hukukutanisha wewe na marehemu juu ya shuka ambalo mmeshawahi kulitumia kwa kuchanjwa mikono na kuwagusanisha damu.
....maiti ikikubali kutengua yamini....basi damu yake na yenu huwa inapotea juu ya mkono ila isipokubali basi damu ya marehemu huwa juu ya mkono wake.
....kumbuka maiti iliyokaa mochwari haitenguliwi yamini.....itakula kwako.
Epuka kufanya vitu kwa shinikizo.
mkuu kabanga kwa bahati mbaya, mlishwa limbwata hawezi kujua kamwe, ila salama yako ni pale ndugu na jamaa zako watakaposhtuka na kukuonea huruma, watakapoamua kuhangaika kwa ajili yako labda wanaweza kukuokoa.