Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

This post deleted by Jagarld as it was a provoking one.
 
Last edited by a moderator:
Dada zetu amkeni,kuishi na mwanamme uliyemlisha limbwata ni sawa na kuishi na msukule tu na ni ujinga uliopitiliza kwa kweli.
 
Kuna moja niliwahi nifumania UGALI ULIPIKWA WAKATI WAKUUIPUWA KABLA YA KUTOA SUFURIA HUWEKWA CHINI YA MIGUU YA MDADA ALIYEVAA GAUNI BILA CHUPI KISHA SUFURIA HUTOLEWA AMBAPO UGALI HUTOA MVUKE MPAKA KWENYE MAKU; MAKU HUDONDOSHA JASHO KWENYE UGALI NA BAADA YA HAPO HULETWA KWA MWANAUME KAMA MSOSI.

Ndg wanaume hali ni mbaya zaidi; tujitahidi na sisi tuwape Limbata wanawake! 90% ya wanaume wamesha wahi pewa limbwata tofauti ni kuwa wengine walidanganywa haikuwa yenyewe wengine walikuta waume zao ni wagumu hivyo hazikufanya kazi!
 
Hivi maisha hayaendi bila limbwata? Chanzo cha mambo haya ni nini? Hakuna kinga ili usilogwe?
 
"Ukizaliwa mwanaumeee, we ujue kila kitu kwako itakuwa ni tabu!! ... Wanaume tumeumbwa mateso,mateso kuhangaikaaa!!
Mwanamume anapopatwa na matatizo ooh, macho huwa mekundu kwa uchungu lakini katu katu usikate tamaa!! R.I.P TX Moshi William na kamanda Gurumo!
 
dahhh makubwa leo...ila hii ya mwisho imenikumbushia siku nyingi kidogo nilikuwa msichana mdogo km form 1 or 2...Nilikuwa nimetoka shule nikakaa mlangoni hapa hapa Dar...Kuna mmama mmoja alikuwa na wageni nilipoona wageni wametoka wakiwemo wanaume nikaona baada ya hapo akaja akachukua mchanga pale wale watu walipopita sikuelewa....now umenifumbua..itakuwa pengine ktk wale kuna mtu amemfanyia..

Jamani mmeshinda poa!

Wanawake / Mabinti baadhi wamekuwa watumiaji wazuri wa limbwata kama sehemu ya kuongeza chachu ktk mahusiano yao ya mapenzi. Zifuatazo ni baadhi ya teknolojia maarufu ama niseme pendwa za limbwata. Waweza kuongeza yoyote ile uijuayo:

Kinyama

Hii kitu kuna siku Mkuu MziziMkavu aliielezea vizuri tu. Katika hili, kipande kidogo cha nyama mfano wa mnofu mmoja wa “mshikaki” huwekwa katika maku ya mtaka tiba, kwa muda wa siku kadhaa kulingana na masharti ama maelekezo ya mganga husika “fundi”, baadae kinyama hiki hupikwa na sehemu nyingine ya kitoweo kama mboga na kuliwa. Mlengwa wa limbwata ataathirika mara tu baada ya kula mlo uliohusiha mboga yenye kinyama hiki! Wanaoipenda njia hii wanasema ni ngumu sana kumuagua mwanaume alielishwa kinyama

Maji ya mchele:

Hii ni aina nyingine ya teknolojia ya limbwata. Ni kwamba kwa kutumia njia hii, maji ya kawaida hupelekwa kwa mganga kwa ajili ya kazi husika, na kisha maji hayo hurudishwa nyumbani, mwanamke mhusika huyatumia maji ya dawa haya kuoshea maku na baadae huyatumia kuoshea mchele ama hata kupikia kabisa! Limbwata hili hufanya kazi kwa mlengwa baada ya mlengwa kula chakula kilichopikwa kwa maji tajwa! Wanaoipenda njia hii wanasema ni ngumu sana kumuagua mwanaume alienyeshwa maji hayo, na kwamba ili kumuagua lazima apatikane fundi Yule Yule aliefanya yake!

Kisomo:

Nyingine. Hii haisemwi sana, ni kama siri kubwa, huwa haijulikani hasa ni aina gani ya “kisomo” hufanyika lakini wateja na wafuasi wa limbwata la aina hii wanakiri kuwa, mwanaume aliesomewa (msomaji ni fundi “mganga”) huwa ni zaidi ya kondoo, kwa maana ya kuwa maisha yake yote yaliyobaki yanakuwa ni yale ya “ndio mzee” kwa mwanamke alietengeneza! Wanaoipenda njia hii wanasema sio nzuri sana kwa vile fundi mwingine yoyote anaweza akafanya kisomo kinyume.

Kifaranga:

Hapa mwanamke mhitaji huagizwa na fundi kupeleka kifaranga, na mara nyingi ni cha kuku. Fundi humfanyia kazi Kifaranga huyu katika karakana yake, namna fundi anavodili na kifaranga hiki ndio ndio kazi halisi ya kumuinamisha mme ama mpenzi wa mtu, kifaranga huyu hubaki ktk himaya ya fundi kwa maisha yake yote, na namna kifaranga huyu anavolelewa na huyu fundi, na kufuata anavotaka mfugaji, ndio hivo hivo mlengwa atakavopelekwapelekwa! Njia hii inachangamoto moja kubwa, usalama na uhai wa kifaranga huwa ni tatizo, na iko subjected to frequent updates!

Jina kuning’nizwa juu ya mti:

Hii inafanana na kisomo. Tofauti ni kwamba, baada ya fundi kufanya kazi yake, huku jina la mlengwa likiwa limenuiwa, karatasi lililoandikwa jina hili (jina la mwanaume mlengwa) huenda kuning’inizwa katika moja ya mti mrefu ambao ni sharti uwe mbali na wanapoishi wapenzi ama wanandoa hao, wakati mwingine inahusisha mkoa mmoja hadi mwingine! Wanasema kusipokuwepo na upepo, mwanaume huwa mjanja mjanja, lkn upepo ukivuma kidogo tu, mwanaume huyu akili huruka na kumuwaza aliemtengeneza! Ili upone kutoka katika limbwata hili, lazima huu mti utafutwe na kikaratasi kikatwe, ndio utapona!

Kaburi la mtoto

Hapa kuna vitu hufukiwa. Kama ilivo limbwata la hapo juu, limbwata hili linahusisha madawa na majina ya mlengwa. Kaburi husika hutafutwa maeneo ya mbali sana. Madawa na majina ya mlengwa hufukiwa katika kaburi la mtoto. Hapa huponi mpaka kaburi lipatikane na kazi ifanyike hap!

Unyayo kucha ama kinywele:
Hapa kuna mchanganyiko wa ufundi unaotumika. Wapo wanaotumia mchanga wa unyayo, wapo wanaotumia kipande cha v.u.z.i, wengine hutumia hata c.h.u.p.i ya mlengwa, lakini yote kwa yote ni kwamba fundi atadili na mlengwa kutumia aina mojawapo ya nyenzo hizi! Mafundi wengi inasemekana ni wataalamu wa kuagua wahanga wa njia hii!

Kazi kwenu wapenda michepuko!
 
Kinga yako Mungu...Ila omba ukiwa serious, weka nia yote nyenyekea wkt unaomba..Atakusaidia...Usiombe kiunafiki...

Hivi maisha hayaendi bila limbwata? Chanzo cha mambo haya ni nini? Hakuna kinga ili usilogwe?
 
mmmmmmmmmmh bila YESU umeenda na maji kwa kweli maana naona mbinu ni nyingi mnooo kuliko walengwa
 
Kuna moja niliwahi nifumania UGALI ULIPIKWA WAKATI WAKUUIPUWA KABLA YA KUTOA SUFURIA HUWEKWA CHINI YA MIGUU YA MDADA ALIYEVAA GAUNI BILA CHUPI KISHA SUFURIA HUTOLEWA AMBAPO UGALI HUTOA MVUKE MPAKA KWENYE MAKU; MAKU HUDONDOSHA JASHO KWENYE UGALI NA BAADA YA HAPO HULETWA KWA MWANAUME KAMA MSOSI.

Ndg wanaume hali ni mbaya zaidi; tujitahidi na sisi tuwape Limbata wanawake! 90% ya wanaume wamesha wahi pewa limbwata tofauti ni kuwa wengine walidanganywa haikuwa yenyewe wengine walikuta waume zao ni wagumu hivyo hazikufanya kazi!

Mkuu KIRANGWA usemacho ni kweli kabisa, nimewahi kusimuliwa aina hiyo ya limbwata
 
Last edited by a moderator:
dahhh makubwa leo...ila hii ya mwisho imenikumbushia siku nyingi kidogo nilikuwa msichana mdogo km form 1 or 2...Nilikuwa nimetoka shule nikakaa mlangoni hapa hapa Dar...Kuna mmama mmoja alikuwa na wageni nilipoona wageni wametoka wakiwemo wanaume nikaona baada ya hapo akaja akachukua mchanga pale wale watu walipopita sikuelewa....now umenifumbua..itakuwa pengine ktk wale kuna mtu amemfanyia..
illuh haya mambo yapo sana, ni kumuomba mungu tu, yasikupitie ktk njia zako!
 
Last edited by a moderator:
"Ukizaliwa mwanaumeee, we ujue kila kitu kwako itakuwa ni tabu!! ... Wanaume tumeumbwa mateso,mateso kuhangaikaaa!!
Mwanamume anapopatwa na matatizo ooh, macho huwa mekundu kwa uchungu lakini katu katu usikate tamaa!! R.I.P TX Moshi William na kamanda Gurumo!
Tulimumu mimi naongezea - R.I.P Selemeni Mbwembwe
 
Last edited by a moderator:
Daa inauma sn.Me sitaoa ati!
Kwani wanawake wengi ni wepesi sn kudanganyana na kufanya haya mambo.Ni dhambi halafu ndoa lazima itayumba tu.
 
Sie ndicho tulichobakiza wakati wen zetu wanapaa kwa technologia
 
Hiyo ya kinyama kuna shoga mmoja aliiweka makalioni si akasahau akainyea.
 
Daa inauma sn.Me sitaoa ati!
Kwani wanawake wengi ni wepesi sn kudanganyana na kufanya haya mambo.Ni dhambi halafu ndoa lazima itayumba tu.

Hata usiogope...we oa tuu. Uzuri wa yale madude huwa yanaexpiry....labda awe ana update mara kwa mara....

Nina ushahidi wa ndoa mbili zilizovunjika this week baada ya limbwata kuisha muda wake....ningekusimulia ila nna usingiziiiiii......!
 
Back
Top Bottom