excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,449
- 17,918
haaaa baki nayo tu
napita....!
haaaa baki nayo tu
madem wa kirangi wanaweka kwanza nyama kwenye sehemu za halafu ndo unaletewa,ukila tu utadataje na mtoto wa kirangidaaaah mkuu cjawahi kucheka kama leo yani hadi machozi yamenitoka kwa kicheko, nashukuru Mungu cjawahi kula kinyama ni hatari
mke wa mtu mpaka sasa hulali,mmmh!haaaa baki nayo tu
napita....!
madem wa kirangi wanaweka kwanza nyama kwenye sehemu za halafu ndo unaletewa,ukila tu utadataje na mtoto wa kirangi
napita....!
ukifanikiwa usisahau kurudisha shukran huku!
yah,tam acha tuushawahi kuwekewa??
love you too my dear daughter!Dadiiiii l love you dadiiiiii.....
Dadiiiiii l love you dadiiiiii.....
Usijali lazima nitoe ushuhuda
We Excel usilete mambo ya kuzuga poa lakini.
Mie nina bepari mmoja hapa nataka mtaji nifanye biashara ya diamond.
Umamantilie ushanchosha mie.
Yaani bora utoe ushirikiano utakula mema ya nchi kuliko unavyozuga
chumbani kwako! acha taa on pliz! lolkuelekea wapi??????/
nilimtongoza mnaijeria akaniambia nina boyfriend kwetu,akaonyesha alama mkononi kwamba alichanjwa na mpenzi wake na yeye alimchanja,yaani ukichanjwa unalamba dam kwamba hutasaliti..................mmmh baadaye mbona alijisahau...........halafu nirudishe mleKichuguu damu
Jina la muhusika huandikwa ndani ya chungu kidogo kwa kutumia damu yako kisha kama una nywele za muhusika huwekwa ndani ya hiko chungu na kwenda kupasuliwa juu ya kichuguu.
....siku 3 nyingi, muhusika anakuwa zezeta juu yako.
Hasikii la mwadhini wala mswalisha swala msikitini.
Ila madhara yake ni kuwa mganga aliyefanya hiyo dawa akifa....muhusika nae huweza kufa....hivyo ukiona mganga wako anaumwa, omba akaunti namba za bwana wako kabisa.
Limbwata hii haiaguliwi.
Kichuguu damu

Mmmhhh na hii huwapata wale wasio sali/takasa chakula kabla ya kula...
Looooh
Ha ha ha ha tena kubwa inapikiwa kwenye mbofa siku hiyo utaionaje tamu kuliko siku zote