Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

mkubwa haya.....ila utajuaje ikiwa umerishwa hilo limbwata....?
 
mkubwa haya.....ila utajuaje ikiwa umerishwa hilo limbwata....?

mkuu kabanga kwa bahati mbaya, mlishwa limbwata hawezi kujua kamwe, ila salama yako ni pale ndugu na jamaa zako watakaposhtuka na kukuonea huruma, watakapoamua kuhangaika kwa ajili yako labda wanaweza kukuokoa.
 
Last edited by a moderator:
Duuu! Kumbe kuna limbwata ee..koz k ninayo ngoja nijaribu
Kumwekea mwafulani...hivi ni mpaka nimwone sangoma au naeza nunua nyama na kuinuwia mwenyewe?msaada jamani
 
Mkuu princess sayuni uko sahihi, karibia kila kabila wana technolojia yao ya limbwata, na kumbuka Tanganyika tuna makabila zaidi ya 120, so kuna zaidi ya aina 100 za limbwata!

Ni kweli mkuu yako ya aina mbalimbali ila hayo juu ni common ubaya wa libwata linaharibu kabisa akili ya mwanaume na kumfanya kila kitu wakusema ndio tu hata kama upuzu wanawake wakimpata mwanaume mwenye ndoa mchepukaji basi lazima ndoa yake ivunjike malibwata yapo tu ila naskia huwa yana expire mda wake likiisha inakuwa majanga tena
 
Last edited by a moderator:
Umesahau limbwata la mjusi...mjusi anapikwa rosti halafu unalishwa...!

Kwa maelizo zaidi muone MziziMkavu
 
Huu ni Ukombozi wa mwanamke asiyejiamini.

Sure, kuna ndugu yangu kaoa mwanamke ambaye hajasoma....yani yule bro ana dalili zote za kulishwa limbwata, mpaka majirani wanajua kama kapewa limbwata....
Wanawake wasiojiamini huko ndo kimbilio lao...
 
duuu! Kumbe kuna limbwata ee..koz k ninayo ngoja nijaribu
kumwekea mwafulani...hivi ni mpaka nimwone sangoma au naeza nunua nyama na kuinuwia mwenyewe?msaada jamani

yap... Mpango mzima ni kwa sangoma... Nitafute mimi ni sangoma nikusaidie.... Ila sharti ni lazima nii "sukumizie" mwenyewe kwenye k yako kwa kutumia "kigegedulio" changu!!!
 
Mkuu kapalamsenga huwa iko hivi, mwanamke anaambiwa na mganga kwa mf. hiki kinyama kikae kumani kwa siku 5, na anaambiwa achague labda kukiweka kutwa nzima, basi jioni anakitoa na anaosha K! anaweka kukiweka usiku, na asubuhi anaosha kumani! Si kwamba kinakaa 24 hrs

Uongo wa kitoto..kinyama cha aina gani hicho kisichooza???
 
Last edited by a moderator:
Duuu! Kumbe kuna limbwata ee..koz k ninayo ngoja nijaribu
Kumwekea mwafulani...hivi ni mpaka nimwone sangoma au naeza nunua nyama na kuinuwia mwenyewe?msaada jamani

Mwenyewe huwezi, mpk uende kwa "fundi"
 
Back
Top Bottom