Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Mimi siamini limbwata.

Lakini kwa hizo aina saba ulizoziorodhesha inaonyesha kwa kiasi gani kuna mambo mengi ya ajabu sana yanaendelea pasi na sisi wengine kujua kinachoendelea, eti tu kwasababu ya kupumbuzana kimapenzi
 
Jamani mmeshinda poa!

Kinyama[/B]
Hii kitu kuna siku Mkuu MziziMkavu aliielezea vizuri tu. Katika hili, kipande kidogo cha nyama mfano wa mnofu mmoja wa "mshikaki" huwekwa katika maku ya mtaka tiba, kwa muda wa siku kadhaa kulingana na masharti ama maelekezo ya mganga husika "fundi", baadae kinyama hiki hupikwa na sehemu nyingine ya kitoweo kama mboga na kuliwa. Mlengwa wa limbwata ataathirika mara tu baada ya kula mlo uliohusiha mboga yenye kinyama hiki! Wanaoipenda njia hii wanasema ni ngumu sana kumuagua mwanaume alielishwa kinyama
slim5, kweli mnofu uwekwe sehemu hizo kwa siku kadhaaaaaaaaa....... bila kuhatarisha afya ya mbebaji? I have serious doubts na ukweli wa hii OPTION. Thanx for ur efforts
 
Last edited by a moderator:
Hii imeshika usukani maeneo ya Bukoba Mjini na viunga vyake, according to my experience.

Kuna wanafunzi wenzangu wengi tu mpaka tunahitimu kidato cha sita na wengineo wa kidato cha nne, wameshalishwa hii kitu na shule ikawashinda!

Yani machiz wangu kibao tu walikuwa wanaletewa menyu za maana sana wakati tuko bweni, basi wanazigonga wakisifia madem zao kuwapenda kishenzi! kumbe hiyo ni mitego tu mingine!

Aisee Bk kwa maoni yangu ni hatari kwa hii kitu!

waulize hata wenyeji watakwambia!
Mpaka naondoka Bk mwaka 2012 niliogopa sana kuanzisha mahusiano na binti yeyote yule kuhofia kugeuzwa zoba na kuharibu masomo yangu! dah, hii kitu ni mbaya sana asikwambie mtu...

Embu hao madem huna mawasiliano nao wanielekeze kutengeneza hiyo shuntama. Excel agandi
 
Last edited by a moderator:
Nilikua Mtwara 2001 nikiwa Chuo Cha Ualimu na nilibahatika kupata Girlfriend ambaye ni mwenyeji wa Mtwara Japo tulikua wote chuoni. Mara nyingi sana alikua ananiletea msosi ila siku moja alikwenda nyumbani kwao aliondoka Chuo Alhamis akidai Kuna mgonjwa home, alirejea Chuo Jumapili jioni akiwa kanibebea wali nyama lakini kitu kilichonishangaza ni kwamba pamoja na chakula Kile kuwa kitamu sana lakini kilikua na kipande kimoja tu cha nyama!!!!! Sikuweza kuhoji ila yaliyonipata juu ya binti yule yatabaki siri yangu daima!!!! Naskia yupo Dar hapa.....usiombe
 
Hii imeshika usukani maeneo ya Bukoba Mjini na viunga vyake, according to my experience.

Kuna wanafunzi wenzangu wengi tu mpaka tunahitimu kidato cha sita na wengineo wa kidato cha nne, wameshalishwa hii kitu na shule ikawashinda!

Yani machiz wangu kibao tu walikuwa wanaletewa menyu za maana sana wakati tuko bweni, basi wanazigonga wakisifia madem zao kuwapenda kishenzi! kumbe hiyo ni mitego tu mingine!

Aisee Bk kwa maoni yangu ni hatari kwa hii kitu!

waulize hata wenyeji watakwambia!
Mpaka naondoka Bk mwaka 2012 niliogopa sana kuanzisha mahusiano na binti yeyote yule kuhofia kugeuzwa zoba na kuharibu masomo yangu! dah, hii kitu ni mbaya sana asikwambie mtu...

daaaah mkuu cjawahi kucheka kama leo yani hadi machozi yamenitoka kwa kicheko, nashukuru Mungu cjawahi kula kinyama ni hatari
 
Mkuu kapalamsenga huwa iko hivi, mwanamke anaambiwa na mganga kwa mf. hiki kinyama kikae kumani kwa siku 5, na anaambiwa achague labda kukiweka kutwa nzima, basi jioni anakitoa na anaosha K! anaweka kukiweka usiku, na asubuhi anaosha kumani! Si kwamba kinakaa 24 hrs

Ila hii kitu inatokana sana na kuoa au kuwa na mahusiano na mwanamke ambaya hajasoma na hana kazi ya kufanya. Hivyo atakuwa anahofia ukipata wa levo yako utamuacha.
 
Last edited by a moderator:
nilikua mtwara 2001 nikiwa chuo cha ualimu na nilibahatika kupata girlfriend ambaye ni mwenyeji wa mtwara japo tulikua wote chuoni. Mara nyingi sana alikua ananiletea msosi ila siku moja alikwenda nyumbani kwao aliondoka chuo alhamis akidai kuna mgonjwa home, alirejea chuo jumapili jioni akiwa kanibebea wali nyama lakini kitu kilichonishangaza ni kwamba pamoja na chakula kile kuwa kitamu sana lakini kilikua na kipande kimoja tu cha nyama!!!!! Sikuweza kuhoji ila yaliyonipata juu ya binti yule yatabaki siri yangu daima!!!! Naskia yupo dar hapa.....usiombe

pole sana haya yapo tu..
 
Embu hao madem huna mawasiliano nao wanielekeze kutengeneza hiyo shuntama. Excel agandi

unaitaka eenh? mwenzio mpaka leo nasakwa kutoka kyakailabwa, bahati tu sijawahi kula chochote! lol

Hao watengenezaji wapo sana tu! lakini si ishaelezwa na slim5? we sokomeza steki robo kilo kwenye papuchi kwa siku saba! baada ya hapo ikarangize vizuuuuri kabisa halafu mwalike ruttashobolwa dinner!

utaona matokeo tu after a week! you wont be amu that went by foot anymore!

usijaribu hii kitu aisee!...
 
Lazima iwe na viungo vyake bana ili inoge.
Yaani kesho naenda kyaka kuitafuta
 
Mhhhhh?Kazi yote ya nini?Kama upendo upo hakuna haja ya yote hayo
upendo kawaida huwepo shem kwa kipindi cha kwanza kwanza!

hebu kumbukia na wewe ulipoanza shule enzi hizo, ulikuwa na mapenzi sana na shule ulipokuwa lets say form one,

kadri vidato vilivyokuwa vinasonga na mishe za shule kuanza kuwa ngumu, marginal utility inaanza kushuka sana hivyo unakuta siku nyingine unakacha shule bila kuwa na sababu za msingi!

similarly to love and lovers! mapenzi hunawiri siku za mwanzo mwanzo tu!
baada ya hapo kama couples hazina techniques za kung'arisha penzi lao, basi huyu shetani anachukua golden chance..

Dont try this anywhere..
 
Lazima iwe na viungo vyake bana ili inoge.
Yaani kesho naenda kyaka kuitafuta

Hahahaa! mbona unayo hapo ulipo?

wala usisumbuke! Chukua steki saiz ya ngumi yako, ibalans vizuri kunako papuchini, then vumilia nayo kwenye chupi kwa siku 7...

Ila kwa nini ufanye hivi amu?
 
Back
Top Bottom