Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Wakikolezwa huwa wanakunywa wenyewe
unawawekea chupa tu mezani lol
hahahaha. kama mkimwachia sana anaji-overdose mwenyewe
tunaweza kucheka hapa ila hii kweli kabisa, naskia imetokea
AshaDii was telling me about this guy who volunteered
 
Jamani niambieni linapatikana wapi hilo limbwata nikamlishe wa kwangu.
 
Kuna dawa ya kuondoa limbwata

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
  • Unapo mwambia kua amepewa Limbwata anaanza kukukimbia, hataki kabisa kuskia hilo.
  • Uki-insist anamwambia mpenzi wake na anakutaja!
CC: The Boss
hahahahah hapo sasa eti unajua honey watu hawatutakii mema si unjua eti wanasema eti umenipa limbwata. mama anauliza hebu nitajie jina lake na anakokaa huyo alokwambia. Subiri mtiti wake hapo na baba anakaa kimya kama kawekwa glue mdomo wake
 
Waswahili bwana!yan wanapenda ushirikinaaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
limbwata ni dawa inayoaminiwa na wanawake kuwa husaidia mme kumpenda mke . katika ndoa hakuna dawa za mitishamba zinazoleta upendo. dawa ni mke kumpenda mme na kufanya kile mme anataka na mme kumpenda mke na hapoupendo wa kweli hutokea. limbwata nisumu ambayo mme analishwa inakwenda kuharibu ubongo wamwanaume na kushusha uwezo wa mwanaume kufikiri mambo kwa usahihi.ndiyo maana mtu akisha pewa libwata hubadilika na kuwa mtu asiyefikiri sawasawa katika mambo yote hatauwezo wakufanya kazi hushuka sana. yeye kila jambo anaona lipo sawa tu , mfano mke asiporudi sawa, mke akifanya umalaya na wanaume wengine sawa, akimimtukana sawa, watoto wasipokula sawa, watoto wasipoenda shule sawa n.k
Libwata nisumu mbaya sana kama yalivyo madawa ya kulevya. hizi sumu zote huenda kuharibu ubongo, mtu akipewa limbwata mkawahi kumtibia kabla halijaharibu ubongo wote anapona laikini mkichelewa likahalibu ubongo wote hawazi kupona. wanawake wengi hujuta sana baada yakumpa limbwata mme na maisha ya familia kuharibika na uchumi wa familia kuharibika na kukalibisha umasikini. ogopa limbwata kama nihatari kwa maisha ya familia yako
 
Kuna hadithi nyingi juu ya hii kitu pengine kuna ukweli hasa tukiwa waaminifu ktk kuchangia
Nimeona watu wengine wakiwa na tabia hizi sasa sijui ni akili yao tu au ndio limbwata
  • Mwanaume anamfumania mkewe na hamfanyi kitu chochote
  • Mwanaume huyo kabla hajaoa alikua mchangamfu ie anaonekana mwenye busara lkn baada ya kuoa hasa msichana fuska anashindwa kabisa hata kuisimamia nyumba yake ie anakua hana cha kusema juu ya familia yake na anabuluzwa kama mtoto. Yaani hadi inauma msichana/mwanamke anamtesa sana ktk mapenzi ie huyo mke anakua na wapenzi wa nje kwa wazi kabisa na mwanaume analalamika na baadae kukaa kimya.
  • Mke anakua na safari nyingi zisizokua na msingi na mume anaangalia tu just imagine mke anakwenda sherehekea sikukuu kubwa kama xmas, m/mpya au idd mkoa mwingine na hiyo anaifanya kila wakati lkn mumewe hawezi kumzuia na anabaki kulalamika tu
  • Mme anajua kua mkewe kila atokapo anaenda kwa mabwana zake na iko wazi lkn mwanaume anatazama tu
  • Mke anakwenda bar anakunywa na kulewa huku akiwa na mabwana zake pengine ni vijana wadogo tu lkn mme hafanyi kitu

Hebu wapendwa tushirikishane je wewe hujaiona hii huko uswaz.

Wapendwa... hii kitu ipo kweli,,, sidhaniii kabisa...
 
kukubali kila mkeo anachokwambia wewe ni yes tu kapike nimechoka yes, kafue yes, leo starudi home yes, kapige deki yes, papuchi sikupi mpaka mwezi ujao yes.
 
avatar39279_3.gif


Huu ni udhalilishaji wa watoto. Remove this avator mkuu. It is absurd.
 
Jamani habari zenu humu ndani?

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nafikiri humu kuna maprofesheno wa mapishi.

Shemeji/ wifi yenu anasumbua kweli nataka nimtulize mana kiguu na njia kutwa kucha.
 
Back
Top Bottom