Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Limbwata ni dawa ya mapenzi yenye nguvu ya kumshawishi mwanaume au mwanamke azidi kumpenda mwingine zaidi.Rimbwata haina mazara maana yake haizuri.

kutokana na utafiti wangu nilioufanya nimegundua watu wengi waliopewa limbwata awe mume au mke walibadilika tabia zao kutoka mbaya na kuwa wema.watulivu na ilisaidia kuimalisha ndoa zao zilizokuwa na migogoro ina maana ni njia inayombadilisha muhusika bila kugombana naye au kuwa na mazungumzo naye.

imekuwa na faida kubwa sana katika jamii kwani mambo yamekuwa yakienda vizuri katika ndoa inamaana kwamba kama mwanamme alikuwa akilala inje sasa atakuwa akilala ndani na kama alikuwa akichelewa kuludi atakuwa analudi mapema hii itasaidia kuokoa kipato katika familia.

Tofauti yake ni kwamba limbwata limekuwa na matokeo mabaya linapotumika vibaya inamaana mwanamke anampa mume asiyekuwa wake hapo ndipo hatali kiasi kwamba hata jamii imekuwa ikipingana na hilo.Na asilimia kubwa ya watumiaji au walengwa ni wanaume hii hutumia bila wao kujua.

Tunashauli watengenezaji wa limbwata wawe wanaomba vyeti vya ndoa vya wenza wa wateja wao au wawashauli wateja zao waenda mnunuzi na mtumiaji.nawakilisha
 
Hahahahahahaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Dah umenifurahisha sana naona kwako matumizi ya r na l ni kizunguzungu,Inaonyesha haujajua asilimia kubwa ya wanoana wanakuwa hawapendani yaani mwanaume anaoa mwanamke asiyekuwa moyoni mwake labda umbo tu limemtamanisha na pia mwanmke akufuata pesa lakini upendo wa kweli haupo hata akileta cheti cha ndoa hiyo haitasaidia kwa hiyo bado matumizi ya hiyo limbwata yatakuwa na negative outcome!
 
kwanini usimwombee....???? Mungu aliyemuumba anamjua vizuri kuliko mimi, yeye anajua wapi pa kurekebisha ili tufaane zaidi hata ktk tofauti zetu
 
Limbwata halina faida yeyote kwa mwaume au kwa mwanamke. Libwata ni sumu inayoua ubongo wa mwanaume aliyekunywa dawa hii ndiyo maana mwanaume akinywa dawa ya libwata anakuwa mjinga, anazubaa, anakuwa zuzu, anageuka na kuwa zezeta.Mwanamke atafanya analotaka , anaweza akalala kwa mwanaume mwingine, anaweza akampiga , anaweza akamtuma kitu chochote anachotaka,anaweza kumnyanyasa anavyotaka ,mme aliyeliswa libwata hutii kilajambo analoambiwa na mke wake. Hatautendaji wa kazi ofisini au kwenye biashara hushuka sana kwa sababu akiri yake imehariwa haiwezi kufikiri sawasawa na mwisho hufukuzwa kazi au hufirisika biashara kama anafanya biashara na maisha yanakuwa magumu sana na mwisho hufa mapema sana. Tupige vita libwata kama tunavyo piga vita madawa ya kulevya kwa sababu zote ni sumu zinazo haribu ubongo.
 
Bora unipokonye Nyumba na gari kuliko kunipokonya Akili yangu!
...
Kuna baadhi ya ke wanaakili mbovu kabisa mf: mleta mada!
Ndio hao wanaokua wachawi!
Ivi unajua mazila anayopata mtu alielishwa libwata??? Pambaf sako!
Mwone vile!
 
limbwata ni dawa ya mapenzi yenye nguvu ya kumshawishi mwanaume au mwanamke azidi kumpenda mwingine zaidi.Rimbwata haina mazara manayake haizuri.kutokana na utafiti wangu nilioufanya nimegundua watu wengi waliopewa limbwata awe mume au mke walibadilika tabia zao kutoka mbaya na kuwa wema.watulivu na ilisaidia kuimalisha ndoa zao zilizokuwa na migogoro ina maana ni njia inayombadilisha muhusika bila kugombana naye au kuwa na mazungumzo naye.imekuwa na faida kubwa sana katika jamii kwani mambo yamekuwa yakienda vizuri katika ndoa inamaana kwamba kama mwanamme alikuwa akilala inje sasa atakuwa akilala ndani na kama alikuwa akichelewa kuludi atakuwa analudi mapema hii itasaidia kuokoa kipato katika familia.Tofauti yake ni kwamba limbwata limekuwa na matokeo mabaya linapotumika vibaya inamaana mwanamke anampa mume asiyekuwa wake hapo ndipo hatali kiasi kwamba hata jamii imekuwa ikipingana na hilo.Na asilimia kubwa ya watumiaji au walengwa ni wanaume hii hutumia bila wao kujua.Tunashauli watengenezaji wa limbwata wawe wanaomba vyeti vya ndoa vya wenza wa wateja wao au wawashauli wateja zao waenda mnunuzi na mtumiaji.nawakilisha


Aisee kumbeeeee!!!!
 
Back
Top Bottom