Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

UTENGENEZAJI WA LIMBVWATA

Hali ya utengenezaji ni mbaya. mwanamke anakusanya damu ya hedhi kwenye kipande cha khanga au pamba. Anakivundika kwa siku tatu. anachanganya na dawa fulani then anakamulia kwenye chakula cha muhusika!
asante na karibuni tena
 
Dah.... Am speechless ,hata kama baadhi ya matatizo inabdi yachukuliwe in a positive way lakini sio limbwata au uchawi ,kwanini uipumbaze akili ya mtu? mtoa thread atakua ni Mchawi-mganga!!
 
UTENGENEZAJI WA LIMBVWATA

Hali ya utengenezaji ni mbaya. mwanamke anakusanya damu ya hedhi kwenye kipande cha khanga au pamba. Anakivundika kwa siku tatu. anachanganya na dawa fulani then anakamulia kwenye chakula cha muhusika!
asante na karibuni tena

wanawake wa kiswahili yani mi uchafu hyo anawekewa mtu

aaagh!
 
Chukua nyama robo kilo.....kisha iweke kuleeee kunako mwenzio kwa siku 3 mpaka saba kulingana na mahitaji yako.....halafu uitoe uipike vizuri na kwa ufundi mkubwa sana......kisha mtengee mezani mpenz wako.....akila atakusifu sana.....kuanzia hapo kaisha huyo.......
 
limbwata ni dawa ya mapenzi yenye nguvu ya kumshawishi mwanaume au mwanamke azidi kumpenda mwingine zaidi.Rimbwata haina mazara manayake haizuri.kutokana na utafiti wangu nilioufanya nimegundua watu wengi waliopewa limbwata awe mume au mke walibadilika tabia zao kutoka mbaya na kuwa wema.watulivu na ilisaidia kuimalisha ndoa zao zilizokuwa na migogoro ina maana ni njia inayombadilisha muhusika bila kugombana naye au kuwa na mazungumzo naye.imekuwa na faida kubwa sana katika jamii kwani mambo yamekuwa yakienda vizuri katika ndoa inamaana kwamba kama mwanamme alikuwa akilala inje sasa atakuwa akilala ndani na kama alikuwa akichelewa kuludi atakuwa analudi mapema hii itasaidia kuokoa kipato katika familia.Tofauti yake ni kwamba limbwata limekuwa na matokeo mabaya linapotumika vibaya inamaana mwanamke anampa mume asiyekuwa wake hapo ndipo hatali kiasi kwamba hata jamii imekuwa ikipingana na hilo.Na asilimia kubwa ya watumiaji au walengwa ni wanaume hii hutumia bila wao kujua.Tunashauli watengenezaji wa limbwata wawe wanaomba vyeti vya ndoa vya wenza wa wateja wao au wawashauli wateja zao waenda mnunuzi na mtumiaji.nawakilisha
lipo vile vile limbwata la kike hasa congo inakuwa the same tu , lenyewe linaweka katika BIG RESULT NOW(penis), tatizo lake inabidi uwe fiti kumkidhi haja yake muda wowote anapokuona
 
dada gfsonwin alielezea, but sikumbuki uzi uko wapi.

mwanangu mpendwa hili litakuwa jambo la mwisho la kumwambia mtu afanye.
katika makuzi yangu nimeona wanaume na wanawake walioathirika na haya na ukweli nakuambia wapo ambao wamekuwa mataahira na wengine vilema kabisaa kwasababu ya kulishwa uchafu kama huu.

to me uchawi kwa mwanaume ni usafi wa mwanammke binafsi, heshima ya kweli ikiwa imebebwa kwenye nidhamu ya utu, upendo wa dhati na kujituma basi mengine yoote ni ujinga mtupu.

let me tell you hata kama mke atakosea akamcheat mumewe ila kama mume akipima na kukuta mkewe ni mtiifu anayoheshima yenye utu na upendo wa kweli pia ni muwajibikaji lazima mume ataangalia second side as kwann mke wangu ameni cheat na kama sababu ipo basi atatafuta njia ya kuiondoa kabisa.

ukisema mtu alaze nyama kumani siku 7 kisha sijui uiweke kwenye msosi ale baba ni ujinga, ukisema uoshee maji ke kisha upikie ni ujinga ukisema umchukue finnyofinyo umtie dawa umpe baba ndipo unamuharibu kabisaaa na kumfanya awe poyoyo na mlemavu wa mguu wa 3.

nimeyashuhudia haya tena siku wakina mama hawa wanaugama inakuwa ni aibu manake unakuta baba yuko kama hayupo.
ushirikina kwenye mapenzi sio kitu kizuri kabisa.
 
ama kweli wewe ni Baba Matatizo
unataka wanuke kama nyama ilooza?
Chukua nyama robo kilo.....kisha iweke kuleeee kunako mwenzio kwa siku 3 mpaka saba kulingana na mahitaji yako.....halafu uitoe uipike vizuri na kwa ufundi mkubwa sana......kisha mtengee mezani mpenz wako.....akila atakusifu sana.....kuanzia hapo kaisha huyo.......
 
Last edited by a moderator:
UTENGENEZAJI WA LIMBVWATA

Hali ya utengenezaji ni mbaya. mwanamke anakusanya damu ya hedhi kwenye kipande cha khanga au pamba. Anakivundika kwa siku tatu. anachanganya na dawa fulani then anakamulia kwenye chakula cha muhusika!
asante na karibuni tena

wtf ndio nini sasa?? Si ushirikina huu??? Mapenzi hayana dawa i blv that wanawake hawajiamini tu wewe mmeo anarudi huna time nae muda wote upo kwenye t.v mara ya mwisho kumuita dia waziri mkuu lowassa unategemea nini???
 
wanawake hawajiamini sisi wanume ujanja wetu mdogo sana basi tu hawataki kubadilika huu umambo leo unawacost wanakaa kukimbilia limbwata kila kitu unataka afanye house girl wewe umeolewa kwa kazi gani?? Kwani unafikiri unyumba alikuwa hapati kabla ya kuoa??? Badilikeni?? Achaneni na mambo ya limbwata unamnyima mtu uwezo wa kufikiri na wa kufanya maamuzi
 
nachukia mtu anapoweka "l" panapostahili kuwekwa "r" inakeraaaaa

wengine viswahili vyetu vya kuunga unga wewe usikereke bali rekebisha si kila mtu aliopo JF amepata bahati kama wewe ya kusoma TZ.wengine wamesomea ulaya na marekan toka wadogo
 
UTENGENEZAJI WA LIMBVWATA

Hali ya utengenezaji ni mbaya. mwanamke anakusanya damu ya hedhi kwenye kipande cha khanga au pamba. Anakivundika kwa siku tatu. anachanganya na dawa fulani then anakamulia kwenye chakula cha muhusika!
asante na karibuni tena

hatari hii sasa
 
Back
Top Bottom