FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,416
- 7,828
- Thread starter
- #21
Hapo awali, Meya wa Wuhan, sehemu ambapo kirusi hiki kilianzia, alisema kuwa takribani watu milioni 5 wamekwisha ondoka mjini hapo licha ya zuio la kusafiri lililowekwa.
Hivyo, kuna uwezekano mkubwa wa kuenea zaidi kwa maambukizi sehemu nyinginezo iwapo kama kulikuwepo na walioambukizwa kati ya hao walioondoka mjini hapo.
Hivyo, kuna uwezekano mkubwa wa kuenea zaidi kwa maambukizi sehemu nyinginezo iwapo kama kulikuwepo na walioambukizwa kati ya hao walioondoka mjini hapo.