data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,151
- 22,726
US wamesemaje!??Chinese foreign ministry spokesman tweets claim US military brought coronavirus to Wuhan
US wamesemaje!??Chinese foreign ministry spokesman tweets claim US military brought coronavirus to Wuhan
Nakubali kabisa.Kuna uwezekano mkubwa sana China alikuwa anadanganya namba za maambukizi na vifo....
Fatilia Italy utaona curve yake Italy hadi kufikia Tuesday atampita China kwa Vifo vingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali kabisa.
Kuna uwezekano mkubwa sana China alikuwa anadanganya namba za maambukizi na vifo....
Fatilia Italy utaona curve yake Italy hadi kufikia Tuesday atampita China kwa Vifo vingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uwezekano mkubwa sana China alikuwa anadanganya namba za maambukizi na vifo....
Fatilia Italy utaona curve yake Italy hadi kufikia Tuesday atampita China kwa Vifo vingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kuhusu kupika data ila maambukizi china yamepungua.Sources nyingi zilisema mwanzo china anadanganya data maana wakazi na report ya serikali zilikuwa haziendani, na kimahesabu wakasema kutokana na serikali ya china kuwa ya kicomunist, basi lazima wapike data
Ila wakasema italy na nchi nyingi za kidemokrasia hawanaga kupika data kutokana na ukweli na uwazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Italy kurecord vifo vingi kuliko China.Kuna uwezekano mkubwa sana China alikuwa anadanganya namba za maambukizi na vifo....
Fatilia Italy utaona curve yake Italy hadi kufikia Tuesday atampita China kwa Vifo vingi
Sent using Jamii Forums mobile app
mungu mwenyewe si yule alichongwa sanamu sura ya muigizaji Brien deckon likipigwa mabusu motomoto
Wahi hospitaliwana jamii pua inatoa kamasi 🤧 laini kama maji yani nahis hii itakua ni corona virus 😷 mwenye kufaham symptoms za corona naomba anipe
Bado naamini China iliwaua wengi kwa makusudi na kwa vile huwezi ulizia popote inakuwa ishapita. Walituwekea benchmark kuwa vifo havizidi 130 kwa siku.karantini za kutotoka nje ya makazi, kuzuia usafiri wa umma na mikusanyiko ya aina yoyote ile ni ushahidi kuwa waathirika wengi hukutwa na mauti hukohuko majumbani, ikizingatiwa na jiografia ya nchi ni milima na mabonde.
naamini hizi takwimu ni kwa wale waliofika hospitalini. hali halisi yaweza kuwa hata mara 5 ya hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Italy kurecord vifo vingi kuliko China.
Haimanishi moja kwa moja kwamba China anadannganya.
Vifo vingi vinaweza kutokana na health system kuzidiwa na idadi ya wagonjwa.
Sio siri Italy wamezidiwa sio wataalamu wa afya tuu hata vifaa(ndio maana utaona China wamepeleka wataalamu pamoja na vifaa vya matibabu italy).
Yaani wagonjwa wanakuwa wengi, inafika wakati madaktari wanaamua nani ahudumiwe nani aachwe akipambana na afya yake.
Beggars can't be choosers
Sawa sheikhWahi hospitali
wana jamii pua inatoa kamasi laini kama maji yani nahis hii itakua ni corona virus mwenye kufaham symptoms za corona naomba anipe
hapa hapa mkoani sijatoka njeToa historia ya safari zako za siku kama 5 zilizopita?
Na tuombe isiwe hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app