King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,757
- 1,541
Je? Akifariki kabla ya kustaafu lets say kabla ya miaka 2 astaafu.Mstaafu aliye staafu baada ya kikokotoo kipya kuanza kutumika July 2022 ( Ambaye mafao yake yalitumia kikokotoo kipya ) huyu akifariki dependant wake watalipwa Mara 36 ya kile alicho kuwa anakipata kwa mwezi.