Fafanua mwenzako akinyolewa tia maji

Mie tena.
Hapa nilipo nipo UBT nimelala juu ya mabenchi.
Chezea ukunaji wewe!

Heheheh.... nikikumbuka vigezo vyako, vile vya kuonekana kwa nje amefeli. Hii inamaanisha ile ya kufichamo kwa boxer atakuwa noumer.....

Kuna kiungo muhimu kitachimbiwa ardhini kesho..... Huyu ziraili huyu. Manina zake na nusu!!

Chezeiyaaa!!
 
Mie tena.
Hapa nilipo nipo UBT nimelala juu ya mabenchi.
Chezea ukunaji wewe!

Ukitosheka nenda hapo YENU BAR piga za kutosha then ukaendelee na ukunwaji. DON'T STOP TILL YOU GET ENOUGH Source Michael Jackson RIP
 
Msemo wa kizamani hauna maana tena.
Mi nikiwa saloon nasubiri kunyolewa huwa sizitii maji nywele zangu na zinanyoleka zamu yangu ikifika.
 
asa si uchukue picha yangu uwe unaenda nayo ofishni.

Nimeitundika hapa ofisi pembeni ya ile ya mheshimiwa wa magogoni, VASCO DA GAMA...afu yuko hapa chugga, barabara zimefungwaje! Khaa aende zake atuwache tupumuwee!
 
Back
Top Bottom