Yalitokea Yanga pia yaweza kuyapata Simba

Wakuu habar,mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana yanga kufungwa na ihefu Kyle mbarali

Ila yaliyotokea kwa yanga mbarali yanaweza kutokea kwa simba Mbeya sokoine stadium

Nipo hapa nasubir hili kwa usikivu mkuu kabsaaa
Mashabiki wa Yanga maandazi tuwaachie Simba! Tukubali kwamba tumepigwa na liwe fundisho kwetu! Prisons hata wafanyeje menzetu yanampiga na yanakwea kileleni kwa tofauti ya point 3!
 
Wakuu habar,mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana yanga kufungwa na ihefu Kyle mbarali

Ila yaliyotokea kwa yanga mbarali yanaweza kutokea kwa simba Mbeya sokoine stadium

Nipo hapa nasubir hili kwa usikivu mkuu kabsaaa
Simba si anacheza pira papatu? Hata akifungwa poa tu ila nyie soka madrid sasa
 
Wakuu habar,mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana yanga kufungwa na ihefu Kyle mbarali

Ila yaliyotokea kwa yanga mbarali yanaweza kutokea kwa simba Mbeya sokoine stadium

Nipo hapa nasubir hili kwa usikivu mkuu kabsaaa
Utabiri ulishapita jana na kukamilika. Hizi tabiri nyingine ni mbambamba tuu
IMG-20231005-WA0016.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habar,mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana yanga kufungwa na ihefu Kyle mbarali

Ila yaliyotokea kwa yanga mbarali yanaweza kutokea kwa simba Mbeya sokoine stadium

Nipo hapa nasubir hili kwa usikivu mkuu kabsaaa
Team inayocheza hovyo haiwezi kufugwa easy wao wanachojali pira golini hakuna Mengine
 
Wakuu habar,mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana yanga kufungwa na ihefu Kyle mbarali

Ila yaliyotokea kwa yanga mbarali yanaweza kutokea kwa simba Mbeya sokoine stadium

Nipo hapa nasubir hili kwa usikivu mkuu kabsaaa
Bahasha tayari!
Screenshot_20231005-073757.jpg
 
Back
Top Bottom