ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,060
- 49,744
Kama kawaida ya Wapinzani wa Afrika kwao Demokrasia Huwa inakamilika wakishinda ππππ ila waliangukia pua basi wameibiwa.
Huko DRC akina Moise Katumbi na wenzake wameitisha maandamano kupinga mwenendo wa matokeo ambao ulionesha Rais Felix Tshisekedi akiongoza Kwa zaidi ya 80% ya matokeo ya awali yaliyotangazwa na Tume huku vibaraka wa Wazungu/Rwanda kina Katumbi wakipuuzwa na wapiga kura.
Sasa wameitisha maandamano ya wafuasi wao ambao ni maskini wasio hata na pa kwenda,watatandikwa bakora huku waliotisha Maandamano wakipanda Helikopta kusepa na kuwaachia msala.
Waafrika wajifunze kuacha kutumika na wanasiasa uchwara kama wa hapa Tanzania ambao wakikinukisha hukimbilia Nje au kwenye Balozi za waliowafadhili harafu wale nyumbu huishia Kuchezea kichapo na jela.
Hongera sana DRC Kwa kupiga marufuku upuuzi,nyumbu ambao watataka kuleta vurugu wadhibitiwe vilivyo.
View: https://www.instagram.com/p/C1WfIVpNqPK/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
My Take
Chadema jiandaeni kisaikolojia,mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Uzuri hakuna Watanzania wajinga wa kwenda kufanya vurugu Ili kuwasaidia vibaraka.