hebu wewe jaribu kumprime minister... huenda akawa na jibu sahihi make tangu aende kule mawasiliano yamekuwa hafifu... hebu nisaidiw wifi yangu!!!!
Mbio za kwa Madameb zimeishia wapi.
Mambo charminglady! Nakuja MZA january anza kufuga fish sasa!
Kinini kikuchekeshacho charminglady?
poa Arushaone... Karibu sana, tena afadhali unakuja.... Naombe uniletee pampas kwa ajili ya kijacho, nasikia pampas za arachuga ni genuine sio fake kama za MZA.......