Ukweli usemwe, Yanga siyo bora kama tunavyo aminishwa

Wakipekee

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
5,363
9,239
Kuanzia Kule mapinduzi Zanzibar, Yanga walicheza soka la hovyo Sana wakasingizia kina Pacome hawapo lakini leo wote walikuepo hadi forward jipya la mchongo. Ila ni upuuuuuzi mtupu.

Naitabiria Simba msimu mzuri na wanachukua makombe yote muhimu kuanzia FA hadi la Ligi kama walivobeba Ngao ya jamii kibabe.

Hata huko kimataifa ni tia maji tia maji tu, hamna cha ajabu Simba ataenda robo Yanga watarudi kujipanga.
 
Kuanzia Kule mapinduzi Zanzibar Yanga walicheza soka la hovyo Sana wakasingizia kina Pacome hawapo lakini Leo wote walikuepo Hadi forward jipya la mchongo... Ila NI upuuuuuzi mtupu...

Naitabiria Simba msimu mzuri na wanachukua makombe yote muhimu Kuanzia FA Hadi la Ligi kama walivobeba Ngao ya jamii kibabe....

Hata Huko kimataifa ni Tia maji Tia maji Tu hamna cha ajabu Simba ataenda robo Yanga watarudi kujipanga
Ni mara nyingi hutokea, ligi inaposimama kuna timu wachezaji wake huanza kushuka hali ya fitness. Kilichotokea leo kimetokana na mambo mawili
Cha kwanza ni kocha kudharau mechi, Mzize, Gift na Faridi Mussa ni wachezaji wanaojitafuta Yanga. Hawana madhara yeyote kwa timu pinzani na Metacha nae ni kipa mwenye mapungufu mengi sana ikiwemo kudaka, kuanzisha mashambulizi na kuwapanga mabeki na kuongea nao mara kwa mara.

Shda ya Pili ni wachezaji wengi waliotumika kama first eleven hawakuwa fit kutokana na kukaa muda mrefu bila kucheza mechi ya kimashindano. Gamondi alipaswa kutumia mechi ya juzi Azam federation kuwaweka sawa wachezaji wake wa kikosi cha kwanza.

Simba watakuwa na advantage kubwa sana kwasababu wachezaji wake wote watakuwa wako mchezoni kwavile wametumika katika Mapinduzi na Azam federation hivyo wako fit.
 
Naungana na wewe, moja ya kosa kwa Yanga ni kukimbia kombe la Mapinduzi halafu wakawaacha wakina Nzengeli wanazunguka na kula raha. Timu haina fitness, hii Yanga yetu hizi mechi za mwanzo tutakimbiana. Simba wana advantage ya kupunguza gepu na kuongoza kabisa. Bahati tu ni kwamba Yanga anarejea Dar.
 
Tulia
 
Visingizio fc
 
Hawa wachezaji wamekula sana bata, ule mchaka mchaka wa Gamondi kama ulivyozoeleka leo hauoni kabisa. Kifupi timu imerudi zero inatakiwa ibustiwe hadi ifike kama ilivyokuwa je muda utatusubiria? Halafu kuna mechi back to back
 
Kuanzia Kule mapinduzi Zanzibar Yanga walicheza soka la hovyo Sana wakasingizia kina Pacome hawapo lakini Leo wote walikuepo Hadi forward jipya la mchongo... Ila NI upuuuuuzi mtupu...

Naitabiria Simba msimu mzuri na wanachukua makombe yote muhimu Kuanzia FA Hadi la Ligi kama walivobeba Ngao ya jamii kibabe....

Hata Huko kimataifa ni Tia maji Tia maji Tu hamna cha ajabu Simba ataenda robo Yanga watarudi kujipanga
Tuta kudhihirishia ubora wetu,champ.leage na Nbc siku sii nyi
 
Ni mara nyingi hutokea, ligi inaposimama kuna timu wachezaji wake huanza kushuka hali ya fitness. Kilichotokea leo kimetokana na mambo mawili
Cha kwanza ni kocha kudharau mechi, Mzize, Gift na Faridi Mussa ni wachezaji wanaojitafuta Yanga. Hawana madhara yeyote kwa timu pinzani na Metacha nae ni kipa mwenye mapungufu mengi sana ikiwemo kudaka, kuanzisha mashambulizi na kuwapanga mabeki na kuongea nao mara kwa mara.

Shda ya Pili ni wachezaji wengi waliotumika kama first eleven hawakuwa fit kutokana na kukaa muda mrefu bila kucheza mechi ya kimashindano. Gamondi alipaswa kutumia mechi ya juzi Azam federation kuwaweka sawa wachezaji wake wa kikosi cha kwanza.

Simba watakuwa na advantage kubwa sana kwasababu wachezaji wake wote watakuwa wako mchezoni kwavile wametumika katika Mapinduzi na Azam federation hivyo wako fit.
Kwahiyo kosa lipo Kwa Gamondi kudharau game au tukubaliane kua Yanga ina wachezaji wachache wenye viwango ambao wasipocheza hakuna tena ushindi?
 
Back
Top Bottom