Amekanusha una cha kujifunza.Andiko mujarabu kabisa na limejibu uongo Wa wazungu na vibaraka wao
Amekanusha una cha kujifunza.Andiko mujarabu kabisa na limejibu uongo Wa wazungu na vibaraka wao
Paschal siku hizi umekuwa mwepesi kama pamba.Mkuu Ngokongosha, asante kwa bandiko hili. Hiki kinachofanywa na mwandishi huyu, ndicho kitu kilipaswa kufanywa siku nyingi na media zetu.
Paskali
Mkuu Quinine, ni kweli tumeingizwa chaka, na mimi nikaingia mazima, mzima mzima!.Paschal siku hizi umekuwa mwepesi kama pamba.
Hii sio habari nzuri kwa wale jamaaa. Sitashangaa wakija na hoja kuwa aliyeandika ni Polepole
Hahahaha umeiangalia hiyo account imesajiriwa lini kwenye twitter?
Mkuu Ngokongosha, asante kwa bandiko hili. Hiki kinachofanywa na mwandishi huyu, ndicho kitu kilipaswa kufanywa siku nyingi na media zetu.
Paskali
exactly..There is something wrong with the economist newspaper. This kind of hatred for JPM is unexpected and brutal.
I see the hand of Barrick gold/Accacia behind this propaganda.
Na biashara ya utumwa je?Those who do not support JPM are stupid and sick. This is the president we want. Corruption was something normal. Watu walikuwa wakiita mil 10 hela ya mboga, tena bila ya uoga.
homosexual???..never heard before!!What about Ganja1? certified alcoholic and cocaine addict, with homosexual history while at collage?
No sio kazi yangu, mimi situmwagi na mtu!.Hahah!
Hii imeka akama kazi yako vile?
au ndio ushaanza yale m,ajukumu uliyojipa juzi.
by the way nasikia hii ni [HASHTAG]#fakenews[/HASHTAG]
No sio kazi yangu, mimi situmwagi na mtu!.
Japo ni fake news in terms of the fake source, lakini the contents is truth, hivyo aliyeiandika kama ni Dr.Mashokolokubangashe, angesema tuu kwa mujibu wangu mimi, Dr.Mashokolokubangashe, kwa nini amsingizie mtu?.
P
Pasco je kama account yk imekuwa hacked kukizi matakwa ya haters, je tuamini kipi.No sio kazi yangu, mimi situmwagi na mtu!.
Japo ni fake news in terms of the fake source, lakini the contents is truth, hivyo aliyeiandika kama ni Dr.Mashokolokubangashe, angesema tuu kwa mujibu wangu mimi, Dr.Mashokolokubangashe, kwa nini amsingizie mtu?.
P
matahira ya Lumumba yamejitungia uzushi yanadhani sasa hivi n karne ya 14Huyu atakuwa mzungu kichaa.
mizwazwa ya Lumumba kwakweli inachekeshaluambo makiadi njoo huku uone wapishi wa fake news wameshajisifia kwa jina la mtu ambae hata hamjui Jiwe wala hajawai kuja Africa
Ok.
Ukawa wana zero money!!!na wewe una zero brain!!hahahahaaaaEconomist hawawezi pata faida yoyote ya kuwatetea Ukawa,aidha kama sio kwa their pure observations and sincerety,watakua wanapata faida kwa wengine,sidhani kama ina-make any sense whatsoever eti kuna kitu Ukawa wanaweza wapa,Ukawa=Zero money!Hiyo ni fact!
On the other side sasa,mwandishi mwenyewe kapiikiwa hapa hapa DSM,na CCM=Full money...halafu wasifu wa mwandishi ni wa ajabu sana!
Nendeni zenu huko!