Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mnaibiwa mkiwa wapi ninyi watu? Huna polisi? Kazi yao ni ipi? Huibiwi bali umewagawia na wewe ukachukua 10% yako na kwenda kununulia wapigakura!

Nimeshajibu hili jibu awali....kwa kifupi jaribu kutumia akili siku nyingine, usikurupuke tu kujibu kama unakimbilia kunya mharo.
 
MTAALAMU wa masuala ya afya kutoka Ubelgiji anayefanya kazi na moja ya taasisi isiyo ya kiserikali katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk Herman Louise Verhofstadt amewakosoa watu hasa kutokea mataifa ya Magharibi wanaokashifu juhudi za Rais John Magufuli katika kuendeleza Tanzania.

Dk Verhofstadt katika makala yake ya maneno 1,500 aliyoiandika kwenye Mtandao wa Pan African News Hub na kisha kuandikwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nchini, ameonesha kukerwa zaidi na wachambuzi wa nje wakiwamo wanahabari wanavyomzungumzia Rais Magufuli.

Mzungu huyo alisema kwa muda wa nusu muongo aliokaa nchini, anamuona Rais Magufuli kuwa ni mkombozi wa Watanzania na kiongozi ambaye atalipeleka taifa hili katika uchumi wa kati na wa juu zaidi.

Mtaalamu huyo alianza makala yake kwa kukosoa habari iliyoandikwa katika jarida la Economist ikimkosoa Rais Magufuli na kumfananisha na Rais Donald Trump, kuwa anatimua watumishi kupitia mikutano yake inayorushwa moja kwa moja kwenye televisheni.

Alilikosoa jarida hilo si tu kwa hoja, bali hata marejeo iliyofanya kuhusu kutimuliwa kwa watumishi hao.

Alisema ameshuhudia mabadiliko makubwa ya sera yaliyochochea ukuaji wa uchumi, uimarishwaji wa utawala bora, huduma bora kutokea taasisi za umma na mengineo, katika utawala wa Rais Magufuli.

Aliongeza kuwa Rais Magufuli ameingia madarakani wakati nchi ikiwa imegubikwa na matatizo ya rushwa huku vyombo vya habari vikinunuliwa kusaidia kundi maalumu la watu.

Aliongeza, “Magufuli anawahangaikia wananchi wake kuishi maisha bora kitu ambacho baadhi ya wachumi hawakipendi na kutafutia sababu ya kufanya aonekane ni kama mtu mbaya anayegandamiza demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na mengine mabaya.”

Alisema katika utawala wa Rais Magufuli ameshuhudia viongozi wakifunguliwa mashtaka mahakamani huku wengine wakifukuzwa kwa kuhujumu mali za umma na taasisi za umma zikiimarika, lakini wachumi wameona kuwa hiyo ni sawa na kazi bure.

Pia alizungumzia harakati za Rais Magufuli za kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia hasa akitolea hatua ya hivi karibuni ya kukutana na Waziri wa Mambo ya Ulinzi wa Israel, kuwa ni harakati za kuinadi nchi kimataifa zaidi.

Aidha, aligusia sera za Rais Magufuli katika kulinda maliasili na nishati za nchi, ambapo kupitia hilo kwa sasa nchi imeanza kunufaika na madini yake huku kampuni kama Acacia iliyokuwa ikinufaika na madini hayo ikibanwa, Dk Verhofstadt ameshangazwa na kwa nini wachumi wamekerwa na hatua hiyo.

Mzungu huyo alivitaka vyombo vya habari vya nje kutoandika habari za Tanzania kwa mazoea, akitolea mfano wa kitendo cha vyombo hivyo kukosoa hatua ya serikali ya kuwazuia wasichana wanaopatiwa mimba kuendelea na masomo, akisema kwa mujibu wa tamaduni za Tanzania, hiyo ni sawa.

Chanzo: Habari leo
Ukichunguza huyo mzungu amepewa bilioni kadhaa ili amtukuze jiwe kiongozi wa malaika
 
Hii habari ni fake. Inafungwa na CCM. Huenda imeandikwa na akina Mzee Mwanakijiji Ile kupotosha dunia.

Mzungu mwenyewe kakanusha kwamba wanaandika hiyo article wala hajawahi kufika Afrika
 
jaribu kutumia akili japo hata kidogo.....enzi za Mwinyi, Mkapa, na huyu Ze Comedy (Kikwete) wazungu waliiba sana makinikia kwa kutumia njia ile ile aliyokataza Magufuli. Cha kushangaza polisi walijuwa mizigo ni ya wakubwa na ndiyo maana walishindwa kusimamisha malori ya makontena kwa kujuwa hata wakisema hawatafika popote ila kuachishwa kazi na kukosa hata marupurupu yao. Kama wewe ungekuwa polisi, ungefanyeje? Wale wazungu walitajirika kwa kutuibia sie wapuuzi tusio na uchungu na mali zetu, leo hii wamaketiwa ulaji wapuuzi wale wale wasiojitambua wanapiga kelele tena bila hata kuwa na haibu. Mungu amlinde Rais Magufuli na asiyependa kuishi hapa nchini ajiue tu, tumewachoka na ujinga wenu.
Umeona ulivyo mpumbavu na usiyejua lolote juu ya utendajikazi wa vyombo vya ulinzi na usalama? Eti makontena ya wakubwa na tukiyakamata tutafukuzwa kazi na kukosa marupurupu! Kwa maana yako udhaifu wa polisi katika kulinda mali za umma kwa kisingizio cha kuwa mali za wakubwa ndio uliowapa nafasi wazungu wachukue maliasili kama zao sio? Na hao uliowaita wakubwa ambao wapo juu ya sheria ni wepi?
Kubaliana nami kuwa hamkuibiwa na hamuibiwi bali mmewaruhusu wenyewe huku mkiwapa ulinzi wa polisi na kama ndivyo ccm yote na viongozi wao wezi!
 
Hivi kama Mkapa anaruhusu wizi wa rasilimali zetu kwa manufaa yake, anakuwa anafanya vile kwa niaba ya watu wote waliompigia kura ama kwa ajili ya uchu wake binafsi wa kutojali wananchi wake? Walioibia nchi hii ni kina Mwinyi, Mkapa na Kikwete.
 
Dr mwenyewe kakanusha
 
Attachments

  • IMG-20180326-WA0000.jpg
    IMG-20180326-WA0000.jpg
    166.1 KB · Views: 58
MTAALAMU wa masuala ya afya kutoka Ubelgiji anayefanya kazi na moja ya taasisi isiyo ya kiserikali katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk Herman Louise Verhofstadt amewakosoa watu hasa kutokea mataifa ya Magharibi wanaokashifu juhudi za Rais John Magufuli katika kuendeleza Tanzania.

Dk Verhofstadt katika makala yake ya maneno 1,500 aliyoiandika kwenye Mtandao wa Pan African News Hub na kisha kuandikwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nchini, ameonesha kukerwa zaidi na wachambuzi wa nje wakiwamo wanahabari wanavyomzungumzia Rais Magufuli.

Mzungu huyo alisema kwa muda wa nusu muongo aliokaa nchini, anamuona Rais Magufuli kuwa ni mkombozi wa Watanzania na kiongozi ambaye atalipeleka taifa hili katika uchumi wa kati na wa juu zaidi.

Mtaalamu huyo alianza makala yake kwa kukosoa habari iliyoandikwa katika jarida la Economist ikimkosoa Rais Magufuli na kumfananisha na Rais Donald Trump, kuwa anatimua watumishi kupitia mikutano yake inayorushwa moja kwa moja kwenye televisheni.

Alilikosoa jarida hilo si tu kwa hoja, bali hata marejeo iliyofanya kuhusu kutimuliwa kwa watumishi hao.

Alisema ameshuhudia mabadiliko makubwa ya sera yaliyochochea ukuaji wa uchumi, uimarishwaji wa utawala bora, huduma bora kutokea taasisi za umma na mengineo, katika utawala wa Rais Magufuli.

Aliongeza kuwa Rais Magufuli ameingia madarakani wakati nchi ikiwa imegubikwa na matatizo ya rushwa huku vyombo vya habari vikinunuliwa kusaidia kundi maalumu la watu.

Aliongeza, “Magufuli anawahangaikia wananchi wake kuishi maisha bora kitu ambacho baadhi ya wachumi hawakipendi na kutafutia sababu ya kufanya aonekane ni kama mtu mbaya anayegandamiza demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na mengine mabaya.”

Alisema katika utawala wa Rais Magufuli ameshuhudia viongozi wakifunguliwa mashtaka mahakamani huku wengine wakifukuzwa kwa kuhujumu mali za umma na taasisi za umma zikiimarika, lakini wachumi wameona kuwa hiyo ni sawa na kazi bure.

Pia alizungumzia harakati za Rais Magufuli za kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia hasa akitolea hatua ya hivi karibuni ya kukutana na Waziri wa Mambo ya Ulinzi wa Israel, kuwa ni harakati za kuinadi nchi kimataifa zaidi.

Aidha, aligusia sera za Rais Magufuli katika kulinda maliasili na nishati za nchi, ambapo kupitia hilo kwa sasa nchi imeanza kunufaika na madini yake huku kampuni kama Acacia iliyokuwa ikinufaika na madini hayo ikibanwa, Dk Verhofstadt ameshangazwa na kwa nini wachumi wamekerwa na hatua hiyo.

Mzungu huyo alivitaka vyombo vya habari vya nje kutoandika habari za Tanzania kwa mazoea, akitolea mfano wa kitendo cha vyombo hivyo kukosoa hatua ya serikali ya kuwazuia wasichana wanaopatiwa mimba kuendelea na masomo, akisema kwa mujibu wa tamaduni za Tanzania, hiyo ni sawa.

Chanzo: Habari leo

CAN YOU PLEASE SEND THIS MEESAGE TO HIM/HER "Dear Doctor, you can have him for yourself, we do not need him"
 
dah lumumba maskini weee,mnasingizia hadi wazungu wa watu?si mnasemaga hamuhitaji approval ya mabeberu?kakanusha mwenyewe sasa
 
Ukichunguza huyo mzungu amepewa bilioni kadhaa ili amtukuze jiwe kiongozi wa malaika
Hii serikali inatapatapa mithili ya mfa maji.kazi kutunga habari za uongo zakujisifia kesho watatuambia Netanyau amsifu ******** kwakukuza uchumi.

yaleyale ya Trump kulisifu jiwe.
 
luambo makiadi njoo huku uone wapishi wa fake news wameshajisifia kwa jina la mtu ambae hata hamjui Jiwe wala hajawai kuja Africa
 
Hii serikali ni majanga.

Wanawalipa akina Mzee Mwanakijiji Ile waandike habari za kutunga.
 
Maccm watatunga kila uwongo ila huwa wanaumbuka.
Wanasahau wahenga walisema kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza.
IMG_20180326_110130.jpg
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom