Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,772
- 25,413
Ili mtu uone aibu, kitu cha kwanza ni hiyo aibu kwanza iwepo, ndipo ionekane, au mt uweze kuona aibu, lakini kwa Bahati mbaya sana, kila mtu anazaliwa na mapungufu yake au ulemavu Fulani, mimi nimezaliwa bila kupewa mgao wa aibu!, hivyo sina aibu kabisa hata chembe!, ndio maana siku zote nasema kweli Daima bila kumuogopa mtu yoyote, na kuhusu hili la udikiteta wa rais Magufuli, sidhani kama kuna mwana jf mwingine yoyote aliyelizungumzia humu kuliko mimi, na kwa taarifa yako, sijaishia kuuzungumza tuu humu, bali nina Makala katika weekly magazine nauzungumzia udikiteta.
Kuzaliwa bila aibu hakukufanyi uwe mkweli tu,unaweza kua muongo pia!
Hiyo conclusion yako mufilisi eti kwasababu huoni aibu ndio maana unasema ukweli daima ni fallacy tupu...
Na kutokua na aibu sio sifa pia...mwanadamu should be "ashamed" of himself kama ametenda kosa,hii inaleta kutubu na rectification to be a better human being...Kutokua na aibu ni sawa na kua sokwe au any animal asiekua sentient and concious...Human Beings ambao ni proven scientifically kua wana very low level ya aibu ni GAYS tu..No wonder ukawa gay,au ukawa na gay tendencies...Nimepiga ramli hapo,naweza kua sahihi au nisiwe sahihi vilevile,wewe ndie unajijua!