Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli

Status
Not open for further replies.
Huyu mzungu ana akili sana, si kama watanzania wapuuzi kama wewe MKWEPA KODI wanaoshabikia sie kuibiwa na hawapati manufaa yeyote.
Mnaibiwaje wakati mna polisi na jeshi? Au kazi ya polisi imebadilika siku hizi badala ya kulinda mali za raia inailinda ccm?
Ukisema mnaibiwa ni kulikosea neno wizi kwani mwizi huvunja na kuiba bali wazungu mmewapa wenyewe tena kwa maandishi! Hawaibi wanachukua mlichokubaliana nao ninyi ccm! Msituzuge eti wezi wa rasilimali zetu ilihali mna vyombo vya ulinzi! Kichefuchefu kabisa hiki! Tafuteni msamiati mwingine huu wa wizi umechuja na mnajichora!
 
Mnaibiwa mkiwa wapi ninyi watu? Huna polisi? Kazi yao ni ipi? Huibiwi bali umewagawia na wewe ukachukua 10% yako na kwenda kununulia wapigakura!
 
MTAALAMU wa masuala ya afya kutoka Ubelgiji anayefanya kazi na moja ya taasisi isiyo ya kiserikali katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk Herman Louise Verhofstadt amewakosoa watu hasa kutokea mataifa ya Magharibi wanaokashifu juhudi za Rais John Magufuli katika kuendeleza Tanzania.

Dk Verhofstadt katika makala yake ya maneno 1,500 aliyoiandika kwenye Mtandao wa Pan African News Hub na kisha kuandikwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nchini, ameonesha kukerwa zaidi na wachambuzi wa nje wakiwamo wanahabari wanavyomzungumzia Rais Magufuli.

Mzungu huyo alisema kwa muda wa nusu muongo aliokaa nchini, anamuona Rais Magufuli kuwa ni mkombozi wa Watanzania na kiongozi ambaye atalipeleka taifa hili katika uchumi wa kati na wa juu zaidi.

Mtaalamu huyo alianza makala yake kwa kukosoa habari iliyoandikwa katika jarida la Economist ikimkosoa Rais Magufuli na kumfananisha na Rais Donald Trump, kuwa anatimua watumishi kupitia mikutano yake inayorushwa moja kwa moja kwenye televisheni.

Alilikosoa jarida hilo si tu kwa hoja, bali hata marejeo iliyofanya kuhusu kutimuliwa kwa watumishi hao.

Alisema ameshuhudia mabadiliko makubwa ya sera yaliyochochea ukuaji wa uchumi, uimarishwaji wa utawala bora, huduma bora kutokea taasisi za umma na mengineo, katika utawala wa Rais Magufuli.

Aliongeza kuwa Rais Magufuli ameingia madarakani wakati nchi ikiwa imegubikwa na matatizo ya rushwa huku vyombo vya habari vikinunuliwa kusaidia kundi maalumu la watu.

Aliongeza, “Magufuli anawahangaikia wananchi wake kuishi maisha bora kitu ambacho baadhi ya wachumi hawakipendi na kutafutia sababu ya kufanya aonekane ni kama mtu mbaya anayegandamiza demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na mengine mabaya.”

Alisema katika utawala wa Rais Magufuli ameshuhudia viongozi wakifunguliwa mashtaka mahakamani huku wengine wakifukuzwa kwa kuhujumu mali za umma na taasisi za umma zikiimarika, lakini wachumi wameona kuwa hiyo ni sawa na kazi bure.

Pia alizungumzia harakati za Rais Magufuli za kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia hasa akitolea hatua ya hivi karibuni ya kukutana na Waziri wa Mambo ya Ulinzi wa Israel, kuwa ni harakati za kuinadi nchi kimataifa zaidi.

Aidha, aligusia sera za Rais Magufuli katika kulinda maliasili na nishati za nchi, ambapo kupitia hilo kwa sasa nchi imeanza kunufaika na madini yake huku kampuni kama Acacia iliyokuwa ikinufaika na madini hayo ikibanwa, Dk Verhofstadt ameshangazwa na kwa nini wachumi wamekerwa na hatua hiyo.

Mzungu huyo alivitaka vyombo vya habari vya nje kutoandika habari za Tanzania kwa mazoea, akitolea mfano wa kitendo cha vyombo hivyo kukosoa hatua ya serikali ya kuwazuia wasichana wanaopatiwa mimba kuendelea na masomo, akisema kwa mujibu wa tamaduni za Tanzania, hiyo ni sawa.

Chanzo: Habari leo
Vijana wa slowly vichwa taka tupu.Unaandika wew unasema mtaalam wa ubeligiji,ni lini wabeligiji wameanza kutumia kiswahili,hapa hakuna evidence zaidi ya propaganda za kishamba tu kumtukuza mkuu wa malaika wa dunia
 
Dr. Verhofstadt ni dhahiri hujaacha ugoro Ndugu yangu. 'Ngisugii' (as the Maasai call it) is HAZARDOUS for your brain my good old friend. QUIT THAT SHIT.
 
MTAALAMU wa masuala ya afya kutoka Ubelgiji anayefanya kazi na moja ya taasisi isiyo ya kiserikali katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk Herman Louise Verhofstadt amewakosoa watu hasa kutokea mataifa ya Magharibi wanaokashifu juhudi za Rais John Magufuli katika kuendeleza Tanzania.

Dk Verhofstadt katika makala yake ya maneno 1,500 aliyoiandika kwenye Mtandao wa Pan African News Hub na kisha kuandikwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nchini, ameonesha kukerwa zaidi na wachambuzi wa nje wakiwamo wanahabari wanavyomzungumzia Rais Magufuli.

Mzungu huyo alisema kwa muda wa nusu muongo aliokaa nchini, anamuona Rais Magufuli kuwa ni mkombozi wa Watanzania na kiongozi ambaye atalipeleka taifa hili katika uchumi wa kati na wa juu zaidi.

Mtaalamu huyo alianza makala yake kwa kukosoa habari iliyoandikwa katika jarida la Economist ikimkosoa Rais Magufuli na kumfananisha na Rais Donald Trump, kuwa anatimua watumishi kupitia mikutano yake inayorushwa moja kwa moja kwenye televisheni.

Alilikosoa jarida hilo si tu kwa hoja, bali hata marejeo iliyofanya kuhusu kutimuliwa kwa watumishi hao.

Alisema ameshuhudia mabadiliko makubwa ya sera yaliyochochea ukuaji wa uchumi, uimarishwaji wa utawala bora, huduma bora kutokea taasisi za umma na mengineo, katika utawala wa Rais Magufuli.

Aliongeza kuwa Rais Magufuli ameingia madarakani wakati nchi ikiwa imegubikwa na matatizo ya rushwa huku vyombo vya habari vikinunuliwa kusaidia kundi maalumu la watu.

Aliongeza, “Magufuli anawahangaikia wananchi wake kuishi maisha bora kitu ambacho baadhi ya wachumi hawakipendi na kutafutia sababu ya kufanya aonekane ni kama mtu mbaya anayegandamiza demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na mengine mabaya.”

Alisema katika utawala wa Rais Magufuli ameshuhudia viongozi wakifunguliwa mashtaka mahakamani huku wengine wakifukuzwa kwa kuhujumu mali za umma na taasisi za umma zikiimarika, lakini wachumi wameona kuwa hiyo ni sawa na kazi bure.

Pia alizungumzia harakati za Rais Magufuli za kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia hasa akitolea hatua ya hivi karibuni ya kukutana na Waziri wa Mambo ya Ulinzi wa Israel, kuwa ni harakati za kuinadi nchi kimataifa zaidi.

Aidha, aligusia sera za Rais Magufuli katika kulinda maliasili na nishati za nchi, ambapo kupitia hilo kwa sasa nchi imeanza kunufaika na madini yake huku kampuni kama Acacia iliyokuwa ikinufaika na madini hayo ikibanwa, Dk Verhofstadt ameshangazwa na kwa nini wachumi wamekerwa na hatua hiyo.

Mzungu huyo alivitaka vyombo vya habari vya nje kutoandika habari za Tanzania kwa mazoea, akitolea mfano wa kitendo cha vyombo hivyo kukosoa hatua ya serikali ya kuwazuia wasichana wanaopatiwa mimba kuendelea na masomo, akisema kwa mujibu wa tamaduni za Tanzania, hiyo ni sawa.

Chanzo: Habari leo
Anayesombwa na maji huona chochote kinachoelea kama kitamsaidia asisombwe. Hata jani kavu anadhani litamsaidia. Mwambieni hata Trump atoe tamko la umalaika wa just praise me kama litamuondolea mawaa alonayo.
 
Ngoja waje wasaliti wa nchi hii watoe mapovu bila hata facts!! Mzungu ametoa facts mururwa siyo blabla za Chadema na Maaskofu wale wa KKKT!!
Kwahiyo mzungu amesema zile Trillion 200 tunazowadai Acacia tutalipwa?

ZEROOO kantri
 
Wewe ndiyo zero kabisa!! Tunaongelea kitu kingine unaleta mambo ya Acacia!! Nonsense comments!!
 
MTAALAMU wa masuala ya afya kutoka Ubelgiji anayefanya kazi na moja ya taasisi isiyo ya kiserikali katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk Herman Louise Verhofstadt amewakosoa watu hasa kutokea mataifa ya Magharibi wanaokashifu juhudi za Rais John Magufuli katika kuendeleza Tanzania.

Dk Verhofstadt katika makala yake ya maneno 1,500 aliyoiandika kwenye Mtandao wa Pan African News Hub na kisha kuandikwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nchini, ameonesha kukerwa zaidi na wachambuzi wa nje wakiwamo wanahabari wanavyomzungumzia Rais Magufuli.

Mzungu huyo alisema kwa muda wa nusu muongo aliokaa nchini, anamuona Rais Magufuli kuwa ni mkombozi wa Watanzania na kiongozi ambaye atalipeleka taifa hili katika uchumi wa kati na wa juu zaidi.

Mtaalamu huyo alianza makala yake kwa kukosoa habari iliyoandikwa katika jarida la Economist ikimkosoa Rais Magufuli na kumfananisha na Rais Donald Trump, kuwa anatimua watumishi kupitia mikutano yake inayorushwa moja kwa moja kwenye televisheni.

Alilikosoa jarida hilo si tu kwa hoja, bali hata marejeo iliyofanya kuhusu kutimuliwa kwa watumishi hao.

Alisema ameshuhudia mabadiliko makubwa ya sera yaliyochochea ukuaji wa uchumi, uimarishwaji wa utawala bora, huduma bora kutokea taasisi za umma na mengineo, katika utawala wa Rais Magufuli.

Aliongeza kuwa Rais Magufuli ameingia madarakani wakati nchi ikiwa imegubikwa na matatizo ya rushwa huku vyombo vya habari vikinunuliwa kusaidia kundi maalumu la watu.

Aliongeza, “Magufuli anawahangaikia wananchi wake kuishi maisha bora kitu ambacho baadhi ya wachumi hawakipendi na kutafutia sababu ya kufanya aonekane ni kama mtu mbaya anayegandamiza demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na mengine mabaya.”

Alisema katika utawala wa Rais Magufuli ameshuhudia viongozi wakifunguliwa mashtaka mahakamani huku wengine wakifukuzwa kwa kuhujumu mali za umma na taasisi za umma zikiimarika, lakini wachumi wameona kuwa hiyo ni sawa na kazi bure.

Pia alizungumzia harakati za Rais Magufuli za kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia hasa akitolea hatua ya hivi karibuni ya kukutana na Waziri wa Mambo ya Ulinzi wa Israel, kuwa ni harakati za kuinadi nchi kimataifa zaidi.

Aidha, aligusia sera za Rais Magufuli katika kulinda maliasili na nishati za nchi, ambapo kupitia hilo kwa sasa nchi imeanza kunufaika na madini yake huku kampuni kama Acacia iliyokuwa ikinufaika na madini hayo ikibanwa, Dk Verhofstadt ameshangazwa na kwa nini wachumi wamekerwa na hatua hiyo.

Mzungu huyo alivitaka vyombo vya habari vya nje kutoandika habari za Tanzania kwa mazoea, akitolea mfano wa kitendo cha vyombo hivyo kukosoa hatua ya serikali ya kuwazuia wasichana wanaopatiwa mimba kuendelea na masomo, akisema kwa mujibu wa tamaduni za Tanzania, hiyo ni sawa.

Chanzo: Habari leo
Chanzo Habari Leo.
Tafakari,Chukua hatua.
Haki Elimuuuu, Ngooo Ngoooo Ngooo
 
Mchango Dhaifu wa Mfuasi Hasi.
Mzungu akitumponda kwako ni Chanya.
Hujielewi Mzee. Wake Up. F**k Up
We ndio kichwa panzi kabisa mi mzungu akisifu au kuponda hainipi any alert maana sisi wananchi wenyewe tunajua madudu yanayoendelea hata wale wanaoponda naona bado hawako katika hali ya mwananchi wa kawaida maana wangetakiwa waponde zaidi ya hivyo wanayoponda
 
Sijaelewa sijui ni kwanini heading ya mada hii imebadilishwa wakati nimeinukuu kama ilivyo kutoka kwenye gazeti la serikali HABARI LEO. wao wameandika: MZUNGU ATETEA MFUMO WA UTAWALA WA MAGUFULI sasa sijui hii heading waliyoweka hawa Mods wameitoa wapi??
 
Kesha ya wana cdm kupangua hoja hata ziwe nzuri kiasi gani! Msigwa kasema CCM hata ifanye mazuri mengi yeye madhali mpinzani maana yake apinge kila kitu! Huyu mzungu kasema alivyoona na yuko ndani ya nchi anayaona yanayotendeka lakini the economist wako hukooo wanalishwa maneno na cdm!
 
Mnaibiwaje wakati mna polisi na jeshi? Au kazi ya polisi imebadilika siku hizi badala ya kulinda mali za raia inailinda ccm?
Ukisema mnaibiwa ni kulikosea neno wizi kwani mwizi huvunja na kuiba bali wazungu mmewapa wenyewe tena kwa maandishi! Hawaibi wanachukua mlichokubaliana nao ninyi ccm! Msituzuge eti wezi wa rasilimali zetu ilihali mna vyombo vya ulinzi! Kichefuchefu kabisa hiki! Tafuteni msamiati mwingine huu wa wizi umechuja na mnajichora!

jaribu kutumia akili japo hata kidogo.....enzi za Mwinyi, Mkapa, na huyu Ze Comedy (Kikwete) wazungu waliiba sana makinikia kwa kutumia njia ile ile aliyokataza Magufuli. Cha kushangaza polisi walijuwa mizigo ni ya wakubwa na ndiyo maana walishindwa kusimamisha malori ya makontena kwa kujuwa hata wakisema hawatafika popote ila kuachishwa kazi na kukosa hata marupurupu yao. Kama wewe ungekuwa polisi, ungefanyeje? Wale wazungu walitajirika kwa kutuibia sie wapuuzi tusio na uchungu na mali zetu, leo hii wamaketiwa ulaji wapuuzi wale wale wasiojitambua wanapiga kelele tena bila hata kuwa na haibu. Mungu amlinde Rais Magufuli na asiyependa kuishi hapa nchini ajiue tu, tumewachoka na ujinga wenu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom