Nakumbuka ccm kuchokwa na wazungu kipindi kile cha uchaguzi.... ile ilikuwa kwa faida ya nani kauli ile? ukawa? wazungu au ccm?
Unaweza kua sawa,ila ni vita kati ya hao wazungu na CCM,yanini mnawatukana Chadema kwa vita yenu nyie?Maana ni wajibu wa CCM kuifanyia kazi hii nchi na vita yake na wazungu wanatakiwa waifanye bila kuchanganya wengine..
kwahiyo siwezi kuamini kuwa wazungu siku moja wafanye au waseme jambo kwa maslahi ya mwafrika hata ikiwa serikali ni ya chadema sasa. sina shaka na stand hiyo ya wazungu dhidi ya maslahi yao hapa kwetu especially yanapohatarishwa na uongozi rogue kama wanavouita...
Sio wote wako hivyo..na sio mzungu tu,hata Waafrica wenyewe kwa wenyewe wanaweza wasiongee kitu kwa faida ya Muafrica huyo huyo..Kumbuka tuna Wachina,Wahindi na Waarabu..sio lazima Wazungu tu...Mataifa mengine wakiandika CCM vibaya sio ishu,ishu ni Mzungu aandike?Hii inakua myopic thinking..
kina mangungo wa msovero hamtakosekana leo, hii ni dalili ya wazi ni kwa namna gani elimu zetu zilizobez ulaya hazituwezeshi kuona baya lolote la watu wa ulaya... utakuta mtu ana flo english vizuri tu, anadhani kasoma na kaelimika kweli lakini fact moja tu ambayo inampelekea kujikomboa kama muafrika, jitu hili jinga litaibeza , litaishambulia kwa dharau na huku linajiambia liko sahihi na wajinga ni wale wanaosapot na ku work together ku accomplish chochote kama jamii ....
Unafeli sana kudhani ni lazima mtu akubaliane na CCM na serikali yake ndio aonekane mzalendo?Mzalendo haangalii CCM wala serikali yake...Hivyo hoja ya Mangungo ni ya kijinga kwa kuchukua mtakabali wa CCM na serikali yake kama the only entities zinazostahili kuungwa mkono ili uonekane mzalendo....Hamna kitu nisichokiamini kama CCM ana serikali yake,I will never be on their side na ni mzalendo as it comes!
kina kipanya wale walitakiwa kuchora katuni zikionesha mazungu yanavoimong'onyoa hii nchi daily mpaka wananchi wajue wame porwa mali zao kiasi gani.....
Mkuu anaemomonya hii nchi tangu mwaka 1961 ni CCM wanaoeruhusu huu unyonyaji wa Wazungu mnaodai,Chadema haihusiki wala wananchi hatuhusiki,tunawalalamikia nyie....Wa kwanza kuchorwa ni CCM na serikali tuliowapa mandate tangu mwaka 1961 na kuiba na hao wazungu...Kwa kifupi hii vita ya CCM na wazungu mnayoisema nia vita kati ya wezi wawili waliozidiana maslahi.Sisi wananchi hatuhusiki,sisi tunatakiwa tumuadhibu CCM kwa kuruhusu na kushirikiana na mzungu kutuumiza....wezi watupu
kule ulaya wapi kuna mgodi wa dhahabu mpaka mataifa yale yawe na umiliki wa madini mengi namna ile kama sio yanaibiwa uku kwetu??????
Mkuu,kwenye madini Tanzania ni uchafu juu ya uchafu..madini iliyonayo Marekani tu ni bara la Africa combined..Northern Europe/Ireland kuna mafuta na gas,Australia is another monster,South Africa ambayo basically ni nchi ya mzungu usiseme..Tanzania ni vichaa watupu wanasimama na kusema eti tuna maliasili dunia inatuonea gere,shaarra'p! Hebu tafadhali soma vizuri natural resources za North America,Europe,Russia,Australi halafu uje uongee utumbo wa TZ...