Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli

Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli

Status
Not open for further replies.
Kweli hamji
Yaani wanaona sisi vilaza hatujielewi mpaka mzungu ndo atusemee? CCM ni laana
Kweli j=hamjielewi. Sasa hivi m=badala ya kufanya kazi mawazo yote ni maandamano 26th April Really???? Wakati anayehamasisha yuko kwake kwa raha zake. Kwlei mnajitambua kweli!
 
Kweli hamji
Kweli j=hamjielewi. Sasa hivi m=badala ya kufanya kazi mawazo yote ni maandamano 26th April Really???? Wakati anayehamasisha yuko kwake kwa raha zake. Kwlei mnajitambua kweli!
Na anayehamasisha vurugu yuko zake magogoni anakula bata we umekaa hapo benchi la lumumba unapiga porojo na bado buki 7 hupewi cash
 
Hivi kuna mtu anaamini hiyo habari iliandikwa na mtu yeyote mbali na wana-Lumumba wenyewe?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom