Uchambuzi huu bora sana. Hapa suala sio akina Msigwa wala vijana wa Lumumba, hapa tatizo ni sisi wote Watanzania. Economist wanaishambulia nchi yetu, wanamshambulia Rais halafu tunakaa kimya wote waandishi wa habari, wasomi, wachambuzi wa siasa na kila mtu eti tunamsubiri Msigwa na Lumumba. Tena mimi kwa mawazo yangu kwenye mapambano kama haya akina Msigwa na Lumumba hawapaswi kufunua mdogo maana wataonekana wanajitetea. Hapa palitakiwa tuuone ubingwa, umahiri na uzalendo wa akina Pascal Mayalla. Kilichofanywa na Economist ni attack against our country not against somebody. Tatizo letu we are not putting Tanzania first. Lakini nadhani hili limetufunza.
Ndugu zangu with the presence of Social media platforms tunaweza kuwanyoosha hao Economist wasirudia kuandika upuuzi wao. Mimi nimejifunza sana na huyu Mzungu wa Arusha kuna mengi hajaandika wacha nijipinde nitarudi sio muda mrefu