Facts: Kwanini Rais Magufuli atashindwa vibaya

Uzi una miezi 21 na kilichotabiriwa kuhusu huyu dhalimu ni ukweli mtupu nchi imemshinda vibaya sana kabaki kufoka foka na kusema uongo kila kukicha na story zake za uongo kuhusu Scandinavian Countries na China. Kajisemea Mzee RUKHSA nchi inaendeshwa kama gari bovu haina sukani. Bado kuna miaka miwili na nusu hadi 2020 I hope wataona hili balaa kubwa la huyu mtu hivyo 2020 wamswage arudi Chato akafuge punda.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umefanya vema mkuu ngoja nichangie mada sasa...Naichukia CCM.
 
wakati wananchi wakimshangilia Rais Magufuli kwa matamko yake yasiyoisha, wasomi wasiwasi umetujaa kwa sababu tunaona atafail vibaya ndani ya miaka mitano. Sababu ni zifuatazo
  1. Mapato ya nchi hayaongezeki kama alivyotegemea, ukizingatia kushuka kwa mapato ya bandari kwa hali ya juu kuwahi kutokea nchini, kupungua kwa mizigo, na kushuka kwa sekta ya Utalii ambayo ndo inaongoza kwa kuingiza fedha za kigeni (25%). Mpaka sasa sekta imeanguka kwa asilimia 5%
  2. Kuongezeka kwa matumizi yasiyokuwa ndani ya bajeti, (matumizi mkurupuko) kwa mfano kulazimisha serikali kuhamia Dodoma huku kukiwa hakuna hiyo bajeti. Rais kugawa fedha bila mpangilio wowote wala idhini ya bunge.
  3. Rais kutofuata mpango wa maendeleo wa miaka mitano uliowasilishwa na serikali yake bungeni. Wakati kilimo ikiwa bado ni sekta ya kipaumbele katika mpango huo, mpaka sasa hatujaona msisitizo wowote katika sekta husika ambayo ndo inaongoza kwa kuajiri nguvu kazi ya taifa , zaidi ya rais kusema wilaya itakayopatwa na njaa atamfukuza mkuu wa wilaya na mkurugenzi (hii inaongezaje tija ya kilimo kwa mkulima??)
  4. Rais kuingiza siasa katika shughuli muhimu za kitendaji, kwa mfano kuteua wakurugenzi wa wilaya na mikoa wasio weledi na makada wa ccm, wakati akitambua hawa ndo msingi wa usimamizi wa maendeleo na utaalamu katika maeneo yao, kwa
  5. Wahisani kujitoa katika mipango ya maendeleo, MCC ni mfano mzuri
  6. kufifia kwa demokrasia kwa wapinzani kuzuiliwa kufanya mikutano na shughuli za kisiasa. Ikumbukwe wapinzani wamekuwa whistle blower wazuri katika ufisadi na ubadhilifu huku skendo zote kubwa katika nchi hii kuwa ziliibuliwa na wapinzani. Kuwafunga midomo ni kuwapa mianya mafisadi kujenga syndicate mpya za kupiga pesa, lakini pia rais anayefanya kazi bila challenge huishia kujisahau na kuharibu
  7. Rais kuchukiwa na watumishi wa umma, ikumbukwe rais tangu aingie madarakani amekuwa akiwasema vibaya watumishi wa umma huku akiwashushia tuhuma collectively utafikiri wote ni mafisadi. Mpaka sasa preliminary observation inaonyesha rais magufuri ndo rais unpopular among public servants kuliko rais yoyote Tanzania
  8. Rais kukiri mbele ya wananchi kuwa angejua ugumu wa kazi hiyo asingegombea, hii inaonyesha hakujiandaa au ali underrate kiti hicho, hivyo mpaka sasa hajui namna ya kuji adjust
  9. washauli wa rais kugeuka washauliwa, hii utachanganua mwenyewe
  10. Mawaziri kuwa waoga kiasi cha kukurupuka katika kusapoti maamuzi na statement yoyote atakayosema bosi wao hata kama wanajua haifai kwa wakati husika
  11. Mwisho, Kutokuwa na sera ya kimataifa kama nchi,huku uhusiano wetu na nchi kubwa kiuchumi duniani ukianguka vibaya sana. hatujui mpaka sasa mlengo wetu kidiplomasia ni upi
Hayo yoote ukiyajumlisha na kuangalia multiplier effect katika taifa hili na mwenendo wake ndani ya Miaka mitano, utakubaliana na mimi we are going to a hell of economic roller-coaster haijawahi tokea.
Bado Uzi wako umesimama:
 
HAWEZI KUSHINDWA NA KITU CHOCHOTE HAPA DUNIANI MARK MY WORDS WALAHI!
 
Kiufupi tumekata tamaa hii mipenda sifa bila utaalamu wa mambo, kila siku matamko vitendo hakuna!Mungu tusaidie!
 
Wewe na familia yako nyie ndiyo mtashindwa vibaya sana. Magufuli alishashinda, atatunzwa na kodi zako yeye na familia yake maisha yake yote hadi kifo kitapomchukua. Kama ni issue ya kisiasa, ategemei tena kura yako ili aingie madarakani. CHAPA KAZI KWA BIDII ILI NA WEWE USHINDE KWA KIWANGO CHAKO.
 
naunga mkono hoja tena mtoa hoja umejipa muda wa kutafakari haswa. jana nikiwa mahali niliweza kushuhudia akiwahutubia wakazi wa iringa katika matukio mawili tofauti. nilichokiona ni kuwa huwa anaongea yaleyale ili kutafuta kuungwa mkono. unaongea na mtu aliyekosa mkopo we unamtajia ndege? mm nilipo kuwa chuo my interest was ajira.
 
Hapo nilichokoza mada. Nilifikiri atakayepinga angefanya hivyo kwa hoja ili nijibu kwa hoja. Sasa kwa hoja yako bado hujanishawishi nitoe hoja zangu. So my previous argument stands.
Hapo hakuna hoja ni mawazo mfilisi. Hii nchi ni yetu siyo ya Magufuli. Kwanza umekosea kuanzia kwenye kichwa cha habari. Ukisema atashindwa, maana yake ni Tanzania itashindwa je, atashindwa kwa lipi wakati yeye anafanya kwa sehemu yake nasi tunafanya sehemu yetu. Hakuna raisi hatayetokea ili ashinde, tukifanyakazi kwa bidii tutaifanya nchi ishinde. Tutalipa kodi ya kutosha si kama sahivi, tunapolipa kodi vijisenti coz tunazalisha kidogo na wachache ndiyo tunachangie uchumi wa nchi. Wengine mnashindwa kwenye keyboard kutwa.
 
wakati wananchi wakimshangilia Rais Magufuli kwa matamko yake yasiyoisha, wasomi wasiwasi umetujaa kwa sababu tunaona atafail vibaya ndani ya miaka mitano. Sababu ni zifuatazo
  1. Mapato ya nchi hayaongezeki kama alivyotegemea, ukizingatia kushuka kwa mapato ya bandari kwa hali ya juu kuwahi kutokea nchini, kupungua kwa mizigo, na kushuka kwa sekta ya Utalii ambayo ndo inaongoza kwa kuingiza fedha za kigeni (25%). Mpaka sasa sekta imeanguka kwa asilimia 5%
  2. Kuongezeka kwa matumizi yasiyokuwa ndani ya bajeti, (matumizi mkurupuko) kwa mfano kulazimisha serikali kuhamia Dodoma huku kukiwa hakuna hiyo bajeti. Rais kugawa fedha bila mpangilio wowote wala idhini ya bunge.
  3. Rais kutofuata mpango wa maendeleo wa miaka mitano uliowasilishwa na serikali yake bungeni. Wakati kilimo ikiwa bado ni sekta ya kipaumbele katika mpango huo, mpaka sasa hatujaona msisitizo wowote katika sekta husika ambayo ndo inaongoza kwa kuajiri nguvu kazi ya taifa , zaidi ya rais kusema wilaya itakayopatwa na njaa atamfukuza mkuu wa wilaya na mkurugenzi (hii inaongezaje tija ya kilimo kwa mkulima??)
  4. Rais kuingiza siasa katika shughuli muhimu za kitendaji, kwa mfano kuteua wakurugenzi wa wilaya na mikoa wasio weledi na makada wa ccm, wakati akitambua hawa ndo msingi wa usimamizi wa maendeleo na utaalamu katika maeneo yao, kwa
  5. Wahisani kujitoa katika mipango ya maendeleo, MCC ni mfano mzuri
  6. kufifia kwa demokrasia kwa wapinzani kuzuiliwa kufanya mikutano na shughuli za kisiasa. Ikumbukwe wapinzani wamekuwa whistle blower wazuri katika ufisadi na ubadhilifu huku skendo zote kubwa katika nchi hii kuwa ziliibuliwa na wapinzani. Kuwafunga midomo ni kuwapa mianya mafisadi kujenga syndicate mpya za kupiga pesa, lakini pia rais anayefanya kazi bila challenge huishia kujisahau na kuharibu
  7. Rais kuchukiwa na watumishi wa umma, ikumbukwe rais tangu aingie madarakani amekuwa akiwasema vibaya watumishi wa umma huku akiwashushia tuhuma collectively utafikiri wote ni mafisadi. Mpaka sasa preliminary observation inaonyesha rais magufuri ndo rais unpopular among public servants kuliko rais yoyote Tanzania
  8. Rais kukiri mbele ya wananchi kuwa angejua ugumu wa kazi hiyo asingegombea, hii inaonyesha hakujiandaa au ali underrate kiti hicho, hivyo mpaka sasa hajui namna ya kuji adjust
  9. washauli wa rais kugeuka washauliwa, hii utachanganua mwenyewe
  10. Mawaziri kuwa waoga kiasi cha kukurupuka katika kusapoti maamuzi na statement yoyote atakayosema bosi wao hata kama wanajua haifai kwa wakati husika
  11. Mwisho, Kutokuwa na sera ya kimataifa kama nchi,huku uhusiano wetu na nchi kubwa kiuchumi duniani ukianguka vibaya sana. hatujui mpaka sasa mlengo wetu kidiplomasia ni upi
Hayo yoote ukiyajumlisha na kuangalia multiplier effect katika taifa hili na mwenendo wake ndani ya Miaka mitano, utakubaliana na mimi we are going to a hell of economic roller-coaster haijawahi tokea.
Every one need to play is part,na hayo ndio maendeleo sio kazi ya Magufuli au serikali yake tu.
Mambo mengine yanatia kichefuchefu.
 
12- Mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais Maliyamungu Bashite hawataki kukosolewa, wanaamini fikra zao pekee. 13-Amebadili Gavana BOT na kumweka mwanae wa kuzaa nje kuwa katibu mkuu wizara ya fedha ili iwe rahisi kuchota Pesa Hazina kienyeji mda wowote hata saa nane usiku akitaka. 14- kuwabambikia kesi, kuwapiga Risasi, kuwafunga jela, kuwadhalilisha Wapinzani huku wakinunua wabunge, madiwani na kurudia chaguzi kwa gharama kubwa sanjari na uchakachuaji 15- kufukuza wafanyakazi kisa vyeti huku Maliyamungu Bashite hana vyeti lakini anaendelea kumkumbatia kisa ni mmiliki wa kikundi cha wasiojulikana na Nissan nyeupe.
 
Wasomi wa bongo mna mambo sana. Eti wasomi!!!!! Hahahhhahhha. Wasomi wasiwasi umetujaa. Dah. Haya msomi fisi anayesubiri mkono wa binadamu udondoke apate kitoweo.
 
wakati wananchi wakimshangilia Rais Magufuli kwa matamko yake yasiyoisha, wasomi wasiwasi umetujaa kwa sababu tunaona atafail vibaya ndani ya miaka mitano. Sababu ni zifuatazo
  1. Mapato ya nchi hayaongezeki kama alivyotegemea, ukizingatia kushuka kwa mapato ya bandari kwa hali ya juu kuwahi kutokea nchini, kupungua kwa mizigo, na kushuka kwa sekta ya Utalii ambayo ndo inaongoza kwa kuingiza fedha za kigeni (25%). Mpaka sasa sekta imeanguka kwa asilimia 5%
  2. Kuongezeka kwa matumizi yasiyokuwa ndani ya bajeti, (matumizi mkurupuko) kwa mfano kulazimisha serikali kuhamia Dodoma huku kukiwa hakuna hiyo bajeti. Rais kugawa fedha bila mpangilio wowote wala idhini ya bunge.
  3. Rais kutofuata mpango wa maendeleo wa miaka mitano uliowasilishwa na serikali yake bungeni. Wakati kilimo ikiwa bado ni sekta ya kipaumbele katika mpango huo, mpaka sasa hatujaona msisitizo wowote katika sekta husika ambayo ndo inaongoza kwa kuajiri nguvu kazi ya taifa , zaidi ya rais kusema wilaya itakayopatwa na njaa atamfukuza mkuu wa wilaya na mkurugenzi (hii inaongezaje tija ya kilimo kwa mkulima??)
  4. Rais kuingiza siasa katika shughuli muhimu za kitendaji, kwa mfano kuteua wakurugenzi wa wilaya na mikoa wasio weledi na makada wa ccm, wakati akitambua hawa ndo msingi wa usimamizi wa maendeleo na utaalamu katika maeneo yao, kwa
  5. Wahisani kujitoa katika mipango ya maendeleo, MCC ni mfano mzuri
  6. kufifia kwa demokrasia kwa wapinzani kuzuiliwa kufanya mikutano na shughuli za kisiasa. Ikumbukwe wapinzani wamekuwa whistle blower wazuri katika ufisadi na ubadhilifu huku skendo zote kubwa katika nchi hii kuwa ziliibuliwa na wapinzani. Kuwafunga midomo ni kuwapa mianya mafisadi kujenga syndicate mpya za kupiga pesa, lakini pia rais anayefanya kazi bila challenge huishia kujisahau na kuharibu
  7. Rais kuchukiwa na watumishi wa umma, ikumbukwe rais tangu aingie madarakani amekuwa akiwasema vibaya watumishi wa umma huku akiwashushia tuhuma collectively utafikiri wote ni mafisadi. Mpaka sasa preliminary observation inaonyesha rais magufuri ndo rais unpopular among public servants kuliko rais yoyote Tanzania
  8. Rais kukiri mbele ya wananchi kuwa angejua ugumu wa kazi hiyo asingegombea, hii inaonyesha hakujiandaa au ali underrate kiti hicho, hivyo mpaka sasa hajui namna ya kuji adjust
  9. washauli wa rais kugeuka washauliwa, hii utachanganua mwenyewe
  10. Mawaziri kuwa waoga kiasi cha kukurupuka katika kusapoti maamuzi na statement yoyote atakayosema bosi wao hata kama wanajua haifai kwa wakati husika
  11. Mwisho, Kutokuwa na sera ya kimataifa kama nchi,huku uhusiano wetu na nchi kubwa kiuchumi duniani ukianguka vibaya sana. hatujui mpaka sasa mlengo wetu kidiplomasia ni upi
Hayo yoote ukiyajumlisha na kuangalia multiplier effect katika taifa hili na mwenendo wake ndani ya Miaka mitano, utakubaliana na mimi we are going to a hell of economic roller-coaster haijawahi tokea.
Time will tell
 
Uzi una miezi 21 na kilichotabiriwa kuhusu huyu dhalimu ni ukweli mtupu nchi imemshinda vibaya sana kabaki kufoka foka na kusema uongo kila kukicha na story zake za uongo kuhusu Scandinavian Countries na China. Kajisemea Mzee RUKHSA nchi inaendeshwa kama gari bovu haina sukani. Bado kuna miaka miwili na nusu hadi 2020 I hope wataona hili balaa kubwa la huyu mtu hivyo 2020 wamswage arudi Chato akafuge punda.
Pesa inayotumika kuwanunua wabunge, madiwani, kurudia chaguzi kwa gharama kubwa, uchakachuaji, kuwabambikia kesi, kuwapiga Risasi, kuwafunga jela Wapinzani ni pesa ndefu sana ni pesa ambazo zingeweza kujenga Hosptal za rufaa kila mkoa na kuajiri madaktari toka India na wagonjwa wote wakatibiwa nchini pasipo kupelekwa nje, ni pesa ambazo zingeweza kujenga viwanda kila kata na maendeleo kusambaa nchini kote.
 
Back
Top Bottom