Magufuli ni mwamba. Hakika tulipata Rais

Afcon kinanuka

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2026
Posts
1,438
Reaction score
3,736
Tanzania tulipata rais bora sana na alituheshimisha popote tulipoenda duniani.

Miradi mingi ilijengwa kama JNHEPP,Madaraja kama kijazi,kigamboni,tanzanite,miradi ya umwagiliaji,barabara za mwendokasi,hospitali nk hadi akatufikisha uchumi wa kati baadae tukarudi kwenye umasikini baada ya huyu mama kurithi na kuanza kuharibu kila kitu.

Kwa sasa nchi ilivyokosa mwelekeo na kila kitu ni bora tupambanie katiba mpya ili ikitokea rais kafariki aliyechaguliwa na wananchi kama magufuli basi makamu wake arithi miezi sita tu ili asipate muda wa kuiharibu nchi kama ilivyo sasa.
 
Unaumwa wewe..nenda katibiwe.
 
JPM ni kiongozi Bora kuwahi kutokea Tanzania na hakutakiwa na mbadala wake labda ipite miongo 20+ na huko kaburini anajilaumu sana kutuachia mwanamke ambae ni Zero Brain muda wote hatumii akili anakuwa kama ni KUKU aliyekatwa kichwa Yani akili yake inakuwa ipo kwenye makebo tu kama Lucas Mwashambwa

RIP JPM jiwe kweri kweri Chuma kweri kweri japo umetuachia laana ya mbadala wako
 
Tulipata rais kwelikweli tofauti na sasa hatuna rais kabisa
 
Tanzania tulipata rais bora sana na alituheshimisha popote tulipoenda duniani.

Miradi mingi ilijengwa kama JNHEPP,Madaraja kama kijazi,kigamboni,tanzanite,miradi ya umwagiliaji,barabara za mwendokasi,hospitali nk hadi akatufikisha uchumi wa kati baadae tukarudi kwenye umasikini baada ya huyu mama kurithi na kuanza kuharibu kila kitu.

Kwa sasa nchi ilivyokosa mwelekeo na kila kitu ni bora tupambanie katiba mpya ili ikitokea rais kafariki aliyechaguliwa na wananchi kama magufuli basi makamu wake arithi miezi sita tu ili asipate muda wa kuiharibu nchi kama ilivyo sasa.
Mwendokasi ilianza kujengwa 2011,2014 ilikua tayari, kigamboni lilianza kujengwa màgu akiwa waziri,uchumi wa kati ilipangwa kuanza 2000 mhandisi akiwa mzee mkapa,huwezi itoa nchi toka kuwa masiki wa tatu duniani hadi uchumi wa kati kwa miaka miwili,madaraja kikwete alishasaini na wajapan na Korea, huyo mtu wako hakuwa na uwezo wa kupambania vitu kama hivyo, kuongeza mishahara tu alishindwa achilia mbali mikopo elimu ya juu
 
Acha uongo
 
Magu huyu huyu "Dikteta Uchwara"? Aliyeruhusu Lissu kumiminiwa risasi kama maji? Kuteka watu, kuua na kutupa baharini? Magu huyu huyu aliyebaka uchaguzi wa 2020 na kuwatoa vigogo wote wa upinzani majimboni?

Kuna muda wanaharakati/wapinzani wa nchi hii ni ngumu sana kuwaelewa.
 
Magu huyu huyu "Dikteta Uchwara"? Aliyeruhusu Lissu kumiminiwa risasi kama maji? Kuteka watu, kuua na kutupa baharini?

Kuna muda wanaharakati/wapinzani wa nchi hii ni ngumu sana kuwaelewa.
Ni bora lisu yupo hai hadi sasa tofauti na huyu mama kawa rip mzee ally kibao mchana kweupe,mdude,sativa hamphrey polepole na wengine wengi zaidi ya 80 kama ilivyo taarifa ya TLS kuhusu waliotekwa chini yake.
 
Tanzania tulipata rais bora sana na alituheshimisha popote tulipoenda duniani.

Miradi mingi ilijengwa kama JNHEPP,Madaraja kama kijazi,kigamboni,tanzanite,miradi ya umwagiliaji,barabara za mwendokasi,hospitali nk hadi akatufikisha uchumi wa kati baadae tukarudi kwenye umasikini baada ya huyu mama kurithi na kuanza kuharibu kila kitu.

Kwa sasa nchi ilivyokosa mwelekeo na kila kitu ni bora tupambanie katiba mpya ili ikitokea rais kafariki aliyechaguliwa na wananchi kama magufuli basi makamu wake arithi miezi sita tu ili asipate muda wa kuiharibu nchi kama ilivyo sasa.
ok. :1Head:
 
JPM ni kiongozi Bora kuwahi kutokea Tanzania na hakutakiwa na mbadala wake labda ipite miongo 20+ na huko kaburini anajilaumu sana kutuachia mwanamke ambae ni Zero Brain muda wote hatumii akili anakuwa kama ni KUKU aliyekatwa kichwa Yani akili yake inakuwa ipo kwenye makebo tu kama Lucas Mwashambwa

RIP JPM jiwe kweri kweri Chuma kweri kweri japo umetuachia laana ya mbadala wako
Duh
 
Tanzania tulipata rais bora sana na alituheshimisha popote tulipoenda duniani.

Miradi mingi ilijengwa kama JNHEPP,Madaraja kama kijazi,kigamboni,tanzanite,miradi ya umwagiliaji,barabara za mwendokasi,hospitali nk hadi akatufikisha uchumi wa kati baadae tukarudi kwenye umasikini baada ya huyu mama kurithi na kuanza kuharibu kila kitu.

Kwa sasa nchi ilivyokosa mwelekeo na kila kitu ni bora tupambanie katiba mpya ili ikitokea rais kafariki aliyechaguliwa na wananchi kama magufuli basi makamu wake arithi miezi sita tu ili asipate muda wa kuiharibu nchi kama ilivyo sasa.
Laiti angekuwa hai! Uchumi wetu ungepaa!
 
Back
Top Bottom