Ommossani
Member
- Apr 13, 2013
- 53
- 20
Uchumi unakuaje huku pesa inashuka tamani?Uchumi wa Tz unaongoza kwa ukuaji Africa na ni wa kwanza kwa Africa Mashariki. Msijiweke mabanzi masikioni
sector ipi iliyokuza huo uchumi kwenye awamu ya tano?
Uchumi unakuaje huku pesa inashuka tamani?Uchumi wa Tz unaongoza kwa ukuaji Africa na ni wa kwanza kwa Africa Mashariki. Msijiweke mabanzi masikioni
Mpo wengi sana aina yako,wengine baba zenu wameachishwa kazi serikalini kutokana na wizi,wengine Mali zenu zimetaifishwa kutokana na kuwa za wizi,wengine michongo yenu imechemka awamu hii kutokana na misimamo mizuri ya serikali hii, nk,baada ya hapo mmekimbilia humu JF kila SAA mnaanzisha threads za kumpinga Raisi,na sababu kubwa ni unafiki uliokithiri miongoni mwenu,hamna machungu na watu wa hali ya chini,na mpo wengi sana.Ila kumbuka wakati ukiombea mbaya yatokee Kwa awamu hii Tupo wengi saana huku vijijini tunaofurahia mengi yanayofanywa na JPM na serikali yake,na mwisho wa siku utashindwa wewe na familia yako na watu wa aina kama yako.Na JPM Yupo miaka 9 mbele,serikali ni hii hii,katiba ni hii hii,tume ya uchaguzi ni hii hii,na CCM ni hii hii,kama hutaki hama nchi,na yule mwingine atabaki kuwa raisi wenu wa mioyo,he will never be the president of this country,NEVER.
Hali ishakuwa mbaya safari za magogoni to chato ...haaaaawakati wananchi wakimshangilia Rais Magufuli kwa matamko yake yasiyoisha, wasomi wasiwasi umetujaa kwa sababu tunaona atafail vibaya ndani ya miaka mitano. Sababu ni zifuatazo
Hayo yoote ukiyajumlisha na kuangalia multiplier effect katika taifa hili na mwenendo wake ndani ya Miaka mitano, utakubaliana na mimi we are going to a hell of economic roller-coaster haijawahi tokea.
- Mapato ya nchi hayaongezeki kama alivyotegemea, ukizingatia kushuka kwa mapato ya bandari kwa hali ya juu kuwahi kutokea nchini, kupungua kwa mizigo, na kushuka kwa sekta ya Utalii ambayo ndo inaongoza kwa kuingiza fedha za kigeni (25%). Mpaka sasa sekta imeanguka kwa asilimia 5%
- Kuongezeka kwa matumizi yasiyokuwa ndani ya bajeti, (matumizi mkurupuko) kwa mfano kulazimisha serikali kuhamia Dodoma huku kukiwa hakuna hiyo bajeti. Rais kugawa fedha bila mpangilio wowote wala idhini ya bunge.
- Rais kutofuata mpango wa maendeleo wa miaka mitano uliowasilishwa na serikali yake bungeni. Wakati kilimo ikiwa bado ni sekta ya kipaumbele katika mpango huo, mpaka sasa hatujaona msisitizo wowote katika sekta husika ambayo ndo inaongoza kwa kuajiri nguvu kazi ya taifa , zaidi ya rais kusema wilaya itakayopatwa na njaa atamfukuza mkuu wa wilaya na mkurugenzi (hii inaongezaje tija ya kilimo kwa mkulima??)
- Rais kuingiza siasa katika shughuli muhimu za kitendaji, kwa mfano kuteua wakurugenzi wa wilaya na mikoa wasio weledi na makada wa ccm, wakati akitambua hawa ndo msingi wa usimamizi wa maendeleo na utaalamu katika maeneo yao, kwa
- Wahisani kujitoa katika mipango ya maendeleo, MCC ni mfano mzuri
- kufifia kwa demokrasia kwa wapinzani kuzuiliwa kufanya mikutano na shughuli za kisiasa. Ikumbukwe wapinzani wamekuwa whistle blower wazuri katika ufisadi na ubadhilifu huku skendo zote kubwa katika nchi hii kuwa ziliibuliwa na wapinzani. Kuwafunga midomo ni kuwapa mianya mafisadi kujenga syndicate mpya za kupiga pesa, lakini pia rais anayefanya kazi bila challenge huishia kujisahau na kuharibu
- Rais kuchukiwa na watumishi wa umma, ikumbukwe rais tangu aingie madarakani amekuwa akiwasema vibaya watumishi wa umma huku akiwashushia tuhuma collectively utafikiri wote ni mafisadi. Mpaka sasa preliminary observation inaonyesha rais magufuri ndo rais unpopular among public servants kuliko rais yoyote Tanzania
- Rais kukiri mbele ya wananchi kuwa angejua ugumu wa kazi hiyo asingegombea, hii inaonyesha hakujiandaa au ali underrate kiti hicho, hivyo mpaka sasa hajui namna ya kuji adjust
- washauli wa rais kugeuka washauliwa, hii utachanganua mwenyewe
- Mawaziri kuwa waoga kiasi cha kukurupuka katika kusapoti maamuzi na statement yoyote atakayosema bosi wao hata kama wanajua haifai kwa wakati husika
- Mwisho, Kutokuwa na sera ya kimataifa kama nchi,huku uhusiano wetu na nchi kubwa kiuchumi duniani ukianguka vibaya sana. hatujui mpaka sasa mlengo wetu kidiplomasia ni upi
Kujibu hizo hoja ni kuanza kueleza mazuri yaliyofanya kwenye kila alilobeza,anayajua yote na wewe unayajua pia,ila mnajitoa ufahamu kutokana na hasira zenu binafsi,aidha mmetumbuliwa au ni Lile kundi kubwa humu JF linalopinga kila kitu cha serikali hii kutokana na hasira za kushindwa uchaguzi tangu mwaka Jana.Ukiwa na reasoning fupi popularity ya humu JF inakufanya uone wa TZ wengi wana hasira na serikali hii,kumbe ni kinyume chake.Watu wengi wa hali ya chini wanafurahia serikali hii kuliko awamu yoyote ya karibu ni,wanaona Mwanga mbele,nyie malofa wachache ndo mnaishia kuleta threads za propaganda humu JF mkidhani kila mtu Yupo JF na mkidhani mitazamo yenu ni ya kila mtu.Ila mwisho wa siku mtachemka.Narudia JPM Yupo miaka 9 ijayo,katiba ni hii hii,tume ya uchaguzi ni hii hii,CCM ni hii hii,mengine mnajipa moyo tu.Fanya kazi Kwa bidii,enzi za ujanja ujanja zimekwisha.NAFIKIRI UNGETUMIA HOJA KUMPINGA INGEPENDEZA SANA...........
Huo Uzi unaitwa ngumu kumeza!!!!!
Umesongoka ,lakini matokeo yako hayaridhishwi na hii hoja,bora ungejiita kilaza mjuajiwakati wananchi wakimshangilia Rais Magufuli kwa matamko yake yasiyoisha, wasomi wasiwasi umetujaa kwa sababu tunaona atafail vibaya ndani ya miaka mitano. Sababu ni zifuatazo
Hayo yoote ukiyajumlisha na kuangalia multiplier effect katika taifa hili na mwenendo wake ndani ya Miaka mitano, utakubaliana na mimi we are going to a hell of economic roller-coaster haijawahi tokea.
- Mapato ya nchi hayaongezeki kama alivyotegemea, ukizingatia kushuka kwa mapato ya bandari kwa hali ya juu kuwahi kutokea nchini, kupungua kwa mizigo, na kushuka kwa sekta ya Utalii ambayo ndo inaongoza kwa kuingiza fedha za kigeni (25%). Mpaka sasa sekta imeanguka kwa asilimia 5%
- Kuongezeka kwa matumizi yasiyokuwa ndani ya bajeti, (matumizi mkurupuko) kwa mfano kulazimisha serikali kuhamia Dodoma huku kukiwa hakuna hiyo bajeti. Rais kugawa fedha bila mpangilio wowote wala idhini ya bunge.
- Rais kutofuata mpango wa maendeleo wa miaka mitano uliowasilishwa na serikali yake bungeni. Wakati kilimo ikiwa bado ni sekta ya kipaumbele katika mpango huo, mpaka sasa hatujaona msisitizo wowote katika sekta husika ambayo ndo inaongoza kwa kuajiri nguvu kazi ya taifa , zaidi ya rais kusema wilaya itakayopatwa na njaa atamfukuza mkuu wa wilaya na mkurugenzi (hii inaongezaje tija ya kilimo kwa mkulima??)
- Rais kuingiza siasa katika shughuli muhimu za kitendaji, kwa mfano kuteua wakurugenzi wa wilaya na mikoa wasio weledi na makada wa ccm, wakati akitambua hawa ndo msingi wa usimamizi wa maendeleo na utaalamu katika maeneo yao, kwa
- Wahisani kujitoa katika mipango ya maendeleo, MCC ni mfano mzuri
- kufifia kwa demokrasia kwa wapinzani kuzuiliwa kufanya mikutano na shughuli za kisiasa. Ikumbukwe wapinzani wamekuwa whistle blower wazuri katika ufisadi na ubadhilifu huku skendo zote kubwa katika nchi hii kuwa ziliibuliwa na wapinzani. Kuwafunga midomo ni kuwapa mianya mafisadi kujenga syndicate mpya za kupiga pesa, lakini pia rais anayefanya kazi bila challenge huishia kujisahau na kuharibu
- Rais kuchukiwa na watumishi wa umma, ikumbukwe rais tangu aingie madarakani amekuwa akiwasema vibaya watumishi wa umma huku akiwashushia tuhuma collectively utafikiri wote ni mafisadi. Mpaka sasa preliminary observation inaonyesha rais magufuri ndo rais unpopular among public servants kuliko rais yoyote Tanzania
- Rais kukiri mbele ya wananchi kuwa angejua ugumu wa kazi hiyo asingegombea, hii inaonyesha hakujiandaa au ali underrate kiti hicho, hivyo mpaka sasa hajui namna ya kuji adjust
- washauli wa rais kugeuka washauliwa, hii utachanganua mwenyewe
- Mawaziri kuwa waoga kiasi cha kukurupuka katika kusapoti maamuzi na statement yoyote atakayosema bosi wao hata kama wanajua haifai kwa wakati husika
- Mwisho, Kutokuwa na sera ya kimataifa kama nchi,huku uhusiano wetu na nchi kubwa kiuchumi duniani ukianguka vibaya sana. hatujui mpaka sasa mlengo wetu kidiplomasia ni upi
Mm ni mtetezi was magu siku hizi ehhGreat thinkers nasubiri mwenye kuzipangua hoja alau kwa namba kama alivyopangilia mtoa hoja MM Mwanakijiji Okoa jahazi.
KUONGEA KINGEREZA SIO KIGEZO CHA KUFAULU MTIHANIIla kumbuka kunamsomi wa University of dar es salaam alipata hapo degree ya kwanza na ya pili ila hajui kuongea kingereza wakati masomo toka secondary school alkuwa aksoma kwa kingeleza. Je alifauluje? Na yeye yupo kati ya ao 61% au ni 39%.
Wewe ni walewale walio kwenye kundi la 61%. Utafauluje mitihani ambayo yote umefanya katika lugha ya kienglish ila huwezi ongea iyo english. This is only in Tz.KUONGEA KINGEREZA SIO KIGEZO CHA KUFAULU MTIHANI
KUONGEA NA KUANDIKA VITU TOFAUTI,KUNA MTU ANAKUA ANAONGEA VIZURI SANA MPE MTIHANI ANAFELI,NA MWINGINE KUONGEA HAWEZI UKIMPA MTIHANI ANAFAULU.YAANI KINGEREZA CHA KUANDIKA NI MZURI CHAKUONGEA MBAMBAISHAJIWewe ni walewale walio kwenye kundi la 61%. Utafauluje mitihani ambayo yote umefanya katika lugha ya kienglish ila huwezi ongea iyo english. This is only in Tz.
Naona kwako ww uchaguzi haujaisha!!!!wakati wananchi wakimshangilia Rais Magufuli kwa matamko yake yasiyoisha, wasomi wasiwasi umetujaa kwa sababu tunaona atafail vibaya ndani ya miaka mitano. Sababu ni zifuatazo
Hayo yoote ukiyajumlisha na kuangalia multiplier effect katika taifa hili na mwenendo wake ndani ya Miaka mitano, utakubaliana na mimi we are going to a hell of economic roller-coaster haijawahi tokea.
- Mapato ya nchi hayaongezeki kama alivyotegemea, ukizingatia kushuka kwa mapato ya bandari kwa hali ya juu kuwahi kutokea nchini, kupungua kwa mizigo, na kushuka kwa sekta ya Utalii ambayo ndo inaongoza kwa kuingiza fedha za kigeni (25%). Mpaka sasa sekta imeanguka kwa asilimia 5%
- Kuongezeka kwa matumizi yasiyokuwa ndani ya bajeti, (matumizi mkurupuko) kwa mfano kulazimisha serikali kuhamia Dodoma huku kukiwa hakuna hiyo bajeti. Rais kugawa fedha bila mpangilio wowote wala idhini ya bunge.
- Rais kutofuata mpango wa maendeleo wa miaka mitano uliowasilishwa na serikali yake bungeni. Wakati kilimo ikiwa bado ni sekta ya kipaumbele katika mpango huo, mpaka sasa hatujaona msisitizo wowote katika sekta husika ambayo ndo inaongoza kwa kuajiri nguvu kazi ya taifa , zaidi ya rais kusema wilaya itakayopatwa na njaa atamfukuza mkuu wa wilaya na mkurugenzi (hii inaongezaje tija ya kilimo kwa mkulima??)
- Rais kuingiza siasa katika shughuli muhimu za kitendaji, kwa mfano kuteua wakurugenzi wa wilaya na mikoa wasio weledi na makada wa ccm, wakati akitambua hawa ndo msingi wa usimamizi wa maendeleo na utaalamu katika maeneo yao, kwa
- Wahisani kujitoa katika mipango ya maendeleo, MCC ni mfano mzuri
- kufifia kwa demokrasia kwa wapinzani kuzuiliwa kufanya mikutano na shughuli za kisiasa. Ikumbukwe wapinzani wamekuwa whistle blower wazuri katika ufisadi na ubadhilifu huku skendo zote kubwa katika nchi hii kuwa ziliibuliwa na wapinzani. Kuwafunga midomo ni kuwapa mianya mafisadi kujenga syndicate mpya za kupiga pesa, lakini pia rais anayefanya kazi bila challenge huishia kujisahau na kuharibu
- Rais kuchukiwa na watumishi wa umma, ikumbukwe rais tangu aingie madarakani amekuwa akiwasema vibaya watumishi wa umma huku akiwashushia tuhuma collectively utafikiri wote ni mafisadi. Mpaka sasa preliminary observation inaonyesha rais magufuri ndo rais unpopular among public servants kuliko rais yoyote Tanzania
- Rais kukiri mbele ya wananchi kuwa angejua ugumu wa kazi hiyo asingegombea, hii inaonyesha hakujiandaa au ali underrate kiti hicho, hivyo mpaka sasa hajui namna ya kuji adjust
- washauli wa rais kugeuka washauliwa, hii utachanganua mwenyewe
- Mawaziri kuwa waoga kiasi cha kukurupuka katika kusapoti maamuzi na statement yoyote atakayosema bosi wao hata kama wanajua haifai kwa wakati husika
- Mwisho, Kutokuwa na sera ya kimataifa kama nchi,huku uhusiano wetu na nchi kubwa kiuchumi duniani ukianguka vibaya sana. hatujui mpaka sasa mlengo wetu kidiplomasia ni upi
Fisi ana mikono ......!!!?Aya endelea kusubiri mkono wa fisi uanguke
Sasa mbona umejijibu? 61% ya wahitimu wa vyuo wamefaulu ndyo ila uwezo hwana. Sasa unazani uwezo uliokuwa unaongelewa ni uwezo wa nini? Moja ya uwezo ni wakuweza kujieleza kwa lugha ya kingereza. Kumbuka pia kingereza ni official language ya Tz.KUONGEA NA KUANDIKA VITU TOFAUTI,KUNA MTU ANAKUA ANAONGEA VIZURI SANA MPE MTIHANI ANAFELI,NA MWINGINE KUONGEA HAWEZI UKIMPA MTIHANI ANAFAULU.YAANI KINGEREZA CHA KUANDIKA NI MZURI CHAKUONGEA MBAMBAISHAJI