Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Point no. 9 ina kosa la kiuandishi, hariri neno washauli liwe washauri.Hama nchi mkuu ndo sisi wasomi wa nchi yako.

Kwa hiyo wewe na utu uzima wako wooooote unaona wafanyakazi hewa kuwatoa ni useless?? Wewe una mahaba au umeshikiwa akili na kamanda wa anga?Wenye mahaba hawayajui hayo. Watakwambia uchumi utapaa kwa kuondoa wafanya kaz hewa
This is not academic analysis. It is full of guessing, bias and lack of evidence.wakati wananchi wakimshangilia Rais Magufuli kwa matamko yake yasiyoisha, wasomi wasiwasi umetujaa kwa sababu tunaona atafail vibaya ndani ya miaka mitano. Sababu ni zifuatazo
Hayo yoote ukiyajumlisha na kuangalia multiplier effect katika taifa hili na mwenendo wake ndani ya Miaka mitano, utakubaliana na mimi we are going to a hell of economic roller-coaster haijawahi tokea.
- Mapato ya nchi hayaongezeki kama alivyotegemea, ukizingatia kushuka kwa mapato ya bandari kwa hali ya juu kuwahi kutokea nchini, kupungua kwa mizigo, na kushuka kwa sekta ya Utalii ambayo ndo inaongoza kwa kuingiza fedha za kigeni (25%). Mpaka sasa sekta imeanguka kwa asilimia 5%
- Kuongezeka kwa matumizi yasiyokuwa ndani ya bajeti, (matumizi mkurupuko) kwa mfano kulazimisha serikali kuhamia Dodoma huku kukiwa hakuna hiyo bajeti. Rais kugawa fedha bila mpangilio wowote wala idhini ya bunge.
- Rais kutofuata mpango wa maendeleo wa miaka mitano uliowasilishwa na serikali yake bungeni. Wakati kilimo ikiwa bado ni sekta ya kipaumbele katika mpango huo, mpaka sasa hatujaona msisitizo wowote katika sekta husika ambayo ndo inaongoza kwa kuajiri nguvu kazi ya taifa , zaidi ya rais kusema wilaya itakayopatwa na njaa atamfukuza mkuu wa wilaya na mkurugenzi (hii inaongezaje tija ya kilimo kwa mkulima??)
- Rais kuingiza siasa katika shughuli muhimu za kitendaji, kwa mfano kuteua wakurugenzi wa wilaya na mikoa wasio weledi na makada wa ccm, wakati akitambua hawa ndo msingi wa usimamizi wa maendeleo na utaalamu katika maeneo yao, kwa
- Wahisani kujitoa katika mipango ya maendeleo, MCC ni mfano mzuri
- kufifia kwa demokrasia kwa wapinzani kuzuiliwa kufanya mikutano na shughuli za kisiasa. Ikumbukwe wapinzani wamekuwa whistle blower wazuri katika ufisadi na ubadhilifu huku skendo zote kubwa katika nchi hii kuwa ziliibuliwa na wapinzani. Kuwafunga midomo ni kuwapa mianya mafisadi kujenga syndicate mpya za kupiga pesa, lakini pia rais anayefanya kazi bila challenge huishia kujisahau na kuharibu
- Rais kuchukiwa na watumishi wa umma, ikumbukwe rais tangu aingie madarakani amekuwa akiwasema vibaya watumishi wa umma huku akiwashushia tuhuma collectively utafikiri wote ni mafisadi. Mpaka sasa preliminary observation inaonyesha rais magufuri ndo rais unpopular among public servants kuliko rais yoyote Tanzania
- Rais kukiri mbele ya wananchi kuwa angejua ugumu wa kazi hiyo asingegombea, hii inaonyesha hakujiandaa au ali underrate kiti hicho, hivyo mpaka sasa hajui namna ya kuji adjust
- washauli wa rais kugeuka washauliwa, hii utachanganua mwenyewe
- Mawaziri kuwa waoga kiasi cha kukurupuka katika kusapoti maamuzi na statement yoyote atakayosema bosi wao hata kama wanajua haifai kwa wakati husika
- Mwisho, Kutokuwa na sera ya kimataifa kama nchi,huku uhusiano wetu na nchi kubwa kiuchumi duniani ukianguka vibaya sana. hatujui mpaka sasa mlengo wetu kidiplomasia ni upi
Mkuu hiyo njia ndefu kuelekea SUKITA?We pia ni msomi eeee.....!!!! We have long way to go...kwa Wasomi hawa wasiona nini kinachofanyika ktk nchi yao iliyojaa rushwa na utendaji mbovu wa madaraka
Msomi hujibu hoja kisomiThis is not academic analysis. It is full of guessing, bias and lack of evidence.
Hapo nilichokoza mada. Nilifikiri atakayepinga angefanya hivyo kwa hoja ili nijibu kwa hoja. Sasa kwa hoja yako bado hujanishawishi nitoe hoja zangu. So my previous argument stands.Msomi hujibu hoja kisomi
......uki negate tu ukaishia hapo nawe unakua huna msaada.
Kama mwenye kupinga hupinga kwa hoja...ulipaswa uanze wewe kutoa hoja dhidi ya mleta mada..maana wewe umepinga tu mkuu.Hapo nilichokoza mada. Nilifikiri atakayepinga angefanya hivyo kwa hoja ili nijibu kwa hoja. Sasa kwa hoja yako bado hujanishawishi nitoe hoja zangu. So my previous argument stands.
wakati wananchi wakimshangilia Rais Magufuli kwa matamko yake yasiyoisha, wasomi wasiwasi umetujaa kwa sababu tunaona atafail vibaya ndani ya miaka mitano. Sababu ni zifuatazo
Hayo yoote ukiyajumlisha na kuangalia multiplier effect katika taifa hili na mwenendo wake ndani ya Miaka mitano, utakubaliana na mimi we are going to a hell of economic roller-coaster haijawahi tokea.
- Mapato ya nchi hayaongezeki kama alivyotegemea, ukizingatia kushuka kwa mapato ya bandari kwa hali ya juu kuwahi kutokea nchini, kupungua kwa mizigo, na kushuka kwa sekta ya Utalii ambayo ndo inaongoza kwa kuingiza fedha za kigeni (25%). Mpaka sasa sekta imeanguka kwa asilimia 5%
- Kuongezeka kwa matumizi yasiyokuwa ndani ya bajeti, (matumizi mkurupuko) kwa mfano kulazimisha serikali kuhamia Dodoma huku kukiwa hakuna hiyo bajeti. Rais kugawa fedha bila mpangilio wowote wala idhini ya bunge.
- Rais kutofuata mpango wa maendeleo wa miaka mitano uliowasilishwa na serikali yake bungeni. Wakati kilimo ikiwa bado ni sekta ya kipaumbele katika mpango huo, mpaka sasa hatujaona msisitizo wowote katika sekta husika ambayo ndo inaongoza kwa kuajiri nguvu kazi ya taifa , zaidi ya rais kusema wilaya itakayopatwa na njaa atamfukuza mkuu wa wilaya na mkurugenzi (hii inaongezaje tija ya kilimo kwa mkulima??)
- Rais kuingiza siasa katika shughuli muhimu za kitendaji, kwa mfano kuteua wakurugenzi wa wilaya na mikoa wasio weledi na makada wa ccm, wakati akitambua hawa ndo msingi wa usimamizi wa maendeleo na utaalamu katika maeneo yao, kwa
- Wahisani kujitoa katika mipango ya maendeleo, MCC ni mfano mzuri
- kufifia kwa demokrasia kwa wapinzani kuzuiliwa kufanya mikutano na shughuli za kisiasa. Ikumbukwe wapinzani wamekuwa whistle blower wazuri katika ufisadi na ubadhilifu huku skendo zote kubwa katika nchi hii kuwa ziliibuliwa na wapinzani. Kuwafunga midomo ni kuwapa mianya mafisadi kujenga syndicate mpya za kupiga pesa, lakini pia rais anayefanya kazi bila challenge huishia kujisahau na kuharibu
- Rais kuchukiwa na watumishi wa umma, ikumbukwe rais tangu aingie madarakani amekuwa akiwasema vibaya watumishi wa umma huku akiwashushia tuhuma collectively utafikiri wote ni mafisadi. Mpaka sasa preliminary observation inaonyesha rais magufuri ndo rais unpopular among public servants kuliko rais yoyote Tanzania
- Rais kukiri mbele ya wananchi kuwa angejua ugumu wa kazi hiyo asingegombea, hii inaonyesha hakujiandaa au ali underrate kiti hicho, hivyo mpaka sasa hajui namna ya kuji adjust
- washauli wa rais kugeuka washauliwa, hii utachanganua mwenyewe
- Mawaziri kuwa waoga kiasi cha kukurupuka katika kusapoti maamuzi na statement yoyote atakayosema bosi wao hata kama wanajua haifai kwa wakati husika
- Mwisho, Kutokuwa na sera ya kimataifa kama nchi,huku uhusiano wetu na nchi kubwa kiuchumi duniani ukianguka vibaya sana. hatujui mpaka sasa mlengo wetu kidiplomasia ni upi
Namba saba, umenena sijafanya tafiti lakini kwa watumishi wa Umma karibu wote ninaokutana nao na kupiga nao story wana kila dalili za wazi kwamba hawapendi jamaa anavyowachukulia, na kinachowakera zaidi ni chuki zake kwa mafisadi kuzielekeza kwa watumishi wote wa umma na mbaya zaidi ana ajiri wanasiasa katika nafasi za utendaji huku maadili ya kazi yakimkataza mtumishi wa umma kuingiza itikadi za kisiasa kazini. Hakuna kitu kibaya kama watu wanaokusaidia kazi kukuchukia, na sidhani kama ubabe unaweza kuleta tija maofisini. Hakuna statements zinazokera kama 'Nimesema fanya hivi usipofanya nakufukuza kazi'wakati wananchi wakimshangilia Rais Magufuli kwa matamko yake yasiyoisha, wasomi wasiwasi umetujaa kwa sababu tunaona atafail vibaya ndani ya miaka mitano. Sababu ni zifuatazo