Fact Checking: Rais Magufuli hukumteua Masilingi kuwa Balozi Marekani baada ya kumaliza Ubunge wa Muleba

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
7,948
2,000
Nikuweke sawa mtoa mada, mkuu wa nchi alisema amekuwa akimuongezea muda kuwa balozi kila mara muda wake unapoisha.

Sikiliza hiyo clip ya Magufuli hapo juu, anasema yeye ndo aimteya kuwa balozi baada ya kumaliza ubunge wake, kitu ambacho siyo kweli.

inaelekea unatamani kweli asingetupiga fiksi, lakini keshatupiga fiksi kali katika hilo na sisi wananchi hatutaki kudanganywadanganywa, tunataka facts
 
Luggy

JF-Expert Member
Aug 6, 2012
2,946
2,000
Mkuu Missile of the Nation, kwanza Asante kwa bandiko lako la facts checking na asante kutuwekea video clip ya Magufuli alichosema Muleba, Magufuli is very right.
Amesema Masilingi aliteuliwa balozi baada ya kumpisha jimbo Mama Tubaijuka, hata kama mwanzo aliteuliwa na JK, baada ya Serikali mpya kuingia madarakani, rais mpya anawateua upya mabalozi wote, ma RC wote na ma DC wote, hata kama mwanzo waliteuliwa na mtangulizi wake, re appointment amefanya yeye, hivyo he is right Magufuli amemteus Masilingi.

Moja ya sifa za ziada za Magufuli ni Mkweli Daima!.
Nawashauri Watanzania wen zangu, Wazalendo wa kweli wanaolitakia mema taifa hili, October 25 tusifanye malisa!.
P
Tarehe ya uchaguzi imebadilika?
 
afnhondya

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
646
1,000
Licha ya kumteua pia amekuwa akimuongezea muda wa kuendelea kuwa balozi huko USA. Nalo pia mtoa post unapingana nalo?

Ivi Magu adanganye kuhusu ubalozi wa Masilingi akiwa anatafuta nn?

Nimegundua haters wa JF walipenda sana JPM apate upinzani BUKOBA ktk kampeni zake cha ajabu Wazirankende wame show love ya kupitiliza kwa mgombea JPM. Watoto wakienda kampeni za Lissu wanakuwa maarufu lkn watoto haohao ktk kampeni kumlaki JPM Bukoba wanakuwa wanatumika. My friends opp politicians jiangalieni na hoja zenu kwetu. Kimsingi huwa mnakosa strong points to stand on. Inawaondolea credibility kwa jamii ya waelewa wa mambo na kuwaona nanyie ni walewale na tena hamna agenda zenye mashiko zaidi ya kuwa haters tu.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
9,588
2,000
Pascal ww n kilaza sana nimegndua Hilo unweza kuthbtisha magu n muwaz kwa kufcha Atcl kwny ofis yke manunuz ya ndge htujui hta bei 1.5T je usshau kagera altafuna ela japo jna wmemzomea iv nyie mnaosemga ameshushwa hua mnfkria kitumia nn mbn hua swaelew tangu aingie maish ymekua magumu(Kuna mjinga atasema fanya Kaz hta hao matajir wanalia Hali mbaya hkuna ambae hfnyi kazi) kwaio Pascal toka usngzin huyu n mwizi tu hna lolote
Kuandika hujui, maelezo yamechanganyana. Rudi memkwa kwanza.
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
10,439
2,000
Labda Rais akitoka madarakani na mabalozi nao wanatoka ubalozini, hiyo ni kulingana na uelewa finyu wa Meko kwenye eneo zima la Uraia na maadili.
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
7,948
2,000
Licha ya kumteua pia amekuwa akimuongezea muda wa kuendelea kuwa balozi huko USA. Nalo pia mtoa post unapingana nalo?

Ivi Magu adanganye kuhusu ubalozi wa Masilingi akiwa anatafuta nn?

Nimegundua haters wa JF walipenda sana JPM apate upinzani BUKOBA ktk kampeni zake cha ajabu Wazirankende wame show love ya kupitiliza kwa mgombea JPM. Watoto wakienda kampeni za Lissu wanakuwa maarufu lkn watoto haohao ktk kampeni kumlaki JPM Bukoba wanakuwa wanatumika. My friends opp politicians jiangalieni na hoja zenu kwetu. Kimsingi huwa mnakosa strong points to stand on. Inawaondolea credibility kwa jamii ya waelewa wa mambo na kuwaona nanyie ni walewale na tena hamna agenda zenye mashiko zaidi ya kuwa haters tu.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app

Magufuli hakumteua Masilingi ubalozi baada ya Ubunge wake, ni Kikwete ndiye aliyemteua Masilingi kuwa balozi huko Nertherands mwaka 2013 na baadae Marekani mwaka 2015 mwezi August wakati huo Magufuli akiwa ni waziri wa kawaida tu katika serikali ya Kikwete
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
10,439
2,000
Mkuu Missile of the Nation, kwanza Asante kwa bandiko lako la facts checking na asante kutuwekea video clip ya Magufuli alichosema Muleba, Magufuli is very right.
Amesema Masilingi aliteuliwa balozi baada ya kumpisha jimbo Mama Tubaijuka, hata kama mwanzo aliteuliwa na JK, baada ya Serikali mpya kuingia madarakani, rais mpya anawateua upya mabalozi wote, ma RC wote na ma DC wote, hata kama mwanzo waliteuliwa na mtangulizi wake, re appointment amefanya yeye, hivyo he is right Magufuli amemteus Masilingi.

Moja ya sifa za ziada za Magufuli ni Mkweli Daima!.
Nawashauri Watanzania wen zangu, Wazalendo wa kweli wanaolitakia mema taifa hili, October 25 tusifanye malisa!.
P
Oktoba 25 kuna nini mzee njaa ?
 
big-diamond

JF-Expert Member
May 23, 2009
408
500

Na pale anapoongea uwongo ni huwa anatutania tu au?

Alisema hajawai kwenda nje ya nchi, alafu akaja kusema alishazurula saana huko nje.

Akasema maendeleo hayana chama, baadae akasema tusipochagua madiwani na wabunge wa CCM hatoleta maendeleo kwenye upinzani.

Kaka yangu Paskali, usidhani nimesahau siku aliyokuita NJAA kwenye ule mkutano, nilikuwepo na nilisikia uchungu kwa kuwa uliuliza swali la msingi.

Paskali, ikatokea siku Paskali huyu wa leo akakutana na Paskali yule wa kipindi kile, watapigana sana kwa sababu mmoja atamwambia mwenzie AMEMSALITI.
 
afnhondya

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
646
1,000
Magufuli hakumteua Masilingi ubalozi baada ya Ubunge wake, ni Kikwete ndiye aliyemteua Masilingi kuwa balozi huko Nertherands mwaka 2013 na baadae Marekani mwaka 2015 mwezi August wakati huo Magufuli akiwa ni waziri wa kawaida tu katika serikali ya Kikwete
Saizi Masilingi yupo USA kwa approval ya nani? Sikiliza hyo clip vzr usikae kwenye sentesi moja. Afu usilazimishe Magufuli awe na matamshi/mpangilio wa maneno uupendao wewe. La msingi pata maana ya jumla ya Maelezo yake ndio ulete kwa jamii.

Kwa nn mnapenda kudonoa ka punje ka chuya kwenye gunia la mchele na kufanya ndio sifa ya mchele wote. Wewe huna tongue sleepary?.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom