Facebook nayo yaitimua Huawei kwenye huduma zake

Facebook nayo yaitimua Huawei kwenye huduma zake

Huyu jamaa itakuwa anatumia Huawei sasa anajipa moyoo hapaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ngoja asubiri aoneee...
Zikianza kuganda ganda na update mpaka masaa kadhaaa, mtaanza kuachana nazo Mdogo Mdogo. Kwa Hali ilivyo unafikiri izo simu za kichina zinapitia kipindi gani? Una laki 7 yako unaenda kununua Huawei ambayo haina update za Android Labda Kama ujielewi.
Ukimzingua Giant eagle USA [emoji1659] umezingua moja kwa moja
 
Mkuu uliza taratibu!! Play store yenyewe una download hakuna shidah unapata kila kitu!! Ila haitakuwa kwenye package wakati unauziwa simu!
Mzee PlayStore haidownlodiki hua inakuja by default preinstalled kwenye Android OS weweee!

Unaongea madudu gani?

Yaani Google ambae ni owner wa Android OS akupe OS bila their crucial PlayStore in it eti wasubirie wewe kwa utashi wako binafsi udownload?

Nonsense unaongea!
 
USA (+eagle [emoji1659]+) hawezi kukosea tena Kama alivyofanya kwy window operating system na Mac IOS. Na zenyewe zingekuwa Kama Google Android na IOS
 
Lazima tujiulize sababu ya hii ban ya simu za Huawei......
Kama hoja ni udukuzi nadhani hakuna asiyejua kuwa USA ndio wanaongoza kwa kudukua mawasiliano ya simu ulimwenguni kote kumbuka kashfa ya miaka miwili hivi ya rais wa Ufaransa, waziri mkuu wa ujerumani kuhusu CIA......

Kumbuka Snowden alivyowaumbua USA jinsi ambavyo wameweka mitambo yao katika kudukua mawasiliano ya simu dunia nzima....

Marekani na washirika wake wanajulikana duniani kote kwa sasa kuwa wao ni mabingwa wa propaganda chafu hasa kwa mtu au taifa linalotishia usalama wao iwe kiuchumi, kisiasa au kijamii.... Huungana pamoja na kuiaminisha dunia kwa hoja zao za uongo na dunia huamini kwa kuwa dunia hua inawaamini.

Hoja kwa sasa ni namna China wamedevelop 5G na wanaelekea kwenye 6G hivyo unapozungumzia hizo vumbuzi mbili maana yake tunakuzungumzia maBilioni ya vifaa vya electronic na makampuni mengi ya wamarekani yatashindwa kuendana na hiyo technolojia mpya, hiyo itakua inamaanisha ajira na makampuni mengi ya USA huenda yakafungwa kwa kuwa tu walikua hawajajiaandaa vya kutosha. Sasa wote hapo tunajua kama USA alikua hajajiandaa vyo kutosha maana yake China ambae ndie aliyekwisha kujiandaa vya kutosha atafanya mauzo makubwa na ya kutisha dunia nzima na hata marekani kwenyewe.

Kufuatia USA kuona hili la Wachina, ndio kaanza kutangaza ban, ban, ban kwa Wachina.........

Nawaambia wakuu hii ni vita vibaya sana vya kiuchumi, USA kishazoea kujiona yeye ndio yuko juu na asingependa kuja kupitwa kwenye uongozi huo hasa na wachina ambao wanakuja juu sana kiuchumi na kiteknolojia......

My take..... Tutakuja kuiona dunia ikigawanyika kwenye muktadha wa teknolojia kuna watakaotumia OS na bidhaa za kuchina na wale watakatumia OS na bidhaa za kimagharibi ni pia kwa mbaaaali kutakuwa na fursa mpya itakayoibuka ya software developers watakao tengeneza mifumo itakayoweza kufanya integration ya hizo platform OS mbili zitakazo kuwepo i.e China na Western OS .
 
Never ever underestimate the power of those Shenzhen boys. .....

Kilichofanywa na makampuni ya US kinaitwa ......self leg shooting

Muda haujawahi danganya.

Ukisoma ktkt ya mistari ya comments nyingi kwenye uzi huu utagundua % kubwa ya wachangiaji hawajui wanachokiongea au wanajadili ki-Team US &Team China. .....ukweli wanaacha katikati.

Dunia imebadilika kwa kasi ya ajabu sana stunning everyone. ...

These Shenzhen boys are the currently tech super power in the world, or the new Silicon valley , it doesn't matter how they reach that status. ....

US gvmt, Google, ARM, Facebook and likes wamekurupuka to the point of no return. ... maana hata waki -reverse ban , trust itakuwa imekwenda na maji.

# tuombe uzima na afya njema ili tuweze kushuhudia mwisho wa mtanange huu .

Stay tuned .....Jpili njema.
 
Unavyoongea as if wewe unajua tech sana kuliko hayo makampuni duh, mbongo bana,
Kwa hyo unasema hayo makampuni yamekurupuka, unataka waache then sheria Za nchi yao ziwafunge, wafirisike
 
Never ever underestimate the power of those Shenzhen boys. .....

Kilichofanywa na makampuni ya US kinaitwa ......self leg shooting

Muda haujawahi danganya.

Ukisoma ktkt ya mistari ya comments nyingi kwenye uzi huu utagundua % kubwa ya wachangiaji hawajui wanachokiongea au wanajadili ki-Team US &Team China. .....ukweli wanaacha katikati.

Dunia imebadilika kwa kasi ya ajabu sana stunning everyone. ...

These Shenzhen boys are the currently tech super power in the world, or the new Silicon valley , it doesn't matter how they reach that status. ....

US gvmt, Google, ARM, Facebook and likes wamekurupuka to the point of no return. ... maana hata waki -reverse ban , trust itakuwa imekwenda na maji.

# tuombe uzima na afya njema ili tuweze kushuhudia mwisho wa mtanange huu .

Stay tuned .....Jpili njema.
Wewe unaongea kama ni mmoja wa watu wanaoishi Shenzhen au California. Weewe angalia simu yako Kama una software yoyote ya Chinese alafu uongeee ayo. Sisi hatutaki Maswala ya kusadikika tunataka tuone kwa macho izo software zao. Marekani amefanikiwa kuzunguka na software zake dunia nzima kitu ambacho mchina bado ndio kaanza na iyo 5G. Ambayo tayari ishaingia doa tayari.
Wewe unafikiri ikitoka Android unaweza nunua simu, kwa iyo lazima unapoangalia angalia ktk muktadha wote wa technology na business
 
Hujui unachokiongea.

Unaendaje *playstore* wakati hiyo 'playstore' yenyewe ni Component ya Android OS ambayo haitakuwa supported na simu za Huawei?
Muache huyo haelewi kinachoendelea....yaani option ya preinstalled imepigwa ban ila unaruhusiwa kwenda download kwenye playstore ya google ambao ni wakwanza kuzuia huduma zao kwa Huawei. Huu mchezo kwa mwenye fikra tayari anajua Huawei chaliiiiiii kuleeeeee.
 
Kampuni ya Facebook, Marekani China, simu za Huawei,

Kampuni ya Facebook imeingia rasmi katika vita vya kiuchumi baina ya Marekani na China ikizuia huduma wezeshi (APP) zake kutumika katika simu za Huawei.

Zuio hilo linalenga huduma mama ya Facebook na nyingine kutoka kwa kampuni washirika ambazo ni WhatsApp na Instagram.

Hatua hiyo inafuatia uamuzi wa Marekani mwezi Mei kuzuia kampuni za Marekani kutumia huduma za Huawei kutoka China, ikieleza ni “sababu za kiusalama”.

Hata hivyo, watu ambao tayari wamenunua simu za Huawei na wanapata huduma husika wataendelea kuzitumia isipokuwa wale wapya.

Facebook imesema pia itaendelea kusambaza huduma za kuweka mambo mapya (updates) kwa wamiliki wa sasa wa simu za Huawei.

Kampuni ya Huawei haijatoa taarifa yoyote kuhusu uamuzi huo wa Facebook.

Uamuzi huo unawahusu wateja ambao tayari walikuwa wanatumia huduma hizo na si wale wanaotaka kupakua pale wanapotaka kuanza kutumia simu mpya za Huawei.
Wafunge tu kila kitu, Huawei for life hatupelekeshwi.. Sisi haoo
 
Mzee PlayStore haidownlodiki hua inakuja by default preinstalled kwenye Android OS weweee!

Unaongea madudu gani?

Yaani Google ambae ni owner wa Android OS akupe OS bila their crucial PlayStore in it eti wasubirie wewe kwa utashi wako binafsi udownload?

Nonsense unaongea!
Mkuu sijabahatisha ninacho kuambia jione huruma unapinga usicho kijuwa una juwa kweli ila uhalisia hujuwi mkuu pole nenda taratibu haihitaji lugha za maudhi!
Sio jambo la busara kwa afya ya ubungo wako kuandika usicho kuwa na uhakika nacho utajikuta una tengeneza tabia ya uwongo kuwa mfumo wa ubongo wako!!
Pia tusi jizoweshe kuandika mambo ki yanga na simba haita tusaidia kamwe!
 
Wewe ndo umeongea point na nimeelewa Fb na hao whatsapp kusema hawataziweka hizo app mpaka udownload na kwenye huawei kutakuwa hakuna Playstore na ukidownload apk from google sijui kama zitakubali kuinstall..!!

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Nice point

Back
Top Bottom