Facebook nayo yaitimua Huawei kwenye huduma zake

Jamaa anaelewa zaidi kuliko sisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani eti inakuja haina whatsapp udownload[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Yani bhasi waliotoa hilo tangazo watakuwa wapuuuzi
Soma hapo mkuu ni kweli alicho sema tusipinge kila jambo mkuu bila kuwa na uhakika!!!
Huawei phone owners will still be able to download and use apps like WhatsApp, Instagram, and Facebook’s main app itself, and they’ll continue to receive updates through the Play store. Huawei just won’t be able to include them out of the box, which it typically does alongside various other pre-loaded services like Twitter.

[/URL]
 
Bhasi hao Fb wanavuta bhangii... Nkajua wanawafanyia kama blackberry!!
 
Unapotosha. Katazo hili linasema apps za FB, Whatsapp na IG hazitakuwa zimeingizwa kwenye simu mpya za Huawei, lkn ukishanunua simu mpya ya Huawei unaweza kwenda Playstore uka download FB, Whatsapp na IG bila matatizo na zikafanya kazi. Kwahiyo, kama ukinunua simu mpya za Huawei unaweza ku download FB, Whatsapp na IG mwenyewe aka manual downloading.
Hujui unachokiongea.

Unaendaje *playstore* wakati hiyo 'playstore' yenyewe ni Component ya Android OS ambayo haitakuwa supported na simu za Huawei?
 
Huyu jamaa itakuwa anatumia Huawei sasa anajipa moyoo hapaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ngoja asubiri aoneee...
 
Bhasi hao Fb wanavuta bhangii... Nkajua wanawafanyia kama blackberry!!
Watu wengi huangalia simu kabla ya Ku nunua mkuu mtu ambaye hajuwi akiangalia hizo application kama hazipo Ana weza gairi!
Ila jamaa ni wajanja Sana wana juwa watakosa wateja wao wa china ndio maana wakaweka iyo option ya Ku download !!

Facebook is stopping Huawei from pre-installing its apps
 
Unapotosha. Katazo hili linasema apps za FB, Whatsapp na IG hazitakuwa zimeingizwa kwenye simu mpya za Huawei, lkn ukishanunua simu mpya ya Huawei unaweza kwenda Playstore uka download FB, Whatsapp na IG bila matatizo na zikafanya kazi. Kwahiyo, kama ukinunua simu mpya za Huawei unaweza ku download FB, Whatsapp na IG mwenyewe aka manual downloading.
kinge kigumu mkuu watu wanatafsiri mambo ilimradi tuu
 
We ndo hujaelewa sasa....unajua playstore ni mali ya google?...unajua kwamba google ndo wakwanza kutii agizo la serikali ya marekani kuvunja uhusiano na huawei?

Usinunue tena simu za huawei kama huna m'badala wa kufanya la sivyo hutatumia app yeyote inayopatikana google playstore.
Watakuja na App Store yao!
 
Kwani huawei trump wamemfanya nini jamani..simu zitadoda sokoni
Wenzenu wameshaanza na mrusi kutengeneza mambo ya kwao, ambayo yatakua ya kisasa zaidi na rahisi kuhusu gharama.

Michezo ya wakubwa waachieni wenyewe, mwisho wa siku watakubaliana wenyewe na kuyamaliza.

Tatizo la Trump naye ameingiza mambo mengi kwa wakati mmoja, itafika mahala mengine yatamshinda, mara Mexco, mara Iran, mara Huawei, mara Kiduku, mara Venezuela, mara Jerusalemu, huku africa ndo usiseme anacheza michezo mingi.

Mwisho wa siku mengine yatamshinda kama yalivyomshinda mwenzie Obama kwa yule wa Philipine LODILIGO DURTETE mpaka akamtukana kwamba ni mtoto wa kahaba.
 
Hahaaa endelea kuwapa moto.. Binadamu tumeumbwa kujipa moyo..
Swala sio kuwapa moyo acha kukurupuka..unaju asilimia 90 ya nguvu kazi za vifaa vya marekani vinatengenezwa wapi?...mchina yupo self sufficient nchi tu inawatu mabilion unadhan watashindwa nunua bidhaa zao...mmarekani anamwogopa huawei baada ya kuwa wa kwanza kuingiza 5g sokoni..ila kama ni swala la kudukua hamna nchi duniani isiyospy watu wake.....kama huamini soma kitu kinaitwa cambridge analytica nafacebook...kwanza litariation nmesoma china naurusi hawatatumia dollar kwenye biashara..unajua impact yake kwe uchumi???..marekani imebaki kua consumarism society enterprnuer and invention spirit ishapotea baada ya kuwabania wageni ..ma
 
Alicho andika ndivyo walivyo sema mkuu ukinuniwa simu mpya itabidi u download mwenyewe hazita kuwa sehemu ya application zinazo kuja na simu!!!

Naona na nyie nao ham make sense kabisa!

Utadownlodia wapi na hakuna Play Store?!

Na hiyo kufuta pre installation ndio ku comply na US ban kweli?

Zuck anafanya umama gani sasa huo?

Halafu ni true Huawei zilikua zinakuja zikiwa na WhatsApp,FB na Insta pre installed?

Maana sijawahi tumia huo uchafu wa Mchina!

Waliotumia Huawei watuambie maana nachojua Android ya Google sharti ni lazima upitie PlayStore kupakua hizo App zote...Bila hivyo PlayStore ilikua haina maana na Google kama OS owner asingeweza kukubali huo ufala!
 
Swala sio kuwapa moyo acha kukurupuka..unaju asilimia 90 ya nguvu kazi za vifaa vya marekani vinatengenezwa wapi?...mchina yupo self sufficient nchi tu inawatu mabilion unadhan watashindwa nunua bidhaa zao...mmarekani anamwogopa huawei baada ya kuwa wa kwanza kuingiza 5g sokoni..ila kama ni swala la kudukua hamna nchi duniani isiyospy watu wake.....kama huamini soma kitu kinaitwa cambridge analytica nafacebook...kwanza litariation nmesoma china naurusi hawatatumia dollar kwenye biashara..unajua impact yake kwe uchumi???..marekani imebaki kua consumarism society enterprnuer and invention spirit ishapotea baada ya kuwabania wageni ..ma

Hujui unachoongea wewe.. Mchina hana ubavu wa kupambana na Mmarekani.. Makampuni ya marekani ndo yanatoa ajira kwa wachina maskini wengi sana kuliko kampuni za China kwa wamarekani.. Akiadhibu hayo makampuni ni obvious wachina wenyewe wataumia.. Sio kwamba Mchina kamshika mmarekani lakini Mmarekani ndio kamshika.. Ishu ya 5G ni mtambuka sana na kama huna utaalamu wa Telecom huwezi elewa.. 5G ni mfumo wenye tecknolojia mtambuka yaani Modular components ambazo sio zote zimetengenezwa China.. Kuna patents kibao za kimarekani kwenye 5G tech kama ilivyo patents kibao kwenye Huawei, tecno na makampuni mengine uchwara ya kichina..
 
Hawajazuiwa ila update tu kwenye future smartphone
unafahamu nini maana ya play store na ni mali ya nani..???
inaitwa google play store ina app za android tu...
Huawei wamezuiliwa kutumia OS ya android sasa io playstore unayoongelea wewe sijui ni ipi
 
Well said
Swala sio kuwapa moyo acha kukurupuka..unaju asilimia 90 ya nguvu kazi za vifaa vya marekani vinatengenezwa wapi?...mchina yupo self sufficient nchi tu inawatu mabilion unadhan watashindwa nunua bidhaa zao...mmarekani anamwogopa huawei baada ya kuwa wa kwanza kuingiza 5g sokoni..ila kama ni swala la kudukua hamna nchi duniani isiyospy watu wake.....kama huamini soma kitu kinaitwa cambridge analytica nafacebook...kwanza litariation nmesoma china naurusi hawatatumia dollar kwenye biashara..unajua impact yake kwe uchumi???..marekani imebaki kua consumarism society enterprnuer and invention spirit ishapotea baada ya kuwabania wageni ..ma
 
Kama galaxy note 3

Back
Top Bottom