Roman Empire
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 619
- 1,425
Kwanza we chat sio user friendly, na aina chochote cha kuvutia kwa tulio nje ya China hapa kwetu tunaitumia kama WhatsApp tu kwa ajili ya chatn, voice na video call. Ila kwa China wanaitumia kwa ziada kama m pesa, tigo pesa kwa kufanyia manunuzi. Ubaya wake aina notification za last seen au delivered. Unaweza tuma lundo la message kumbe jamaa ajawasha data na aikujulisha alafu file lake ni kubwa Sana kwenye Simu yangu Kadri ninavyo update sasa hiv ni zaidi ya 1 gbWichat kijiunga mashariti km laki nane