Facebook nayo yaitimua Huawei kwenye huduma zake

Facebook nayo yaitimua Huawei kwenye huduma zake

Samahani,observe these:

kijuwa=kijua
hujuwi=hujui
haihitaji=aihitajiki
usicho kuwa=usichokua
tusi jizoweshe=tusijizoeshe


Naomba nikuombe urudi darasani usome Kiswahili sahihi,ni aibu kwa Mswahili kutokujua Kiswahili sahihi...Naweza kukuita tusi nilitakalo hapa,mpumbavu wewe!

Hujajibu kitu,umeendelea kuongea some stupid jargons excessively meaninglessly!

Nipe realible source link inayo-claim huo upumbavu unaousema hapa...

Wewe ni lunatic kusema eti Android inakuja ikiwa haina Playstore hivyo Playstore ni hiyari ya user kudownload separately...Huu ni uongo na pure nonsense unaongea!

Tupe link tusome wenyewe sio wewe unajifanya unajua pekee yako,again,fvck you,nenda kashitaki popote!
Shukran mkuu hongera Sana me mjinga wewe mwerevu!!
 
Play store nayo ni apps tu kama nyingine, ukiamua unaiweka tu.
Wambie mkuu na ukitaka unaiondoa bila shidah!!
me sijuwi kwa nini vijana wengi hawapendi kujifunza zaidi wana penda kubisha na kujiona wajanja kwa kudharau na kujiona wana juwa ingali hawajuwi!!
 
Sio kweli kama Mchina ana plan B angeondoka kimya kimya aje na hiyo OS yake na Witchat n.k. Yeye kwake ame ban facebook, skype, insta, whatstapp istumike china.. Ila anataka simu zake aweke vitu vyote hivyo lakini vitumiwe na nchi nyingine. Huawei ya China itakuwa haina fb. na whatsaap na insta.

Ni wazi soko lake analotegemea ni USA ndio ana kilio kils kukicha, Analia nini sas si aende kwao akatumie
hiyo Yuan na rouble aachane na dola.

Kama mkali aje na OS yake na FB na popular apps za kichina labda wabongo wapenzi wa huawei na Tecno watafurahi
Soma hapo mkuu!!
The Trump administration is looking to shut out the Chinese telecom company from selling its technology in the US, as well as banning American firms from selling products to the company. Now Google, which banned Huawei from updates of its ubiquitous Android operating system, is warning that the restriction could become a national security issue, according to the Financial Times (paywall). That’s because Huawei, the world’s No. 2 handset maker, will likely move quickly to develop its own parallel version of Android, which could have more software bugs and be more susceptible to hacking.
 
Unapotosha. Katazo hili linasema apps za FB, Whatsapp na IG hazitakuwa zimeingizwa kwenye simu mpya za Huawei, lkn ukishanunua simu mpya ya Huawei unaweza kwenda Playstore uka download FB, Whatsapp na IG bila matatizo na zikafanya kazi. Kwahiyo, kama ukinunua simu mpya za Huawei unaweza ku download FB, Whatsapp na IG mwenyewe aka manual downloading.

That's your assumption Ila siyo ukweli, China kuna simu kuingiza app za Google ni mziki hivyo Facebook nao wanavyozungumza hivyo wana maana app zao hazitaweza fanya kazi kwenye simu za Huawei kweli wala sio utani.

"NOT EVERYTHING IS AS SIMPLE AS IT SOUNDS"
 
Huwezi am telling you brother, Samsung ni kampuni ya kikorea yenye ma_director kibao wa kimarekani nadhani hawa na Apple ni wachocheaji moto wakubwa ili mchina asande kwenye hili game.

Ukitumia Samsung ni sawa na unatumia Apple, labda useme utaenda kwa TECNO 😝😝😝
[/QUOTE
Hata Huawei wapo wamarekani wachina, wahindi, wazungu nk.Sasa vita hii hii si ya raia bali serikali.Raia wapo huru kuchagua ni nani akuajili.
 
Kama iko hivyo, Trump anajisumbua

Trump anapigana vita ya siku nyingi mno dhidi ya China. Akiwa mjenzi wa majengo New York miaka ya 80 alikuwa analalamika kwa nini ananunua nondo China wakati chuma kipo Pennsylvania cha kumwaga, hapo pembeni yake tu. Akawa anajipa moyo, yana mwisho haya. Trump ni mzalendo wa kweli, in my book.

Ni sawa na kilio cha kina Zitto kuhusu chuma cha Liganga na Mchuchuma, why on earth are we importing steel for constructing the railroad? Hakuna anaeweza kumjibu. Yana mwisho.
 
anadhami wao mabwege hawajui kama kuna watu kama yeye wata download. Achana nae anayo tecno au Huawei huyo haamini anachoambiwa. Black berry simu ya kwanza kuuzwa million iko wapi
Me niliwahi tumia blackberry ndo maana hii kauli nimeielewa mapema mkuu..Yani hata ukidownload uinstall ngoma inagomaa kabisaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kama mtu huelewi hii kauli jaribu kutumia Simu ya blackberry...!! Alafu kuna watu wanasema unaweza install playstore wanasahau kuwa bila kuwa na Google service hiyo playstore yako haina kazii yani utakuwa umejaza simu tu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
But in 5G China began US will copy.
Tangantika you know nothing about this mambo.

Do you know who's the founder of 5G?
Do you know which company is creating 5G infrastructures?

Unafahamu stock ya 5G aliyonayo Huawei inaisha baada ya miezi sita na itabidi anunue tena?
Be serious men
 
Umeshawahi kuweka custom android os? Playstore inapatikana vizuri tu
Bro

Custom Android OS ndio ipi hasa?

Kama unamaanisha ile ya open source ambayo ni skeleton not loaded version,ni free kwa device zote.Ni skeleton na haina Google Services of any kind,acha kudanganya watu!

Kama unamaanisha loaded android os ni mali ya Google na ina google services inafanya kazi kwenye brand zote za simu kasoro Huawei..

Hivyo ukiwa na Huwei device mpya ukajifanya unadownload Playstore eti utumie huwezi tena...Acheni kudanganya watu humu wehu nyie!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] maneno ya chuki haya. Nasubili na zamu ya watumia T E C N O.
 
We ndo hujaelewa sasa....unajua playstore ni mali ya google?...unajua kwamba google ndo wakwanza kutii agizo la serikali ya marekani kuvunja uhusiano na huawei?

Usinunue tena simu za huawei kama huna m'badala wa kufanya la sivyo hutatumia app yeyote inayopatikana google playstore.
Ndo kusema hata tukidownload apk hazitaweza kufanya kazi?

Wazee wa kumodify Android tutaendelea kutumia apps za google kama kawa labda wazuie Android Os isitumike kwenye product za Huawei
 
Hiyo Google ban ni kwa matoleo au models mpya za Huawei. Simu za sasa za Huawei hazimo kwenye ban.
Nikweli lakini baada ya siku 90 mtu yeyote anayemiliki Huawei hataweza tena ku update/kudownload apk yoyote inayopatikana playstore.
 
Bro

Custom Android OS ndio ipi hasa?

Kama unamaanisha ile ya open source ambayo ni skeleton not loaded version,ni free kwa device zote.Ni skeleton na haina Google Services of any kind,acha kudanganya watu!

Kama unamaanisha loaded android os ni mali ya Google na ina google services inafanya kazi kwenye brand zote za simu kasoro Huawei..

Hivyo ukiwa na Huwei device mpya ukajifanya unadownload Playstore eti utumie huwezi tena...Acheni kudanganya watu humu wehu nyie!
Mkuu kama watu tunainterop na kuinstall android apps kwenye Windows Phone sidhani kama tutashindwa kutumia google apps kwenye android

Pia kuhusu apps za google wala isikuumize kichwa maana kwenye simu yangu nimeifuta kabisa hiyo playstore nainstall apk tu
 
Back
Top Bottom