Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,506
- 5,742
Mkuu hebu usituingize kwenye hii vita sisi hatuhusiki ,hii ni vita ya Huawei na USA siyo tecnoWale wa tecno tunawachora tu
Mkuu hebu usituingize kwenye hii vita sisi hatuhusiki ,hii ni vita ya Huawei na USA siyo tecnoWale wa tecno tunawachora tu
kwamba kabla ya hapo ilikuwa unaikuta tu au sijakuelewa ?Unapotosha. Katazo hili linasema apps za FB, Whatsapp na IG hazitakuwa zimeingizwa kwenye simu mpya za Huawei, lkn ukishanunua simu mpya ya Huawei unaweza kwenda Playstore uka download FB, Whatsapp na IG bila matatizo na zikafanya kazi. Kwahiyo, kama ukinunua simu mpya za Huawei unaweza ku download FB, Whatsapp na IG mwenyewe aka manual downloading.
Mkuu uliza taratibu!! Play store yenyewe una download hakuna shidah unapata kila kitu!! Ila haitakuwa kwenye package wakati unauziwa simu!Naona na nyie nao ham make sense kabisa!
Utadownlodia wapi na hakuna Play Store?!
Na hiyo kufuta pre installation ndio ku comply na US ban kweli?
Zuck anafanya umama gani sasa huo?
Halafu ni true Huawei zilikua zinakuja zikiwa na WhatsApp,FB na Insta pre installed?
Maana sijawahi tumia huo uchafu wa Mchina!
Waliotumia Huawei watuambie maana nachojua Android ya Google sharti ni lazima upitie PlayStore kupakua hizo App zote...Bila hivyo PlayStore ilikua haina maana na Google kama OS owner asingeweza kukubali huo ufala!
Pole yao watumia Huawei
Unapotosha. Katazo hili linasema apps za FB, Whatsapp na IG hazitakuwa zimeingizwa kwenye simu mpya za Huawei, lkn ukishanunua simu mpya ya Huawei unaweza kwenda Playstore uka download FB, Whatsapp na IG bila matatizo na zikafanya kazi. Kwahiyo, kama ukinunua simu mpya za Huawei unaweza ku download FB, Whatsapp na IG mwenyewe aka manual downloading.
China inatishia kushika dunia marekani anataka kuidhoofisha kiu chumi kwa nguvu. Wachina plan yao in 2030 kuipita marekani sasa inabidi USA waanze kuidhibiti mapema lakini sijui kama watafanikiwaKwani huawei trump wamemfanya nini jamani..simu zitadoda sokoni
Marekani aache ufala..mimi nafikiri kuachana na hizi product zao nitaaza kununua sumsung na Huawei wakisha stable. Mana jamaa wanajiona wao ndo wao.
Acha kutumia na mzigo wa biligate[emoji28]
Hivi wachina si wameiwekea ngumu facebook kwao china ? Sasa waionje tamu ya kuwa superpower
Simu za Huawei zilizo sokoni kwa sasa haziguswi na ban ya Google services kama Playstore. Hiyo Google ban ni kwa models mpya za simu za Huawei ambazo watakuja nazo in the future.
Namuelimisha huyo kijana anayesema anataka kususia technology ya USAMzigo upi mkuu[emoji41][emoji113] MS windows, MS excel, na applications kibao zinatupa mkate wa kila siku? Tukale wapi? Hapa nina mzigo wa free softwares za US zaidi ya 45 na kwa siku naingiza hadi tzs 60,000. Yaani tzs 60,000/per dayx300days/per yearx10years= 1,800,000,000 ( Aprrox TZS 2 billion in 1 decade).
Alicho andika ndivyo walivyo sema mkuu ukinuniwa simu mpya itabidi u download mwenyewe hazita kuwa sehemu ya application zinazo kuja na simu!!!
Namuelimisha huyo kijana anayesema anataka kususia technology ya USA
Nimemuhurumia tu
Kama wazungu wa ulaya wenyewe wanacheza mziki wa USA sisi ni kina nani
Everything is absolutely possible. Ni Africa pekee ndo tunajua hatuwezi kufanya lolote. I have been to china several times and im a guy who s always curious abt science and technology. Don't underestimate the fuc**ing chinese they are real good henceforth justify the reason why USA hates them.
Mbaya zaidi uvumbuzi mwingi kama sio wote ulianzia ulaya. Waanzilishi wa uvumbuzi mwingi Duniani, watu wa ulaya wanacheza muziki wa USA, sasa ije watu wa copy and paste?Namuelimisha huyo kijana anayesema anataka kususia technology ya USA
Nimemuhurumia tu
Kama wazungu wa ulaya wenyewe wanacheza mziki wa USA sisi ni kina nani
Hiyo Google ban ni kwa matoleo au models mpya za Huawei. Simu za sasa za Huawei hazimo kwenye ban.
Kama iko hivyo, Trump anajisumbuaUnapotosha. Katazo hili linasema apps za FB, Whatsapp na IG hazitakuwa zimeingizwa kwenye simu mpya za Huawei, lkn ukishanunua simu mpya ya Huawei unaweza kwenda Playstore uka download FB, Whatsapp na IG bila matatizo na zikafanya kazi. Kwahiyo, kama ukinunua simu mpya za Huawei unaweza ku download FB, Whatsapp na IG mwenyewe aka manual downloading.
Unapotosha....lkn ukishanunua simu mpya ya Huawei unaweza kwenda Playstore uka download FB, Whatsapp na IG bila matatizo
Tatizo la wachina kutaka kupambana na Giant eagle [USA][ [emoji1659]] hawataweza hata kidogoKwani huawei trump wamemfanya nini jamani..simu zitadoda sokoni
Kuna siki nilisema apa mtakuja kumlaumu USA. Yeye ana soko la watu wenye pesa na sio soko la wachina masikini. Mchainisi anatumia $10,000 kwa mwaka na Mmarekani anatumia $45,000 kwa mwaka. Hawa jamaa wapo vizuri sana sio wa kujitapa unapambana na Giant eagle [emoji1659]. Huwezi pambana na eagle eagle [emoji1659] ukategemea kushindaMarekani aache ufala..mimi nafikiri kuachana na hizi product zao nitaaza kununua sumsung na Huawei wakisha stable. Mana jamaa wanajiona wao ndo wao.