Facebook nayo yaitimua Huawei kwenye huduma zake

Facebook nayo yaitimua Huawei kwenye huduma zake

Unapotosha. Katazo hili linasema apps za FB, Whatsapp na IG hazitakuwa zimeingizwa kwenye simu mpya za Huawei, lkn ukishanunua simu mpya ya Huawei unaweza kwenda Playstore uka download FB, Whatsapp na IG bila matatizo na zikafanya kazi. Kwahiyo, kama ukinunua simu mpya za Huawei unaweza ku download FB, Whatsapp na IG mwenyewe aka manual downloading.
unafahamu nini maana ya play store na ni mali ya nani..???
inaitwa google play store ina app za android tu...
Huawei wamezuiliwa kutumia OS ya android sasa io playstore unayoongelea wewe sijui ni ipi
 
Marekani aache ufala..mimi nafikiri kuachana na hizi product zao nitaaza kununua sumsung na Huawei wakisha stable. Mana jamaa wanajiona wao ndo wao.
Huwezi am telling you brother, Samsung ni kampuni ya kikorea yenye ma_director kibao wa kimarekani nadhani hawa na Apple ni wachocheaji moto wakubwa ili mchina asande kwenye hili game.

Ukitumia Samsung ni sawa na unatumia Apple, labda useme utaenda kwa TECNO 😝😝😝
 
We ndo hujaelewa sasa....unajua playstore ni mali ya google?...unajua kwamba google ndo wakwanza kutii agizo la serikali ya marekani kuvunja uhusiano na huawei?

Usinunue tena simu za huawei kama huna m'badala wa kufanya la sivyo hutatumia app yeyote inayopatikana google playstore.
Jamaa anaelewa zaidi kuliko sisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani eti inakuja haina whatsapp udownload[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Yani bhasi waliotoa hilo tangazo watakuwa wapuuuzi
 
Technology sio km kutengeneza bidhaa feki
Everything is absolutely possible. Ni Africa pekee ndo tunajua hatuwezi kufanya lolote. I have been to china several times and im a guy who s always curious abt science and technology. Don't underestimate the fuc**ing chinese they are real good henceforth justify the reason why USA hates them.
 
We ndo hujaelewa sasa....unajua playstore ni mali ya google?...unajua kwamba google ndo wakwanza kutii agizo la serikali ya marekani kuvunja uhusiano na huawei?

Usinunue tena simu za huawei kama huna m'badala wa kufanya la sivyo hutatumia app yeyote inayopatikana google playstore.
Mr. smart-ass, hoja inapingwa kwa ushahidi siyo ya blah blah. Hata binti yangu wa miaka 5 anajua playstore is a google app/service.
 
Everything is absolutely possible. Ni Africa pekee ndo tunajua hatuwezi kufanya lolote. I have been to china several times and im a guy who s always curious abt science and technology. Don't underestimate the fuc**ing chinese they are real good henceforth justify the reason why USA hates them.
They have my respect but they damn fac* in the bussness
Always USA begin and China copy and paste

They have to stand on their own
 
Mr. smart-ass, hoja inapingwa kwa ushahidi siyo ya blah blah. Hata binti yangu wa miaka 5 anajua playstore is a google app/service.
Sasa ushahidi gani unaoutaka mana umekimbilia matusi bila kutafakari.
 
Simu za Huawei zilizo sokoni kwa sasa haziguswi na ban ya Google services kama Playstore. Hiyo Google ban ni kwa models mpya za simu za Huawei ambazo watakuja nazo in the future.
Nilivyosoma ni devices zilizo sokoni na sio models.
 
Back
Top Bottom