Facebook nayo yaitimua Huawei kwenye huduma zake

Facebook nayo yaitimua Huawei kwenye huduma zake

Mkuu sijabahatisha ninacho kuambia jione huruma unapinga usicho kijuwa una juwa kweli ila uhalisia hujuwi mkuu pole nenda taratibu haihitaji lugha za maudhi!
Sio jambo la busara kwa afya ya ubungo wako kuandikc na uhakika nacho utajikuta una tengeneza tabia ya uwongo kuwa mfumo wa ubongo wako!!
Pia tusi jizoweshe kuandika mambo ki yanga na simba haita tusaidia kamwe!
Samahani,observe these:

kijuwa=kijua
hujuwi=hujui
haihitaji=aihitajiki
usicho kuwa=usichokua
tusi jizoweshe=tusijizoeshe


Naomba nikuombe urudi darasani usome Kiswahili sahihi,ni aibu kwa Mswahili kutokujua Kiswahili sahihi...Naweza kukuita tusi nilitakalo hapa,mpumbavu wewe!

Hujajibu kitu,umeendelea kuongea some stupid jargons excessively meaninglessly!

Nipe realible source link inayo-claim huo upumbavu unaousema hapa...

Wewe ni lunatic kusema eti Android inakuja ikiwa haina Playstore hivyo Playstore ni hiyari ya user kudownload separately...Huu ni uongo na pure nonsense unaongea!

Tupe link tusome wenyewe sio wewe unajifanya unajua pekee yako,again,fvck you,nenda kashitaki popote!
 
M mtandao wangu n wechat mifacebook sijui na miwhatsap sinaga kaz nayo wakajambe mbele
 
unafahamu nini maana ya play store na ni mali ya nani..???
inaitwa google play store ina app za android tu...
Huawei wamezuiliwa kutumia OS ya android sasa io playstore unayoongelea wewe sijui ni ipi
Ushaambiwa ni kwa simu mpya sio hizi zilizotoka kabla ya Huawei kupigwa ban au lugha ni tatizo kuelewa?
 
4.5 times, Ching Chung hamwezi Trump, team Trump nipeni likes!
Kuna siki nilisema apa mtakuja kumlaumu USA. Yeye ana soko la watu wenye pesa na sio soko la wachina masikini. Mchainisi anatumia $10,000 kwa mwaka na Mmarekani anatumia $45,000 kwa mwaka. Hawa jamaa wapo vizuri sana sio wa kujitapa unapambana na Giant eagle [emoji1659]. Huwezi pambana na eagle eagle [emoji1659] ukategemea kushinda
 
Hahaa, Mchina alimzabua facebook miaka kadhaa iliopita na kumzuia asifanye kazi China. Sasa ngoja tuome mziki wake, I bet market share ya Huwei itageuza nose diving kama ndege za Max 8.
Zikianza kuganda ganda na update mpaka masaa kadhaaa, mtaanza kuachana nazo Mdogo Mdogo. Kwa Hali ilivyo unafikiri izo simu za kichina zinapitia kipindi gani? Una laki 7 yako unaenda kununua Huawei ambayo haina update za Android Labda Kama ujielewi.
Ukimzingua Giant eagle USA [emoji1659] umezingua moja kwa moja
 
Walokosea nini mkuu?
USA (+eagle [emoji1659]+) hawezi kukosea tena Kama alivyofanya kwy window operating system na Mac IOS. Na zenyewe zingekuwa Kama Google Android na IOS
 
Danganya toto, Shenzhen asingekubali kuwalipa US based companies wampe access ya Android OS, microchip, playstore, facebook, instagram, skype, nk.
Never ever underestimate the power of those Shenzhen boys. .....



Kilichofanywa na makampuni ya US kinaitwa ......self leg shooting

Muda haujawahi danganya.

Ukisoma ktkt ya mistari ya comments nyingi kwenye uzi huu utagundua % kubwa ya wachangiaji hawajui wanachokiongea au wanajadili ki-Team US &Team China. .....ukweli wanaacha katikati.

Dunia imebadilika kwa kasi ya ajabu sana stunning everyone. ...

These Shenzhen boys are the currently tech super power in the world, or the new Silicon valley , it doesn't matter how they reach that status. ....

US gvmt, Google, ARM, Facebook and likes wamekurupuka to the point of no return. ... maana hata waki -reverse ban , trust itakuwa imekwenda na maji.


# tuombe uzima na afya njema ili tuweze kushuhudia mwisho wa mtanange huu .

Stay tuned .....Jpili njema.
 
Marekani aache ufala..mimi nafikiri kuachana na hizi product zao nitaaza kununua sumsung na Huawei wakisha stable. Mana jamaa wanajiona wao ndo wao.
Ni kweli kabisa hawa jamaa wameona china anakuja juu kwenye technology wakaona apple itakosa soko kwa 7bu ya huawei wakaianzishia figisu
 
Samahani,observe these:

kijuwa=kijua
hujuwi=hujui
haihitaji=aihitajiki
usicho kuwa=usichokua
tusi jizoweshe=tusijizoeshe


Naomba nikuombe urudi darasani usome Kiswahili sahihi,ni aibu kwa Mswahili kutokujua Kiswahili sahihi...Naweza kukuita tusi nilitakalo hapa,mpumbavu wewe!

Hujajibu kitu,umeendelea kuongea some stupid jargons excessively meaninglessly!

Nipe realible source link inayo-claim huo upumbavu unaousema hapa...

Wewe ni lunatic kusema eti Android inakuja ikiwa haina Playstore hivyo Playstore ni hiyari ya user kudownload separately...Huu ni uongo na pure nonsense unaongea!

Tupe link tusome wenyewe sio wewe unajifanya unajua pekee yako,again,fvck you,nenda kashitaki popote!
Mbona km umepanic. . . .. + unaandika kwa jazba sana , take it easy madam ,
 
Jamaa anaelewa zaidi kuliko sisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani eti inakuja haina whatsapp udownload[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Yani bhasi waliotoa hilo tangazo watakuwa wapuuuzi
anadhami wao mabwege hawajui kama kuna watu kama yeye wata download. Achana nae anayo tecno au Huawei huyo haamini anachoambiwa. Black berry simu ya kwanza kuuzwa million iko wapi
 
Sio kweli kama Mchina ana plan B angeondoka kimya kimya aje na hiyo OS yake na Witchat n.k. Yeye kwake ame ban facebook, skype, insta, whatstapp istumike china.. Ila anataka simu zake aweke vitu vyote hivyo lakini vitumiwe na nchi nyingine. Huawei ya China itakuwa haina fb. na whatsaap na insta.

Ni wazi soko lake analotegemea ni USA ndio ana kilio kils kukicha, Analia nini sas si aende kwao akatumie
hiyo Yuan na rouble aachane na dola.

Kama mkali aje na OS yake na FB na popular apps za kichina labda wabongo wapenzi wa huawei na Tecno watafurahi
 
Play store nayo ni apps tu kama nyingine, ukiamua unaiweka tu.
We ndo hujaelewa sasa....unajua playstore ni mali ya google?...unajua kwamba google ndo wakwanza kutii agizo la serikali ya marekani kuvunja uhusiano na huawei?

Usinunue tena simu za huawei kama huna m'badala wa kufanya la sivyo hutatumia app yeyote inayopatikana google playstore.
 
Mzee PlayStore haidownlodiki hua inakuja by default preinstalled kwenye Android OS weweee!

Unaongea madudu gani?

Yaani Google ambae ni owner wa Android OS akupe OS bila their crucial PlayStore in it eti wasubirie wewe kwa utashi wako binafsi udownload?

Nonsense unaongea!
Umeshawahi kuweka custom android os? Playstore inapatikana vizuri tu
 
Back
Top Bottom