Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Acha kuanza utapeli na hizo demo account zenu za makampuni ya kirusi.1x bet warusi hawa nachezea nikiwa nje lakini
Nakupa challenge moja, Kama kweli ulikua ukibet hivyo kama ulivyoweka, onyesha hapa account management ambayo huonyesha transactions zote deposit na withdrawals. Nina uhakika asilimia 100 hutaweza kufanya hiki nilichokuambia