Experience yangu kuhusu betting (Ukamaria)

Experience yangu kuhusu betting (Ukamaria)

Jichanganye
Ingekuwa wanaocheza betting ndiyo wanufaika basi kusingekuwa na betting kwa sababu wasingekuwa na fedha za kulipa washindi. Betting ni mchezo ambao wacheza kamari wengi wanakubaliana kumkabidhi mtu mmoja kiwango fulani cha fedha, kwa makubaliano kwamba achukuwe ada ya kuendesha mchezo + faida, na zilizobaki awape wacahche wanaoshinda huo mchezo. Na kama hakuna mshindi basi imekula kwenu. Kazi yako mcheza kamari ni kuhakikisha unakuwa miongoni mwa wale washindi wachache
 
Acha kuanza utapeli na hizo demo account zenu za makampuni ya kirusi.

Nakupa challenge moja, Kama kweli ulikua ukibet hivyo kama ulivyoweka, onyesha hapa account management ambayo huonyesha transactions zote deposit na withdrawals. Nina uhakika asilimia 100 hutaweza kufanya hiki nilichokuambia
sijakuelewa..unadhani niko tanzania mzee..
 
Acha kuanza utapeli na hizo demo account zenu za makampuni ya kirusi.

Nakupa challenge moja, Kama kweli ulikua ukibet hivyo kama ulivyoweka, onyesha hapa account management ambayo huonyesha transactions zote deposit na withdrawals. Nina uhakika asilimia 100 hutaweza kufanya hiki nilichokuambia
Unamaanisha hizi au...anyway najua umepagawa na hizo hela unaona kubwa hizo sio tsh. ni IDR..INDONESIA RUPIAH UKIONA MILLION MOJA UJUE NI KAMA LAKI NA NUSU TU KWA TSH...by the way nipo Indonesia mkuu sipo bongo
BEZO JR
dosho12
Martrix_32
 
Attachments

  • Screenshot_20260523-145816_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-145816_1xBet-indo.jpg
    288.5 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260523-145813_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-145813_1xBet-indo.jpg
    230.4 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260523-145823_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-145823_1xBet-indo.jpg
    314 KB · Views: 13
  • Screenshot_20260523-145820_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-145820_1xBet-indo.jpg
    296.4 KB · Views: 13
  • Screenshot_20260523-145826_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-145826_1xBet-indo.jpg
    314.2 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260523-150320_Samsung Experience Home.jpg
    Screenshot_20260523-150320_Samsung Experience Home.jpg
    255.1 KB · Views: 15
Bet siyo kwa ajili yavichwa panzi...bet akili ...akili inatakia kutawala bet siyo bet kutawala akili...unakuta adriz una Chale hadi matakoni ila unavimba hapa jf kupiga kelele kuwa bet ni haramu 😁😁😁
 
Niliwai kuweka elfu 5 nikala 135,000 naachachaje kubet, muhindi naenda naye vizuri sana nahakikisha Mimi ndio nafaidika sio yeye.
Nikipoteza30 ntahakikisha nakula 70
 
Unamaanisha hizi au...anyway najua umepagawa na hizo hela unaona kubwa hizo sio tsh. ni IDR..INDONESIA RUPIAH UKIONA MILLION MOJA UJUE NI KAMA LAKI NA NUSU TU KWA TSH...by the way nipo Indonesia mkuu sipo bongo
BEZO JR
dosho12
Martrix_32
Kwa hii acc management (deposits na withdrawals) hapo sina swali, it's real account.
Nilijua ni kama wale wanaotumia demo account
 
Unamaanisha hizi au...anyway najua umepagawa na hizo hela unaona kubwa hizo sio tsh. ni IDR..INDONESIA RUPIAH UKIONA MILLION MOJA UJUE NI KAMA LAKI NA NUSU TU KWA TSH...by the way nipo Indonesia mkuu sipo bongo
BEZO JR
dosho12
Martrix_32
Kumbe iko hivyo mkuu,mimi pia nlijua ni Tsh.. ni App gani hiyo?
 
Kile ambacho hamkijui wengi Kwa Sasa ila mtakuja kushtuka baadae ni KUWA MECHI ZINAPANGWA MATOKEO BILA NYINYI KUJUA,Kuna jamaa yangu alikuwa anataka kuweka stake ya milioni 2 kwenye mechi ya BURNLEY na MAN CITY na alitaka kumpa city mazima ila nimshauri aache huo ujinga na kweli alikuja kunishukuru baadae maana hela yake ingeenda huku anaona.Dunia ya kibepari Kila kitu kinawezekana,kama mataifa makubwa yanaanzisha vita ili watu wauane na wao wauze silaha Sasa kipi kinashindikana kupanga matokeo kwenye betting!!!?? Kinachofanyika ni kabla ya mechi wajinga/mambugila wanatupia stake za maana ili odds zisipungue na wazee wa mifumo wanaona mzigo uliopo,kinachofuata ni kuongea na MAN CITY apoteze mechi na wamlipe pesa ambayo hata bingwa wa ligi haipati,Sasa nyinyi mlioweka stake high Kwa tamaa mtalia kikwenu.SHTUKA,DUNIA YA KIBEPARI HAINA HURUMA KWENYE SUALA LA PESA na kwenye michezo huko ndio kumeoza
 
Unamaanisha hizi au...anyway najua umepagawa na hizo hela unaona kubwa hizo sio tsh. ni IDR..INDONESIA RUPIAH UKIONA MILLION MOJA UJUE NI KAMA LAKI NA NUSU TU KWA TSH...by the way nipo Indonesia mkuu sipo bongo
BEZO JR
dosho12
Martrix_32
Mkuu unadeposit Sana kuliko withdraw. Au Ni upepo mbaya ulikupitia kama kawaida Yetu wakamaria.
 
Kuna mtu nafahamiana nae, analia kuwa kashinda 700k na hao Betting wamefuta acc yake, mara wanadai Sijui NIDA na nini hukoo.
Analalama hatariiii, Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kampuni gani..?
 
Back
Top Bottom