Experience yangu kuhusu betting (Ukamaria)

Experience yangu kuhusu betting (Ukamaria)

The House Always Win
Spot on.

Kuanzisha biashara ya bahati nasibu, inabidi uwe na $300k kwa mzawa na $500k kwa mgeni.

Yaani mtu awekeze hicho kiasi ili akalishe watu bure? Hiyo haipo!

Watu wanafikiri wanaweza kushindana na algorithm zilizoshiba. Kubet ni kama kwenda kwa Mwamposa tu.

Yote kwa yote bashiri unachoweza kupoteza tu.
 
Hey people,

Kimsingi nilianza kubet mwaka 2017,baada ya kuachana na aliyekuwa mwanaume wangu wa kwanza wakati huo kubet ilikuwa kama mbadala wa kuingia kwenye mahusiano mengine, kwasababu sikutaka kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine
Niliona nifocus na shule na mpira

Ninavyoona moja ya “biashara/uwekezaji” iliyokuja kwa kasi kubwa ni kubashiri, kama mnavyoona makampuni mapya kila siku yanaanzishwa

Maswali muhimu ya kujiuliza
Je, mnufaika namba moja ni mkamaria?
Kamari imewekwa ili kumpunguzia au kumuongezea nini mkamaria?

Kwa haraka haraka, experience yangu ya kubet kuanzia 2017 hadi around 2023 ilikuwa nzuri, kwa sababu nilikuwa “namtandika Muindi” kwa kadiri nilivyoweza

Lakini kadri muda ulivyokwenda, nikagundua ni kweli nashinda sana lakini je nashinda katika namna ya faida ama "faida feki"? Wakamaria ni watu wenye imani ya ''ipo siku muindi atakaa'' huku ukiendelea kupoteza bila kujua umepoteza pakubwa kiasi gani

Ukweli ni kwamba kampuni nyingi za betting zimejengwa kubaki kwenye faida tu kama zilivyo biashara zingine
Ukiweza kuacha kubet ni better!

Enwei, kesho games za kutosha wazee
IMG_3773.jpeg

🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
 
Waumini wake wasikusikie 😂
 
Mhindi ana kanuni moja tuu ya karne nyingi ya biashara "Pata faida ndogo kutoka kwa watu wengi, wanaonunua kwa muda mfupi".
Kupitia kanuni hiyo, ndipo alipopata wazo la "Sports betting". 😊
Mechi moja au mbili, anaweka "Odds" ya kuwavutia 😋. Watu milioni tatu wanaweka pesa ndogo ila kwa wingi sana.
Mhindi anakaa na pesa zenu zile kwenye system yake. Mechi inaisha wanashinda watu elfu moja. Anawalipa hela zile zile mlizoweka. Wale waliokosa ambao ni asilimia 95% anabaki na jero jero zao kama faida. 😁
 
Sijawahi kuvutiwa na betting na sitawahi fanya hiyo issue

Hata kipindi tatu mzuka imeshamili sijawahi kuvutiwa kabisa

Nina mdogo wangu amewahi kushinda 500k siku ya kwanza anacheza dubwi na aliweka 5k na still sikuvutiwa

Kila la kheri wakamalia🤝
 
Hey people,

Kimsingi nilianza kubet mwaka 2017,baada ya kuachana na aliyekuwa mwanaume wangu wa kwanza wakati huo kubet ilikuwa kama mbadala wa kuingia kwenye mahusiano mengine, kwasababu sikutaka kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine
Niliona nifocus na shule na mpira

Ninavyoona moja ya “biashara/uwekezaji” iliyokuja kwa kasi kubwa ni kubashiri, kama mnavyoona makampuni mapya kila siku yanaanzishwa

Maswali muhimu ya kujiuliza
Je, mnufaika namba moja ni mkamaria?
Kamari imewekwa ili kumpunguzia au kumuongezea nini mkamaria?

Kwa haraka haraka, experience yangu ya kubet kuanzia 2017 hadi around 2023 ilikuwa nzuri, kwa sababu nilikuwa “namtandika Muindi” kwa kadiri nilivyoweza

Lakini kadri muda ulivyokwenda, nikagundua ni kweli nashinda sana lakini je nashinda katika namna ya faida ama "faida feki"? Wakamaria ni watu wenye imani ya ''ipo siku muindi atakaa'' huku ukiendelea kupoteza bila kujua umepoteza pakubwa kiasi gani

Ukweli ni kwamba kampuni nyingi za betting zimejengwa kubaki kwenye faida tu kama zilivyo biashara zingine
Ukiweza kuacha kubet ni better!

Enwei, kesho games za kutosha wazee
Unaonekana mzoefu ushawahi jaribu FIXED MATCHES? are they really?
 
Bado una uzoefu wa chini, Mimi nilianza 2010 tulikua tunaenda pale new africa hotel tunaweka mzigo. Pale ndio wakamaria wote grade one walikua wanakutana

Baadae early 2012 premier betting wakaleta yale na mashine yao ya kuchana karatasi(mkeka), unabet kabla mechi hazijaanza. Baadae ndio nikahamia kwa kutumia website hapa nilikua natumia mkeka bet, mpaka leo

Kuhusu watu kupoteza/kuliwa, hiyo ni kawaida sababu hata shughuli zingine zozote watu hupoteza. Wapo walioweka pesa nyingi kwenye kilimo lakini wakapoteza, wapo walioweka pesa nyingi kwenye madini lakini wakapoteza, wapo walioweka pesa nyingi kwenye mabus lakini wakapoteza n.k n.k
 
Spot on.

Kuanzisha biashara ya bahati nasibu, inabidi uwe na $300k kwa mzawa na $500k kwa mgeni.

Yaani mtu awekeze hicho kiasi ili akalishe watu bure? Hiyo haipo!

Watu wanafikiri wanaweza kushindana na algorithm zilizoshiba. Kubet ni kama kwenda kwa Mwamposa tu.

Yote kwa yote bashiri unachoweza kupoteza tu.
Sikikiza ww ICT guru kubet hakuna algorithm, kubet ni kama ilivyo shughuli nyingine yoyote, kuna kupoteza na Kuna kupata. Unafikiri wanaowekez kwenye kilimo wote hupata? Au wanaowekeza kwenye madini wote hupata? Au wanaowekeza kwenye usafirishaji wote hupata?

More than 65% ya watanzania wanajishughulisha na kilimo, je ni wangapi wamefanikiwa? Kwa hiyo inabidi watu waache kiliko sababu miaka yote kimeahindwa kuwafaidisha kulingana na muda na nguvu walizowekeza?
 
Back
Top Bottom