Experience yangu JF katika kutafuta huba la moyo wangu 😘😘😘

Naomba Sana Wapenda Amani wa hii Dunia tuliyoletwa kuja kuisha kwa Amani na Upendo tupaze sauti zetu rasmi kupinga kila aina ya Uvamizi,mapinduzi,kuunda makundi ya waasi na baadae kuwasingizia Magaidi katika hii Dunia sasa tupige kelele Jamani watoto na wanawake wanateseka sana ktk haya mambo ni hii ndio njia kubwa sana Dunia inapitia ktk unyanyasaji wa wanawake na watoto kuliko hayo yanayosemwa ya unyanyasaji tuwe wakweli na wawazi masilaha yanatengezwa kwa ajili ya kutest na kuua binaadam hivi hii jamani kweli Mungu atatuacha ktk hili kukaa kimya ikiwa binaadam wenzetu bila kujali Rangi,Dini Dunia ifunguke sasa jamani hii Hali ya mauaji kila siku haileti Mustakbali Mzuri ktk Dunia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom