Experience yangu JF katika kutafuta huba la moyo wangu 😘😘😘

Naona humu ndani kuna heka heka sana ikijulikana unamahusiano na fulani maana itatafutwa kila juhudi ukose Amani ya moyo au siku mkiachana uanze kukejeliwa..

Ni bora kuwa low key 😁
Hiyo ni asili ya binadamu haiepukiki dear.

Hata ndugu na marafiki wapo wanaokuteta na kutamani kuwavuruga wewe na shemeji.

Tutaishi humo, asante kwa maoni mwaya.
Good day
 
Kumekucha....

Ila ya huko PM na kwingineko jitahidi yabakie huko huko. Kuyaleta hapa public hakuna faida yo yote sis mbali na kufurahisha baraza na makundi sogozi ya humu.

Ila inaonekana umeanza kukua sasa. Songa mbele mpaka umpate yule uliyeandikiwa na Mungu wako

Kaka tulia Maua afunguke
Naomba msimbane shosti yangu puliiizzz
 
Mimi nafikiri nimebahatika, wa kwangu nilifahamiana nae tokea 2014 baadae mambo yakakorogeka hapo katikati ila nilimrudia na mambo ni mazuri sana.

Naweza kusema kwa uhakika ndio mwanaume bora kupata kutokea ktk maisha yangu.
So yeah, wanaume bora hata hapa JF wapo pia.

Hongera sana!
Tupe story yako kwa ufupi ili na sie tupate moyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom